Kwa mambo haya - JK ni Mdini!

Status
Not open for further replies.
Wewe ndio utakuwa responsible naamin unaishi tanzania na unafamilia yako.nn kifanyike kukomesha udin ni ww kuacha kuwa na hisia potofu za udin na unatakiwa kujadili mustakabali wa nchi na sio udin wa jk,unaposema fulani ni mchawi basi ww umeshawahi kwenda kuroga,so acha hiyo kitu kk tuna mambo mengi ya kujadili kwa manufaa ya nchi
 
Mou ni utawala wa ccm mkuu.Na the way forward,kwanza ni JK kuchukuwa hatua madhubuti za kuukomesha.Pili ni kuiondoa ccm madarakani.Nani alisema Mou ni mktaba wa chadema?
 
Soma huo ujinga wake mwingine alonijibu hapo chini sijui Kama Yuko sawa kwenye kichwa chake

Huyu jamaa leo ndio anazidi kujivua nguo kila anochaandika ni pumba tu, halafu na wasiwasi na umri wake anang'ang'ania eti JK ndio kaleta udini sijui kazaliwa lini.
 
Toka hapo mwanzo. Waislam hawajawahi kuwa na matatizo na wakristo. Katika nchi zote africa na dunia sisi tumeishi kama ndugu teba wamoja. Tofauti zetu za dini hazijawahi kuonekana.
Nakumbuka nilivyokuwa mdogo tulikuwa tunaletewa daku, futari na waislam majirani zetu na tuliishi vyema. Kila pahala tunaendelea kushirikiana.
Dini nini? Ni sio sababu ya kumbagua mwenzako au kumdharau. Hakuna aliyezaliwa na kuchagua dini ipi awe, na hakuna aliyerudi na kusema dini fulani ni sawa.Tuacheni fikra potofu, chafu na zenye kuangamiza taifa na kizazi chetu.
Haya yote ya udini ameyaleta Jakaya kikwete. Na mwenyezi Mungu atujali tuje kumuhukumu hapa dunia na Mungu atamuhukumu pia
Pia mwenyezi Mungu atatusaidia nasi tuzidi kusimama kama watanzania na sio waislam au wakristo. Sisi sote ni ndugu na sisi sote tunategemeana.
Idumu Tanzania yetu. Mwenyezi Mungu amlaani kikwete, dhambi hii imtafune yeye na kizazi chake.
Amani kwenu.
 

ofcourse from your point of view you might be right but how about others?how are they defining the problem and its root causes?cuz for a certain phenomena to be known as a problem its depends on various factors such as views and standards,history and traditions etc mimi nakubaliana na wewe 100% kuwa tatizo na pioneers and master mind of it are still there in position with many followers ambao wanaamini tatizo linaanzishwa na third part,actual they remind me of my old days at A level wakati nikisoma habari za luddism.
 
Mkuu umesema ukweli mtupu!JK na wafuasi wake ndo wansema ni mwalimu.Nakumbuka nimeishi vyema sana na ndugu zetu waislam na daku nimekula sana tu.Na shughuli mbali mbali.Hata nyumbani tukifanya sherehe,ni lazima aje ndugu yetu muislam kuchinja ngo'mbe na mbuzi.Jk ameharibu hii nchi mkuu!na hatuwezi kukaa na kuangalia tu!Nina mashemeji waislam na ndugu kabisa wa damu waislam.Laki sijawahi kuona haya mambo only this time!
 
wewe Ritz acha ujinga na thread yako ya kijinga. Ninyi ndiyo mnaleta udini hapa nchini mkidhani ni jambo la kujivunia. Jaribu kutumia akili ndogo uliyonayo kutafakari ushauri wangu.

Hayo maneno ulimwambia na Mtei au unamwambia Ritz, sababu umpendi.
 
Last edited by a moderator:

kuna mdau hapo juu kazungumzia au kauliza ni kwa nini mwalimu hakulaumiwa au hakuchafuliwa sana ktk tawala mbili zilizopita mpaka utawala huu ndio unahusisha kila baya na mwalimu?au kwasababu hawezi kuamka na kuja kujitetea?this issue rise more questions than answers,why mwalimu??????mwalimu has gone n what remains is only his legacy,we have to identify our own problems and seek our own way of addressing them rather than alway blaiming others.
 
mwalimu is just a scape goat mkuu...
 
We are sitting on a powder keg of religious tension in this country.

And now it is just a matter of time before it explodes and plunge the country into sectarian violence.
 
Unamanisha hata serikali ina dini? Maana serikali ni binadamu
au hao binadamu wakiwa katika majukumu ya kiserikali wanaivua imani yao kisha wakiingia katika shughuli zingine ndio wanaivaa?
Ndivyo wanavyofundishwa?
 
Ngoja nione kama nimekuelewa vizuri. Kwanza mmekataa sensa isiweke kipengele cha dini, sasa itakuweje kama kutalazimika kuwepo uwiano wa dini katika teuzi za serikali, sasa rais atajuaje kama fulani ni dini fulani ili amchague kwenye nafasi gani kwa uwiano na mwingine wa dini nyengine? Hivi nafasi za kuomba kazi serikalini zimewekewa kipengele cha dini? Yaani unapojaza application wanauliza wewe ni dini gani? Na kama ni hivyo, kwa nini mlikataa kipengele cha dini kisiwekwe kwenye sensa?
 
We are sitting on a powder keg of religious tension in this country.

And now it is just a matter of time before it explodes and plunge the country into sectarian violence.

what should be done now at least to minimise the impacts when that time comes?
 
I don't know.

i don't think so,given the above explanation of yours....akili yangu inaniambia unaweza ukatoa walau entry point ya kukabiliana na hili tatizo,for the sake of our country and the coming generation tusaidiane ktk hili,nakaribisha mchango wako...
 
Nashukuru Mkuu. Wana JF nawaomba tuonyeshe njia na sio chuki juu ya wachache ambao hawataki tuelewane.
Sisi watanzania tuendelee kuungana katika matatizo yetu na furaha zetu bila kubaguana kidini wala kikabila.
Tuwe mfano wa kuigwa, movement to conquer. Hasira zetu tuwaelekezee kina Nape, Jakaya Mrisho Kikwete na CCM kwa maana tamaa zao ndio zinaleta shida yote hii.
Narudia tena,tusigawanywe na watu hawa tena wa kupita.kataa ukabila kata Udini.
Adui yetu sote ni KIKWETE!
 

What is Needed is GREAT TIGHT STRONG CONSTITUTION; Because we will not ever again going to get a strong, visual and

able leader like J.K Nyerere... Nyerere alikuwa hana Waziri Mchagga au Mhaya na anawapa Balozi mfano Anthony Nyakyi au

Rukumbuzya na kila mtu wa kabila hilo anatosheka; Sababu za hekima zake na anawapa Uwaziri watu wa Makabila madogo,

Mfano Mzuri Musfafa Nyang;anyi na wote wanafanya kazi kwa kujitupa bila kujali upuuzi wa sasa hivi UDINI, UKABILA;

Kitu kitakacho kisaidia Taifa hili ni KATIBa MPYA na NGUMU isiyokuwa na HURUMA na wanaopenda kugawa Wananchi

Kwa UDINI na Wanajua kua Nchi Nyingi Duniani watawatenga, Sasa hivi Dunia sio kama enzi hizo za kuchomana kwa VISU

Kwa Ukabila kwasababu Mh. Mwengulu Nchemba ana visa na Wanachadema Wachagga 13tu roho yake yote ni chuki kwa

Wachagga wote hadi wale ambao ni Waislamu? au Walioolewa na Watu wa Makabila Mengine... KATIBA ya NGUVU ndio

Itakayomziba Mdomo na kumuweka JELA; sio CCM na NGUVU zake kumlinda...

​Siamini kugawana Vyeo ni kunafaa; ni KATIBA kali ndio itakayotulinda...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…