HELL HELL HELL!! mlitaka kupata nini zaidi?? KIPI kingine?? zaidi ya mnavyoreap bila kupanda? Je mnajua BAKWATA ina Bajeti kutoka serikalini? Je mnajua mahakama ya kadhi inagharamiwa na serikali kinyemela!??Jmushi1...unafahamika kwa Udini wako.
Wewe ulitaka JK atoe amri ya Kukamatwa Ponda...kwakuwa hakutoa hio Kauli umesema "Mdini"
Wala hukutaka Kumwambia JK au Serikali ichukue hatua kwa wale waliotoa Takwimu "Feki" Hizi Takwimu Feki even Wizara ya Pinda imetoa Kalenda ikiweka Hizo "Takwimu Feki"
Kwa hili wewe Umemuita JK "Mdini"
Uchaguzi unafahamika Namna Kampeni zilivyofanywa, JK na Wenzake walikuwa hawaamini the so called "UDINI" hadi mlipoanza Kampeni "Makanisani" hadi wengine "kutengwa" Mkadai "elimu ya Uraia mnaitoa"
Wakati CUF wanaitwa Wadini Hamkusema chochote...Hadi post nyingi hapa JF zinaonesha hivyo...ila Mkiitwa nyie Chadema wadini mnakuja juu kutafuta visingizio!!!
Huyu JK amefanya mengi kuwafavor wakristo kuliko waislam...Hizi kelele mnazoendelea kuzipiga ili mzidi kupewa nafasi zaid...!!! Maana mshazoea tangu huko nyuma waislam wasiipinge Serikali, wakiipinga basi wakalale "JELA" hapo mtakunywa sana Pombe zenu kwa "furaha"
Waislam hawajapata chochote cha Maana kutoka kwa JK, zaid hilo la kusema kutokamatwa shk Ponda....May be kilio chako kitasikilizwa Maana Sensa haijaaisha...so Ponda akikamatwa labda utaweka Post ya Kumpongeza JK...So far wanafamilia wengi wameshaanza kukamatwa hadi watoto kisa baba zao Hawapo ktk "kuhesabiwa"...Labda hizi taarifa za kukamatwa wanafamilia wa kiislam kwasababu za sensa zitakuridhisha kiasi...Maana wenzako washaweka mada kwanini wanaopinga sensa "wasikamatwe" Halafu unataka Amani au Kujenga Nchi mmoja wakati unamuombea Mabaya mwezio yamkute...!!!
Twendeni...JK ataondoka litakuja "chaguo Lenu"
|
| Ngoma nzito Polisi Wadaiwa kumfanyia mtoto unyama wa kutisha Manyara na Waandishi wetu Tanzania Daima |
unajua makanisani kuna utaratibu mzuri wea kufahamiana kwa mafano wakristu wote huwa wanabatizwa na vyeti ivyo hutunzwa makanisani ambavyo ni sawa na vyeti vya kuzaliwa...vilevile makanisa yana utaratibu wa jumuiya ndogondogo za kikristo ambapo watu wa mtaa mmoja hukusanyika kusali pamoja na idadi yao huwekwa kwenye kumbukumbu za jumiya husika hivyo ni rahisi kupata idadi yao kutumia kumbukumbu hizoUmeyaona ya shekh PONDA tu, ya maasikofu hujayaona kweli wewe huiwezi siasa!!Waislam wanahaki ya kudai kipengele cha dini ktk sensa.kwanini wadai tembelea web hizi upate reference
1) www.wikipedia.com/tanzania
2) www.arc.com/tanzania
web zote hzo zinatoa idadi ya watanzania kwa mujibu wa dini yao wakati tangu 1967 watanzania hatuja hesabiwa kwa mjibu,wa dini zetu.swali hawa WA RC Takwim hz wanazitoa wapi????
Nimeshavgunduwa,waislam nyie ni ndugu zetu,hamkupata mwakilishi mzuri kuwa rais.Ni muhimu tushirikiane ili makosa yasijirudie.Asante.
Tuleteeni bs muwakilishi mzuri wa kislamu kutoka CDM 2015Nimeshavgunduwa,waislam nyie ni ndugu zetu,hamkupata mwakilishi mzuri kuwa rais.Ni muhimu tushirikiane ili makosa yasijirudie.Asante.
Tuleteeni bs muwakilishi mzuri wa kislamu kutoka CDM 2015
kwanza kabisa napenda kukufahamisha kuwa jk sio mdini kama unavyofikiri japokuwa nakubaliana na wewe kwamba udini upo.na huo udini haukuanza katika kipindi hiki cha jk,bali ulianza tangu kipindi cha awamu ya kwanza ya mwalimu nyerere,na kisha kushika kasi kubwa kipindi cha mkapa.na siku zote pale ambapo waislam watasimama ktk kudai au hata kuhoji tu kuhusu haki zao mbalimbali basi neno udini huingizwa.nakupa mifano miwili tu miongoni mwa mifano mingi.mfano wa kwanza;kulikuwa na nini hasa zaidi hata serikali kuingia mkataba wa siri na kanisa katoliki na kuridhia kutoa mabilioni ya shilingi kulisaidia kanisa kila mwaka[1992 hadi 2090],hali ya kuwa kuna dini nyigine pia?huo sio udini?jambo la pili ajira na nafasi mbalimbali za utawala.ni watu wa dini fulani ndio waliojaa huko[lifanyie utafiti mdogo tu kulitambua]je huo sio udini?
jambo la kufanya ili kuweka mambo sawa ni kuondoa dhulma hizo nilizotaja na nyiginezo na kuleta usawa katika masuala mbalimbali yanayohusu jamii nzima ya watanzania.
Kuna thread humu inasema "kashfa ya chadema na kanisa katoliki"imeletwa na wafuasi wa JK!mbona sioni "Kashfa ya ccm na kanisa katoliki" kwenye issue ya malalamiko ya Mou?Huo ndo udini wenyewe sasa.Ni vyema viongozi muwapime kutokana na matendo kwa nchi ya kimaendeleo na si kwa kutizama ni dini gani!
udini wa jk ulikuja baada ya kuanza kuwapa nafasi Muslim serikali Hilo liliwakera sana inajulikana tafuta jingine nitamuhukumu jk kwa mengine bt udini nichuki mlizopandikiza nyinyi wakristo lakini tumeshawastukia na Kama unataka kumtoa jk kabla ya 2015 siuazie mtaani kwako unapokaa hamasisha na jiranizako muende na mtaa wa pili na watatu anza usiku huu bila kuchelewa si unauchungu na nchi yako
Genious Brain hongera sana unaweza kweli kweli kwa madaKatiba yao inakataza Muislam kugombea, hujiulizi kwa nini Zitto Kabwe atakiwi.
THE BEST PRESIDENT AMBAE HAJAWAHI TOKEA TANZANIA.Ukweli ndo huo.
Unaye mtetea ni jk wa tz au una jk wako mwingine?
BAK, nakubaliana na wewe kuwa hizi vurugu zinazoendelea zinazidi kupanda mbegu ya chuki.
Je hudhani kama kuna namna ambayo tunaweza kujisahihisha kabla mauaji haya hayajafikia hatua kubwa zaidi??
Je, vyombo vya habari havina nafasi katika hili????
Huwa najiuliza sana sipati majibu, kwa nini vyombo vya habari na au wanahabari wanakubali kutumiwa??
Tena wakati mwingine, wanatumia wazi kabisa pasipo kificho, je tufanye nini?? Au tujirekebisheje?? Uzalendo urudishweje kwa wanahabari??
Katika nchi changa kama TZ ambayo ukomavu/uelewa wa wanachi wake kwa asilimia kadhaa bado ni 'simama dede', mie huwa sipuuzii nafasi ya wanahabari. Natamani tuwe na wanahabari wanaoweza ku-take lead katika hili. Ila wasianze finger pointing maana hapo hatutafikia muafaka.
Kuna umuhimu wa kuundwa chombo/kamati/task force au sijui nini kwa ajili ya kuchunguza kwa kina wapi tulipo katika suala zima la amani ya nchi. Na chombo hiki kisisimamiwe wala kujihusisha na serikali bali kiwe cha wananchi wenyewe na makundi ya dini zote. Nafasi ya serikali ni kukitambua na kukipa uhuru chombo hiki ili kiweze fanya kazi zake. Hapa tunaongea zaidi kwa kuona viashiria kama vya mauaji, lakini tunahitaji uchunguzi zaidi wa wapi tulijikwaa.
Na kingine, pande zote inabidi tuvuke mpaka fulani tuliojiwekea ili tuwe tayari kupokea ukweli mgumu 'bitter truth' utaopatikana baada ya uchunguzi na kuwajibika kama timu moja. Nachohofia au nachokiona ni kuwa, hata tukiamua kama taifa kushighulikia hili suala, tuko tayari kupokea ukweli kama ukweli mtupu bila kusema hawa wanatuonea au hawa walipendelewa au hawa vile.
Bila kujua tulijikwaa wapi na kukubali kweli itakuwa ngumu ku-move forward.
Thank you very very much for this post.Hakika it is extremely useful!
Kweli wewe dada una akili!Anyways,nadhani wachangiaji kama ni kweli wanapenda umoja wa kitaifa uendelee,basi wanahitaji mawazo kama haya.Mawazo ambayo yamepelekea jukwaa hili na forum kuitwa "The home of great thinkers"
Nashukuru sana kwa mchango wako huu,na hopefully members watakaochangia,watakuwa na mwelekeo kama huu.Thread hii si ya kutugawa watanzania.
Bali ni ya kuangalia ni wapi tumejikwaa,ili tulimalize tatizo hili kabla haijawa too late.Mawazo kama haya na ushauri pamoja na nasaha hizi ni muhimu kuliko vile ambavyo maneno yangu yangeweza kuelezea.
Tuko pamoja!country first!adui ni ccm na JK wenye kueneza udini kwa kutumia mgongo wa watanzania.
Nchi ilipofikia,credits huwa anapewa rais na serikali yake,kwahili la udini,hakuna ubishi umeshaota mizizi.Na sijawahi kusikia kauli ama vitendo kutoka kwa JK vya kukemea haya mambo ya udini.
Kinachonifanya niamini ni JK,ni kwasababu hao wanaopinga kasi ya upinzani,wanapoijibia serikali ya ccm,basi wanaoonyesha chuki za wazi kabisa za kidini.Ule udugu tuliokuwa nao wakitanzania haupo tena,na sijui utarudi kwa njia gani.
Kuna habari kuwa hata mtu na mke wake wanataka kutoana roho kwasbabu hizo hizo.Sheick Ponda alipotoa kauli kinyume na yakwake kuhusu sensa,kaliachia na gazeti lenye kusambaza sumu hizo huku akilifungia lenye kusema ukweli(mwanahalisi)
Ninamini kabisa kuwa tulipofikia,uwezekano wa kuingia kwenye vurugu na mapigano ya kidini ni mkubwa kuliko wakati wowote ule kwenye historia ya Tz toka tupate uhuru.
Kama JK ni mdini,tufanyeje?Ni wazi anapenda haya yaendelee kuwepo kwasababu ni kama anauwa ndege wawili kwa jiwe moja,yani kwasababu yeye ni fisadi na mdini,basi issue za ufisadi wake anazifukia kwa kupenyeza sentiments za kidini kwasababu anajuwa the issue is extremely sensitive.
Je kama taifa tutapona dhidi ya udini huu wa JK?je kukitokea mapigano,nani atakuwa responsible?Je nini kifanyike kukomesha udin8I hu?ama tumeridhika?!....