Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 4,051
- 3,618
Mkuu wala hujanijibu...Binafsi najisikia kinyaa sana jinsi jinsi mnavyoendekeza udini.....nakumbuka kwenye uchaguzi mkuu 2010, JK kwenye mikutano ya kampeni karibu yote, alikuwa anakemea suala la udini....wakatokea wapumbavu wakasema ni hatari sana kwa kiongozi wa nchi kuzungumzia zungumzia udini wakati nchi haina udini....wakafikia hata kusema eti hali hii inaweza kuwafanya hata wale ambao hawakuwa na hisia za udini, wakaanza kuamka....leo, wale wale wanasema JK hakemei UDINI.....watu wa ajabu sana nyinyi!
Mkuu wala hujanijibu...
Wametumwa na JK,huyu mtu ni mdini sijapata ona.Hili jjkwaa,tulikuwa na umoja yani issue ya ufisadi ikija humu,hata wale watetezi hawakuwa wanaleta udini.Lakini kuna watu waliingia kwa kasi ya ajabu,nina uhakika walitumwa na ni mafisadi.Ndo wakaanzisha ya kuwatetea mafisadi eti wanaonewa kwakuwa ni waislam.Sitaki kuwataja kwasbabu hata majina yao yananichefua.Nilifika pahala nikajiuliza kama ni watanzania.Shida wanajificha nyuma ya mwavuli wa "annonymity",na kweli ukitaka kujuwa JF ni reflection ya wananchi,sasa udini uko mtaani.Wamejipanga,na JK ni kinara.Na walifanikiwa kwa kiasi kikubwa.Kwenye thread hii,sidhani tunahitaji michango yao.Nchi itajengwa na wenye moyo.Nina marafiki na ndugu waislam lakini si type hii ya mifisadi hii humu ndani.Ningekuwa na uwezo wa kuwaona ningewalima shaba!Kwasababu hao hawataki maelewano,na haina haja ya kujadiliana na type hii ya watu.Hawana akili na kujadiliana nao ni upotevu wa muda.Mnajijuwa nilowataja.Maneno ya kikwete kwenye uzinduzi wa bunge 2010: Hauhitaji hata kusoma sana katikati ya mistari kuelewa hoja ya jmushi1.
Kwenye uchaguzi wa ubunge kule Igunga, Mashehe waliwaita waandishi wa habari na kutangaza kuwa waislam wasiichague CHADEMA. Huu ni mfano hai wa UDINI.
NasDas, Ritz, Njiwa, Zomba... ni kiongozi gani wa serikali alikemea kile kitendo?
Kikwete kama kiongozi mkuu wa nchi hii. Kiongozi anayetakiwa kuonyesha njia kwa vitendo, ameshafanya nini zaidi baada ya kutoa ile kauli 2010 kukemea udini?
Sina hamu ya kudiscuss sana nilikuwa nataka majibu tu hapo...
Sijadiliani na wadini,we huna mpango wala huna haja ya kujibu posti yangu,changanya masaburi najuwa unamtetea baba yako.Kuna thread nyingi tu,peleka masaburi kwenye ile ya Zomba.
Nimekwambia sema JK si mdini kwasababu hakuna udini Tz,hapo ntakuelewa.
sasa mkuu! tukijadili udini wa jk wakati mleta mada yeye mwenyewe ni mdini! ... obvious wakati unaandaa kurusha thread yako ushaweka conclusion kichwani mwako! ... wewe ni mdini umejaribu sana kujificha lakini ndio hivo hisia zako zakuzidi muda mwengine! ... allegations hizi angetoa mtu aliye neutral kungekuwa na cha kujadili
This is exactly what I call Grat thinking.Nashukuru sana kwa bandiko hili mkuu!Ni matumaini wahusika wanayaoana haya.Ningependa tujadiliane kwa njia hii.Huu ni mfano tosha kuwa si waislam wote wenye mawazo kama ya wafuasi wa JK na JK mwenyewe.Huwa tunatofautiana lakini nimeguswa sana na mchango wako huu.Stay blessed.Kaka yangu kwanza hongera kwa kuliona hilo na kulitilia hofu. Pili ni kwamba kaka umesahau kusema nini kifanyike. Labda mie niseme kwa ninavyoona.
1.kwanza kabisa serikali iache mara moja upendeleo kwa mujibu wa imani,iache kwa kuvunja mkataba wa kifisadi baina ya makanisa na serikali. Kaka mtoa mada kama kweli umeandika post hii ukiwa huru kifikra basi hili utaliona kama ni tatizo.
2.kanisa liache mara moja kuingilia siasa za nchi.
3.serikali ipige marufuku mara moja watu wa imani nyingine kuingilia maombi ya watu wa imani tofauti pindi waiombapo serikali yao jambo ambalo wao kwa mujibu wa imani yao litawasaidia,hapa mifamo iko wazi (a)mahakama ya kadhi wakristo inawahusu nini? (b)oic,ivi nchi kujiunga na oic kanisa litaathirika nini? Etc
4.serikali ishughulikie zile sehemu zenye kuleta migongano ya moja kwa moja mfano(a)baraza la mitihani NECTA hapo serikali inatakiwa ilivunje na liundwe upya kwa kuzingatia malalamiko yaliyopo. (b) mgawanyo wa madaraka serikalini unaupendeleo wa waziwazi hilo liondoshwe.
5.katika ngazi za kisiasa iwe marufuku kwa mtu yeyote ambaye ni kiongozi wa kiroho au aliyewahi kuwa basi asiruhusiwe kugombea nafasi yoyote ili kuzuwia mifano ya akina mchungaji msigwa bungeni aliposimama kuwatetea wakristo nawakati yeye si mbunge wa wakristo peke yao.
Naomba kwanza niishie hapo. Kama nawewe siyo muathirika wa huo udini naamini utaunga mkono ushauri wangu kwa serikali na watanzania kwa ujumla.
Ndiyo maana nilijumlisha viongozi wa serikali na yeye mwenyewe kikwete.Nijibu nini mkuu wangu?! Yaani nijibu kwanini JK hakuzungumza suala la masheikh wa huko Igunga?! Yaani Rais wa nchi aitishe Press Conference kukemea kilichoongelewa na kikundi cha watu wachache?! Huko Igunga hakuna DC? Hakuna RC? hakuna OCD? hakuna RPC? hakuna waziri husika?! hivi mauupuuzi kama hayo mbona yanafanywa kila uchao na tena na dini zote?! Kwahiyo kila siku uite press conference kukemea as if wahusika wanaotakiwa kufanya hivyo hawapo!!! Na ndio maana nimekupa mfano wa kipindi cha kampeni, ambacho hata wewe umekikwepa kukielezea kwavile unafahamu nini kilitokea!
Ile ya Igunga nimetoa mfano tu. Kuna matukio mengi ya udini yanayopaswa kukemewa...Jambo hili linapaswa kukemewa kwa nguvu zote na kila mmoja wetu. Nawaomba viongozi wa kisiasa ambao vitendo hivi vya kibaguzi vilifanywa na vinafanywa kwa niaba yao au kwa kuwanufaisha wao wasikae kimya. Watoe kauli kukemea uovu huu.
Sijadiliani na wadini,we huna mpango wala huna haja ya kujibu posti yangu,changanya masaburi najuwa unamtetea baba yako.Kuna thread nyingi tu,peleka masaburi kwenye ile ya Zomba.
Wametumwa na JK,huyu mtu ni mdini sijapata ona.Hili jjkwaa,tulikuwa na umoja yani issue ya ufisadi ikija humu,hata wale watetezi hawakuwa wanaleta udini.Lakini kuna watu waliingia kwa kasi ya ajabu,nina uhakika walitumwa na ni mafisadi.Ndo wakaanzisha ya kuwatetea mafisadi eti wanaonewa kwakuwa ni waislam.Sitaki kuwataja kwasbabu hata majina yao yananichefua.Nilifika pahala nikajiuliza kama ni watanzania.Shida wanajificha nyuma ya mwavuli wa "annonymity",na kweli ukitaka kujuwa JF ni reflection ya wananchi,sasa udini uko mtaani.Wamejipanga,na JK ni kinara.Na walifanikiwa kwa kiasi kikubwa.Kwenye thread hii,sidhani tunahitaji michango yao.Nchi itajengwa na wenye moyo.Nina marafiki na ndugu waislam lakini si type hii ya mifisadi hii humu ndani.Ningekuwa na uwezo wa kuwaona ningewalima shaba!Kwasababu hao hawataki maelewano,na haina haja ya kujadiliana na type hii ya watu.Hawana akili na kujadiliana nao ni upotevu wa muda.Mnajijuwa nilowataja.
kikwete kama rais wa nchi ana viongozi wa ngazi za chini ambao wanauwezo wa ku handle issue kama hizo .. Sio kila jambo aongee kikwete! sasa kazi ya wakuu wa mikoa .. Mawaziri.. Etcl itakuwa ni nini..?!
Ndiyo maana nilijumlisha viongozi wa serikali na yeye mwenyewe kikwete.
Kwani aliposema hapo chini alikuwa anamaanisha nini? kuitisha press conference kila siku??
Ile ya Igunga nimetoa mfano tu. Kuna matukio mengi ya udini yanayopaswa kukemewa...
kwenye hilo grupu lenu la wadini hakuna wa kunishika pabaya,never!mnajiona eti nyie zaidi ya binadamu wengine.I hate people who wears religion on their sleeve!mmeharibu nchi kwa ufisadi na udini.Mtalipa na kinara wenu JK.vipi mkuu wangu, mbona jazba?! amekushika pabaya, au?!
kwenye hilo grupu lenu la wadini hakuna wa kunishika pabaya,never!mnajiona eti nyie zaidi ya binadamu wengine.I hate people who wears religion on their sleeve!mmeharibu nchi kwa ufisadi na udini.Mtalipa na kinara wenu JK.
Binafsi najisikia kinyaa sana jinsi jinsi mnavyoendekeza udini.....nakumbuka kwenye uchaguzi mkuu 2010, JK kwenye mikutano ya kampeni karibu yote, alikuwa anakemea suala la udini....wakatokea wapumbavu wakasema ni hatari sana kwa kiongozi wa nchi kuzungumzia zungumzia udini wakati nchi haina udini....wakafikia hata kusema eti hali hii inaweza kuwafanya hata wale ambao hawakuwa na hisia za udini, wakaanza kuamka....leo, wale wale wanasema JK hakemei UDINI.....watu wa ajabu sana nyinyi!
Mtoa mada unaonesha kuwa wewe ni mdini mkubwa,kuhusu kufungiwa gazeti la mwanahalisi na kuachwa an-nur ni hivi vyombo vya habari vya kiislam havikurupuki huwa ushahidi vinapotoa kitu, sasa wakitaka kujua nguvu ya waislam wafungie redio imani na vyombo vya habari vingine vya waislam
Mkuu bandiko langu la kwanza umelisoma vyema?hakuna danadana yoyote,JK ni mdini na hapendi suluhu kabisa.Hii hali iliyopo nchini wala hata hajali.Ndo hapo tunaona anafuraia.Watetezi wake wote kwenye issue za ufisadi,huwa wanalia udini na ni wauwaji wakubwa wa mwalimu humu ndani.Na nimesema hapo nyuma kwamba inawezekana bifu lake ni alipoondolewa kwenye kugombea urais.Akakiuka hata ile miiko ya unofficial,akataka awe rais anyways licha ya kwamba mzee Mwinyi ndo alikuwa kamaliza muda wake.Yeye ni mmojawsapo anaoamini uonevu dhidi ya uislam,na kwahiyo njia aliyoichukuwa kusolve tataizo hilo kama lipo,ni njia mbaya.Na pia nikasema kwasababu ana kashfa kibao za ufisadi,kuchochea kwake udini ndo salama yake kwasababu ni "a divide and rule" tactic.jmushi1 bhana, kwa danadana tu hujambo!! cheki ulivyopindishapindisha mambo hadi sasa unataka kuonesha kwamba dhima ya wanaopingana na wewe ni kuwalinda mafisadi wa kiislamu!!! Sina shaka kwamba humu tumekuwa pamoja tukipinga ufisadi....lakini hili la leo, hapana mkuu wangu; usituchezee akili....thread yako inahakisi UDINI wako wewe mwenyewe kuliko ambavyo unataka tuamini. hebu weka wazi mkuu wangu....nini base yako hapa?! Kwamba JK ni MDINI au FISADI?! Ni nani hao MAFISADI WA KIISLAMU unaosema huwa wanatetewa na kwamba wanasakamwa ufisadi kwa kuwa ni waislamu?!