kwa mapishi najimini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa mapishi najimini

Discussion in 'JF Chef' started by cheusimangala, Jan 7, 2012.

 1. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  wakiitwa wanaojua kukarangiza lazima na mie niende.Kwa mambo ya jikoni nimebarikiwa.
  ukitaka vya kihindi utadhani nimezaliwa bombay,ukija vya kichina na Thailand achilia mbali vya mexico na vya kizungu.Sasa ukila ugali na dagaa nilizopika mie lazima ujingate vidole. Iam the kitchen queen.

  6091529295_1708ae2cb4[1].jpg


  cocoricestep4[2].jpg imagesCA4WBN71.jpg imagesCAMVSIBI.jpg
  avocadoAndShrimpSalad[1].jpg
   

  Attached Files:

 2. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,290
  Likes Received: 1,443
  Trophy Points: 280
  emaaa.....
   
 3. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  thailand,au wee hukoseagi bishosti
   
 4. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #4
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  kukosea imo sana cheusi.
  wewe ndo uliyepika hivi vyakula?
   
 5. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,155
  Likes Received: 3,343
  Trophy Points: 280
  Ebana we ni noma!
   
 6. T

  Tall JF-Expert Member

  #6
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Ugali wa mtama na mboga ya mlenda unaweza kupika???
   
 7. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #7
  Jan 7, 2012
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,818
  Likes Received: 1,166
  Trophy Points: 280
  kwamisosi we kweli mkali,
  na hapo kwenye avatar yako naona ushavimbiwa tayari:poa
   
 8. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #8
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,468
  Likes Received: 3,739
  Trophy Points: 280
  hongera nitakuja unifundishe mwaya
   
 9. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #9
  Jan 7, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Mbona dagaa sizioni kwenye hiyo menu uliyotuonesha?
   
 10. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #10
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ugali wa mtama sijawahi pika wala kula ila mmlenda ndo kipenzi changu kwa ugali,napika milenda ya aina,kuna mlenda wa kuroast,wa kuteleza,kuna mlenga wa unga,kuna milenda ya aina nyingi,mingi naweza kuipika.
   
 11. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #11
  Jan 7, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Afadhali uende ukapate kaufundi ka jikoni kwani mwanamke sio mbunye tu na mwiko pia!!
   
 12. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #12
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  babukijana mi mkali pia,kwa hii misosi kuvimbiwa si ajabu lol
   
 13. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #13
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  karibu,naamin hata mie nitajifunza kitu toka kwako.
   
 14. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #14
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,468
  Likes Received: 3,739
  Trophy Points: 280
  kuna ninavyojua kupika yeye hajui na vile anavyojua mie sijui
   
 15. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #15
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  sio lazima kila ninavyojua kupika nivipike siku moja vyote watu si watatapika.
   
 16. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #16
  Jan 7, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  We mtoto usijeacha nikazamia meli ya Mgiriki nije huko uliko!...Saa mbaya hizi bana, kuweka menyu za mvuto namna hii utaacha nalowanisha madaftari ya mkoloni!
  By Ze Way, hiyo avetari yako ndo tayari ushabarikiwa nini?...nauliza ili tuanzishe mchakato huku!
   
 17. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #17
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,468
  Likes Received: 3,739
  Trophy Points: 280
  asante nitakufundisha kupika ndizi mzuzu na samaki
   
 18. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #18
  Jan 7, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kama hujaolewa niprivate message ili nije kutoa mahali kabisa.
   
 19. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #19
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  huna haja ya kuzamia meli mkuu muda si mrefu huduma za menu hizi nitazisogeza karibu yako.
  anzisha tu mchakato kwani hata kama bado si tutaziifadhi kwa matumizi ya baadae
   
 20. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #20
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  mi bana hebu nipiage machalari ya nguruwe bana.....
  Haya mengine achana nayo.
   
Loading...