OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Mwenye dhamana hiyo ni serikali ya JK, and the bucks stops with him.Kuhusu hayo maneno,nimesikia humu members wakisema,kila mtu anafahamu kuwa udini ulitumika kwenye kampeni yake ya urais na bado unatumika kwenye kuendesha nchi.Kama yamemshinda aachie ngazi na si kutuletea machafuko ya kidini.Watanzania ni kama ndugu,na adui yetu alikuwa na bado inatakiwa awe ccm na mafisadi wake bila kujali ni wa dini gani.Mbinu hii ya udini ni ya mafisadi wa ccm ili kutugawa wasiondolewe madarakani.
Nchi ilipofikia,credits huwa anapewa rais na serikali yake,kwahili la udini,hakuna ubishi umeshaota mizizi.Na sijawahi kusikia kauli ama vitendo kutoka kwa JK vya kukemea haya mambo ya udini.
Kinachonifanya niamini ni JK,ni kwasababu hao wanaopinga kasi ya upinzani,wanapoijibia serikali ya ccm,basi wanaoonyesha chuki za wazi kabisa za kidini.Ule udugu tuliokuwa nao wakitanzania haupo tena,na sijui utarudi kwa njia gani.
Kuna habari kuwa hata mtu na mke wake wanataka kutoana roho kwasbabu hizo hizo.Sheick Ponda alipotoa kauli kinyume na yakwake kuhusu sensa,kaliachia na gazeti lenye kusambaza sumu hizo huku akilifungia lenye kusema ukweli(mwanahalisi)
Ninamini kabisa kuwa tulipofikia,uwezekano wa kuingia kwenye vurugu na mapigano ya kidini ni mkubwa kuliko wakati wowote ule kwenye historia ya Tz toka tupate uhuru.
Kama JK ni mdini,tufanyeje?Ni wazi anapenda haya yaendelee kuwepo kwasababu ni kama anauwa ndege wawili kwa jiwe moja,yani kwasababu yeye ni fisadi na mdini,basi issue za ufisadi wake anazifukia kwa kupenyeza sentiments za kidini kwasababu anajuwa the issue is extremely sensitive.
Je kama taifa tutapona dhidi ya udini huu wa JK?je kukitokea mapigano,nani atakuwa responsible?Je nini kifanyike kukomesha udin8I hu?ama tumeridhika?!....
Sina cha kuongeza wala kupunguza.hakuna hasara kwa taifa kama kuwa na kiongozi wa juu asiye na msimamo wala hajui kwa nini yupo pale.
Wakati anajipanga kuingia madarakani alitumia sana mbinu ya udini, pamoja na nyingine na kufanikiwa kuingia.
Kama kawaida yake hakujua kama itafikia hapa, na hakuwa na njia mbadala ya kunusuru hali pindi mambo yataharibika.
Jukumu au wa kulaumiwa ni sisis watanzania tuliokubali kuingozwa na mtu asiye na uelewa na sisi kukubali kumpa nafasi ya kutugawa.
Mjinga akiwachonganisha werevu wawili, wa kulaumiwa si mjinga, bali ni wale werevu walioshindwa kujua lililo bora kwao.
Badala ya kutumia 'platform' kama hii kunyoosheana vidole, ingekuwa jambo la maana kama tukakubali tofauti zetu na kutafuta 'common ground' ambapo tunaweza kusonga mbele kama taifa moja lililowahi kuwa na wananchi wasiotambuana kwa dini kwa majina yao au kwa uwezo wao katika uongozi.
yea right!udini wa ccm na JK ndo mana umegeuka kuwa udini wa chadema na Slaa?ama mkuu unataka kuniambia kuwa huo udini ulimruka Mwinyi siyo?na halafu pia utamruka JK?nikiona serikali inalaaniwa kwa udini wa Mou sina shida,lakini mnalazimishia hayo ya serikali eti ni ya chadema na kanisa katoliki,wapi na wapi mkuu?kwanza kabisa napenda kukufahamisha kuwa jk sio mdini kama unavyofikiri japokuwa nakubaliana na wewe kwamba udini upo.na huo udini haukuanza katika kipindi hiki cha jk,bali ulianza tangu kipindi cha awamu ya kwanza ya mwalimu nyerere,na kisha kushika kasi kubwa kipindi cha mkapa.na siku zote pale ambapo waislam watasimama ktk kudai au hata kuhoji tu kuhusu haki zao mbalimbali basi neno udini huingizwa.nakupa mifano miwili tu miongoni mwa mifano mingi.mfano wa kwanza;kulikuwa na nini hasa zaidi hata serikali kuingia mkataba wa siri na kanisa katoliki na kuridhia kutoa mabilioni ya shilingi kulisaidia kanisa kila mwaka[1992 hadi 2090],hali ya kuwa kuna dini nyigine pia?huo sio udini?jambo la pili ajira na nafasi mbalimbali za utawala.ni watu wa dini fulani ndio waliojaa huko[lifanyie utafiti mdogo tu kulitambua]je huo sio udini?
jambo la kufanya ili kuweka mambo sawa ni kuondoa dhulma hizo nilizotaja na nyiginezo na kuleta usawa katika masuala mbalimbali yanayohusu jamii nzima ya watanzania.
Umeyaona ya shekh PONDA tu, ya maasikofu hujayaona kweli wewe huiwezi siasa!!Waislam wanahaki ya kudai kipengele cha dini ktk sensa.kwanini wadai tembelea web hizi upate reference
1) www.wikipedia.com/tanzania
2) www.arc.com/tanzania
web zote hzo zinatoa idadi ya watanzania kwa mujibu wa dini yao wakati tangu 1967 watanzania hatuja hesabiwa kwa mjibu,wa dini zetu.swali hawa WA RC Takwim hz wanazitoa wapi????
Umeyaona ya shekh PONDA tu, ya maasikofu hujayaona kweli wewe huiwezi siasa!!Waislam wanahaki ya kudai kipengele cha dini ktk sensa.kwanini wadai tembelea web hizi upate reference
1) www.wikipedia.com/tanzania
2) www.arc.com/tanzania
web zote hzo zinatoa idadi ya watanzania kwa mujibu wa dini yao wakati tangu 1967 watanzania hatuja hesabiwa kwa mjibu,wa dini zetu.swali hawa WA RC Takwim hz wanazitoa wapi????
Udini tafsiri yake ni uislamu sio? na by extension viongozi wa juu wakiwa wa dini moja ndio udini? the granted Kikwete mdini so do Mkapa, Rais Mkristo, alie kuwa Waziri Mkuu wake Malecela mkristo, katibu wake mkuu Philip Mangula Mkristo nk same argument utawala Julius Nyerere.
Tatizo lenu wakristo wa Tanzania mna roho mbaya, serikalini mmejaa ninyi, mashirika ya umma ninyi, idara za serikali ninyi na juu ya hapo MOU inaita serikali iyape Makanisa Bil 60 kwa mwaka kwa kisingizio cha huduma za jamii lakini mpaka mishahara ya watumishi wa kiroho inaingizwa na serikali inalipa. Kwenu ninyi kwa sababu wanufaika huo sio udini.
Udini ni pale wanapoteuliwa waislamu wachache kushika madaraka mnalipuka!
Dini maana mki ulizwa leteni ushahidi wa udini mnaishia Said Mwema as if Davis Mwamunyange Muislam, mtasema Othman Rashid lakini Zoka hamumtaji na kurugenzo zote zilizoshikwa na wagala.
Kahesabu mawaziri na manaibu linganisha wengi wepi, nenda kwa Ma RC, MaDC RAS, DAS, DED etc
Ndio maana tunasema mna roho mbaya!
Vipi watu ambao hawana dini? Hii hoja ni ya kupumbuza watu ili wasijadili mambo ya msingi i.e umaskini, elimu, afya etc. Anayetaka dini aende kwenye majumba ya husika.
kwanza kabisa napenda kukufahamisha kuwa jk sio mdini kama unavyofikiri japokuwa nakubaliana na wewe kwamba udini upo.na huo udini haukuanza katika kipindi hiki cha jk,bali ulianza tangu kipindi cha awamu ya kwanza ya mwalimu nyerere,na kisha kushika kasi kubwa kipindi cha mkapa.na siku zote pale ambapo waislam watasimama ktk kudai au hata kuhoji tu kuhusu haki zao mbalimbali basi neno udini huingizwa.nakupa mifano miwili tu miongoni mwa mifano mingi.mfano wa kwanza;kulikuwa na nini hasa zaidi hata serikali kuingia mkataba wa siri na kanisa katoliki na kuridhia kutoa mabilioni ya shilingi kulisaidia kanisa kila mwaka[1992 hadi 2090],hali ya kuwa kuna dini nyigine pia?huo sio udini?jambo la pili ajira na nafasi mbalimbali za utawala.ni watu wa dini fulani ndio waliojaa huko[lifanyie utafiti mdogo tu kulitambua]je huo sio udini?
jambo la kufanya ili kuweka mambo sawa ni kuondoa dhulma hizo nilizotaja na nyiginezo na kuleta usawa katika masuala mbalimbali yanayohusu jamii nzima ya watanzania.
Sauti huru - Gazeti la mkuu na mwenyekiti wa wanamtandao!.........Familia yetu ni ya wakristo na waislamu na tupo imara pamoja kama zamani. Kijiji chetu kina waumini wa dini zote mbili na bado tunazikana kama zamani. Sijui umeandika haya baada ya kufanya utafiti wa kiasi gani?Mkuu tutajie hilo gazeti lenye kusambaza sumu hizo.
udini wa jk ulikuja baada ya kuanza kuwapa nafasi Muslim serikali Hilo liliwakera sana inajulikana tafuta jingine nitamuhukumu jk kwa mengine bt udini nichuki mlizopandikiza nyinyi wakristo lakini tumeshawastukia na Kama unataka kumtoa jk kabla ya 2015 siuazie mtaani kwako unapokaa hamasisha na jiranizako muende na mtaa wa pili na watatu anza usiku huu bila kuchelewa si unauchungu na nchi yakoKongosho,nimekupata sawia,umesema kuhusu finger pointing,je kama tumemgundua mtu mdini anayeharibu taifa letu unataka tufanyeje?kumbuka 2015 ni mbali sana kwa utaratibu huu sidhani kama tutafika salama.Kwasababu ni wazi uchu wa madaraka na kujikinga dhidi ya wananchi wanaopinga ufisadi.Kiongozi mkuu wa ccm na serikali anatumia dini ili apate supporters,kwasbabu hakna mtanzania bila kujali dini anayefurahishwa na ufisadi labda awe ananufaika nao.Wale wasionufaika,wamekamatwa kwa jina la uislam vs ukristo!tufanyeje kabla ya 2015 kama tuko serious? Ndo maana kwenye bandiko la kwanza nilimalizia kwa kusema "tufanyeje?ama ndo tumeridhika"?
Kumbe ni halali JK kuwa mdini kwasababu mwalimu alikuwa mdini?
wewe Ritz acha ujinga na thread yako ya kijinga. Ninyi ndiyo mnaleta udini hapa nchini mkidhani ni jambo la kujivunia. Jaribu kutumia akili ndogo uliyonayo kutafakari ushauri wangu.Acha unafiki kuna thread humu nyingi zinaongelea udini kwa nini usipeleke hayo maneno yako kama thread uipendi kaa pembeni mkuu.