Kwa mara nyingine tena nimeumizwa

Kwa mara nyingine tena nimeumizwa

sanababu ya kuumia ni kunidanganya,angeniambia ukweli hapo kwanza kama ningeendelea kumpenda haya yalio nitokea yangekua juu yangu,lakini alinipa uhakika na akaniambia anamshukuru Mungu kukutana nami,na mimi nikazama kwake mwili na roho,mwishowe ndio hayo.



Mkuu ndio kubali tena safari hii umepigwa mbili bila hila cha kukumbusha safari ijayo panga beki zako vizuri ikiwezekana weka viungo wote wakabaji hili upaki basi kama chelsea yani ukifanya hivyo nina uhakika mechi utashinda moja bila...maana hao viumbe wana maneno matamu unaweza kuuza kibanda chenu cha urithi halafu utalala nje....ishi nao kwa kuwapuuza utaenjoy sana
 
ina nyota ya bundi ukisimama sehemu tu, ama kulia kwa raha zako watu huhisi mchawi .

hayo ni majaribu kaa chini jipange upyaa chek makosa jirekebishe utampata wako
 
Heshima kwenu wadau,

Jambo hilo lilitokea juzi jioni, bahati ilio nzuri siku hio tulikua na mkesha sikuweza kuhisi maumivu nilio nayo sasa ni miezi 4 iliopita niliukutana na binti mmoja kanisani, sikuacha kumwomba Mungu anipe kwaajili ya huyo binti, maombi hayakua ya muda mfupi pamoja na sadaka na mfungo, ndipo nilipo mtokea pale pale kanisani haikua rahisi kumfikishia ujumbe na pia hakuupokea kwa urahisi.

Ila baada miezi 2 alikubali kuwa nami natulipanga na kukubaliana tuishi kitakatifu mpaka siku ya ndoa na tulipanga Mungu akitupa uzima mwezi wa 2 tungeenda kwao, akawashirikisha wazazi wake naminikawa shirikisha ndugu zangu tukaendeleaje kuombeana na kutiana moyo maana ye alkua na hg kwa mtu sa alikua akinyanyasikamara nyingi.

Sasa bwana mwanzoni mwa desemba alibadilika kwenye mawaailiono mengi ya kutia shaka yalitokea hadi karibu na sikukuu aliniambia ukweli, yakuwa alikua na mtu wake kabla yangu mwana chuo ila dhehebu tofauti kwa hivyo saivi anatathimi nani kati yangu na huyo atakae mfaa ila akaniambi nisiwe na shaka nafasi yangu ni kubwa ila mpaka mwezi wa 4 nijiandae sikufa moyo ila nilimpenda sana nakuzidi kuomba kwa Mungu juu ya hili, ila ye hana muda nami japo kukutanaga nje ya kanisani kwake haiwezekani,nikimpigia hapokei mara hapatikani nikajipa moyo tuu.

Kwa sisi wakatoliki katika ibada zetu kuna kukomunika na ni kwa asie hatia ndani ya moyo wake,sasa binti huyo sikuwahi kumuona akiacha kukomunika ila jumapili ya juzi ukiacha ya jana nilishutuka kidogo kwani hatujaongea wiki 3.

Nikatia mkazo kumtafuta ingawa ilikua ngumu kupokea simu yangu lakini Jumamosi aliniambia tuishie tu pale hawezi kumuacha yule, na samahani nyingi niliumia ila mkesha ulinisaidiia na jambo kama hili lilinitokea tena 2013, roho inaniuma jamini yaani kila nikiona mtu alie vaa sketi miguu inakosa nguvu sijui nitaponaje hili niombeeni naomba jamani.

Mungu awe nanyi.


Huyo hakuwa wako bro,endelea kuvumilia,akija wako mbona kiulaiiiiiini unachukua bila kelele
 
Dah.. pole sana kwa yote hayo.. ingawa kuacha/kuachwa tumeshajizoelea wenyewe.. tunajionea sawa tu.
 
Mkuu....
Mapenzi hayakwepeki, na mapenzi ndio yana run dunia aiseeee......
Bila mapenzi hakipo kitakacho fanyika chini ya jua
Najua sana Ushimen ila apumzike kwa sasa then baadae arudi ulingoni tena kupambana. Maana bila mapenzi chenga tupu
 
Njoo kwangu, maelezo yako tumefanana isipokuwa mi nipo happy and i dont hate any guy, ila utapaswa unisubiri adi oirudi Tanzania ndio call zianze.
 
Mmh mkuu hlf cjui kwanini most of the times ukiwa na malengo mema na mademu unao-date nao wanaishia kukuumiza na kukuona fala.. Mm sahiv mapenz nshayachoka kwa kwel mm nkipata demu anaenivutia nabutua tu, hayo mengine yatajiset real G
 
Kwa jinsi nilivyosoma maneno yako nimegundua kuwa wewe ni king'ang'anizi, unanyenyekea mwanamke.
 
Badili mbinu za kutokea,ukipenda awamu hii hakikisha unafanya kila ufanyalo ugegede kwanza,ikiwezekana uweke mpira nyavuni aka umdunge mimba mengine yatajiweka sawa yenyewe,tatizo ulilonalo hujui zama zimebadilika bado unawinda kwa rungu wakati kuna Ak47
 
Mmh mkuu hlf cjui kwanini most of the times ukiwa na malengo mema na mademu unao-date nao wanaishia kukuumiza na kukuona fala.. Mm sahiv mapenz nshayachoka kwa kwel mm nkipata demu anaenivutia nabutua tu, hayo mengine yatajiset real G


Mkuu kuna mmoja alinitafuta more than 7 years akanipata kweli nilisema yap huyu ndio mke wangu mtarajiwa mwamba nikaingia mazima baada ya miezi kazaa ghafla akasema tuachane niliumia kishenz baada ya miezi mitatu akarudi tena nikaona hii ndio chance ya kupunguza stress zangu nikaanza kubutua huku nampuuza nachukulia kula tizi huku nifanya tamthilia za kifilipino yeye akaingia mazima anakuja kustuka anasema tuachane mimi nikamwambia poa huku na maigizo mengi kujifanya nimeumia tena...shauri yake na balaaa lake huko alipo
 
Badili mbinu za kutokea,ukipenda awamu hii hakikisha unafanya kila ufanyalo ugegede kwanza,ikiwezekana uweke mpira nyavuni aka umdunge mimba mengine yatajiweka sawa yenyewe,tatizo ulilonalo hujui zama zimebadilika bado unawinda kwa rungu wakati kuna Ak47
kwa hilo hapana aisee, kati ya vitu vilivyonishinda wakati huu ni kukutana na mwanamke kimwili nje ya ndoa
 
Nafikiri hapo ndipo 'ulipokosea'...unapofanya maombi ya kupata mwenza ina maana unamuweka Mungu 'in-charge', sasa husimpangie mwanamke wa kukupa! Omba akupe mke, yeye ndio anajua nani atakufaa. Pole sana ndugu, usikate tamaa, but when you put God incharge, let him be incharge 100%!
Words...
 
Change your attitude toward relationship lasivyo utakuwa mtu wa kulia lia tu.

Msichana hawezi akakuumiza kichwa hata siku moja. Jiamini bhana.

Nahisi unatatizo kwenye personality yako, either;
1. Muonekano, haujijali.
2. Uongeaji wako
3. The way unamuhandle msichana, she dont feel safe, protected, loved, e.t.c
4. Una mambo ya kizamani

Mapenzi ni art jamaa!! Mwanaume kuachwa ni ngumu maana unachoice kubwa ya kuwa na msichana umtakaye.
Mkuu unaweza kumfanyia mwanamke yooote hayo lakini bado asiridhike akawa kichwa maji tu. Yaani treatment na handling kwa baadhi ya wanawake sio kitu na hawaithamini,na ndio maana finally mkiachana wao ndio wanajutia sana na kulia everytime.
 
mhhhh.....
hivi mkuu...
wewe uliwahi kujua mwenza wako anawaza nini wakati mkiwa in love?
  • Ni ngumu saana kujua mwenza wako anawaza madudu gani, ndo maana tunapaswa kuwa tayar kwa lolote hawa viumbe hawatabirik! They have a lots of options..
  • Nakumbuka nilimtokea dem flan chuoni nikiwa na high expectations za kumpata, kweli nilimpata japo kwa tabu sana lakini mahusiano yetu hayakudumu kwa sababu zisizoeleweka! Nilipofatilia nikagundua she had a boyfriend, ikabidi nkubali matokeo
 
Back
Top Bottom