Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,697
- 15,384
Mwendazake alijua kutufool sana, tena aliapa kwa majina yote ya Mungu kwamba anaunchungu na rasilimali zetu, waliotaka kusema waliwekwa ndani na wengine kupigwa risasi, mwisho wa siku yote yamekua waziTumepigwa,sana huku tukipepewa eti wanyonge yaani, ukisikia CAG ukaona watu hawana ajira, unyanyasaji, wafanyakazi,unaweza kusema Asante Mungu,kwa kila jambo maana utabakia na hasira na huna cha kufanya