100% nimekuunga mkonoPia nashauri MAMA AUNGANE NA KIDUKU KIM WA KOREA KUHUSU SHERIA ZAKE UKILA KUANZIA MILIONI 1, TUNYONGE TU HAKUNA NAMNA.

😂 😂 😂 SawaSiyo sisi tunaomsema bali ni report ya CAG ambayo ni credible evidence.
Baadhi ya Mataga wameanza kurudiwa na akili, tatizo ni hili genge la Askofu Chidi lijulikanalo kama Sukuma Gang,yaani hawaelewi eti wanashift lawama za wizi wa jiwe kwa Mama.Aisee mataga mtaambia nini watu?
Kwa mifumo iliyopo Tanzania hata rais awe Tundu Lissu, Makamu Lema, Waziri Mkuu Mbowe, Waziri wa mambo ya ndani Sugu, IGP Mnyika, CDF Yeriko Nyerere, Waziri wa Katiba Msigwa, Mkuu wa TAKURURU Heche, CAG Zitto, Uchumi Lipumba, Madini Mbatia.... madudu yataendelea tu. Ni falsafa ya Mtanzania kuwa akipata madaraka ni lazima aibe; na asipoiba akaja kuondoka madarakani hana kitu jamii hiyo hiyo inamgeuka na kuanza kumcheka na kumuita mshamba huku mafisadi yakitukuzwa kwa kuitwa matoto ya mjini, majoka makengeza....
Na kubadili falsafa ya jamii, kujenga mifumo imara na kuleta mwelekeo mpya wa jamii ni suala la muda mrefu na lenye kuhitaji vizazi kadhaa. Nyerere alijaribu sana katika hili lakini tatizo ni kwamba kumbe hata yeye alikuwa peke yake. Alipoondoka akaondoka na falsafa zake japo yeye mwenyewe alikuwa mwadilifu kabisa kabisa. Hata watu aliowaamini sana kama mwanafunzi wake Ben na komredi Kingunge nao wakaja kumgeuka na kuwa wapigaji tu. Kwa hivyo haitoshi tu kiongozi kuwa mchapakazi na mwadilifu, bila kubadili mifumo na fikra za jamii ni kazi bure.
Kwa hali ya sasa, Tanzania hii hata atawale nani (ukiwemo wewe mwenyewe), madudu na upigaji vitaendelea tu. Na ukijifanya wewe ni mkali, utakuwa na maadui wengi wa ndani na nje; na ukizubaa unaweza hata kuuliwa.
Mwendazake alijaribu sana. Tena kwa ukali mno lakini wapi. Upigaji uliendelea tu japo pengine ulipungua kidogo na ulikuwa unafanyika kwa kujificha ficha kidogo na siyo waziwazi kama kwa watangulizi wake.
Ni rahisi kuongea kishabiki kuhusu haya mambo lakini ukiyaangalia kwa undani wake ni mazito na yenye kusikitisha sana!
Pamoja sana![]()
![]()
Sawa mkuu
Nikamavile kapisha uchunguziWakuu na wadogo wa JF.
Ukisikia hbr ya CAG juu ya jinsi pesa ya serikal inavyotafunwa kupitia watendaji wasio waaminifu kumbe JPM yalikuwa maneno tu na hakuwa na Sumu.
Sina kumbukumbu kamili kama miaka 6 ya jiwe CAG alikuwa anasoma Ukaguzi wake open kama inavyofanyika leo.
Kwa haraka 40% ya pesa ya serikal ilikuwa inaibiwa na wafanya kazi.
Na watu walimuogopa JIWE kipindi cha mwanzo lakini baada ya hapo wizi ulikuwa wa kutisha.
Ukisikia taarifa ya CAG utaona wazi kuwa katika kuthibiti mapato serikal ya JIWE haikumudu hata asilimia 50.
MAMA yetu kipenzi ana kila sababu ya kukaa na kamati wabuni mfumo wa kuthibiti wizi huu zaidi ya hapo TZ ni shamba la BIBI.
Pia nashauri MAMA AUNGANE NA KIDUKU KIM WA KOREA KUHUSU SHERIA ZAKE UKILA KUANZIA MILIONI 1, TUNYONGE TU HAKUNA NAMNA.
Mizizi ya Tz kuhusu,wizi kwa watendaji haiwezi kuisha kwa hali tu tuliyofikia kwa sheria zetu hizi lege lege.
Nasikia KAGAME amekomesha kabisa wizi cjw alifanyaje.
Nimeanza kuamini kumbe JIWE kuondoka inawezekana ni mpango wa SIR GOD mtenda haki.
Sifurahi kifo chake lakini tulifichwa mengi.
MUNGU IBARIKI TZ, MUNGU MBARIKI SSH RAIS WETU MPYA.
Mkuu risiti ya manunuzi ya ndege ulionyeshwa copy?,Ila wewe ukinunua mafuta Diesel Lita Moja ukasahau kuchukua risiti faini 300000= ,nahapo ujue kila station ina pump Zilizounganishwa na EFD machine automatically.Wakuu na wadogo wa JF.
Ukisikia hbr ya CAG juu ya jinsi pesa ya serikal inavyotafunwa kupitia watendaji wasio waaminifu kumbe JPM yalikuwa maneno tu na hakuwa na Sumu.
Sina kumbukumbu kamili kama miaka 6 ya jiwe CAG alikuwa anasoma Ukaguzi wake open kama inavyofanyika leo.
Kwa haraka 40% ya pesa ya serikal ilikuwa inaibiwa na wafanya kazi.
Na watu walimuogopa JIWE kipindi cha mwanzo lakini baada ya hapo wizi ulikuwa wa kutisha.
Ukisikia taarifa ya CAG utaona wazi kuwa katika kuthibiti mapato serikal ya JIWE haikumudu hata asilimia 50.
MAMA yetu kipenzi ana kila sababu ya kukaa na kamati wabuni mfumo wa kuthibiti wizi huu zaidi ya hapo TZ ni shamba la BIBI.
Pia nashauri MAMA AUNGANE NA KIDUKU KIM WA KOREA KUHUSU SHERIA ZAKE UKILA KUANZIA MILIONI 1, TUNYONGE TU HAKUNA NAMNA.
Mizizi ya Tz kuhusu,wizi kwa watendaji haiwezi kuisha kwa hali tu tuliyofikia kwa sheria zetu hizi lege lege.
Nasikia KAGAME amekomesha kabisa wizi cjw alifanyaje.
Nimeanza kuamini kumbe JIWE kuondoka inawezekana ni mpango wa SIR GOD mtenda haki.
Sifurahi kifo chake lakini tulifichwa mengi.
MUNGU IBARIKI TZ, MUNGU MBARIKI SSH RAIS WETU MPYA.
Meko na genge lake walikuwa wapigaji wa kuwekewa mfano...
Alivyompiga chini Prof Assad kipindi kile wacha Mungu tulishajua lengo lake...
Tukapiga goti kumwomba Mungu alikomboe taifa kwa namna anayoona inafaa...
Mungu akajibu maombi yetu kwa kufanya maamuzi magumu...
Najua unapenda kutukana na kukashifu wengine. Hiyo ni haki yako japo ingependeza mno kama pia ungeheshimu maoni ya wengine kwa sababu nao wana haki ya kutoa maoni yao sawa tu na wewe. Hapo hata sijui Usukuma unaingiaje kamanda.Wasukuma buana,kwa hiyo huwataja hao wapinzani ndiyo utetezi kuwa meko na genge lake hawakutupiga?
Jamaa lilikua lipigaji kinyama.Na mama na yeye akimaliza mtamsema tu
KINGWALA ukimfatilia unaona wazi,kabisa,hata ubunge alipasa kukosa ni basi tu ameshaupata.Hk nae atumbie matamasha yake ambayo CAG kanyoshea kidole yana yana sintofahamu nyingi akiwa kama waziri wa utalii na maliasili hayo malipo ya pesa kwa kutokua na stakabadhi na ufujaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi Mungu akamhitajiJamaa lilikua lipigaji kinyama.
Watu wameiba sana kwa mgongo wa wanyonge
Watanzania sijui tumerogwa na nani. Hivi kwa mtu ambaye ana dhamira ya kweli ya kupambana na ufisadi angediliki kuzuia vyombo vya habari visifanye kazi zake kwa uhuru. (Mfano Mwanahalisi liliandika habari ya ufisadi ndani ya ofisi ya mkuu ) kwa habari hiyo likafungiwa moja kwa moja mpaka leo.Wakuu na wadogo wa JF.
Ukisikia hbr ya CAG juu ya jinsi pesa ya serikal inavyotafunwa kupitia watendaji wasio waaminifu kumbe JPM yalikuwa maneno tu na hakuwa na Sumu.
Sina kumbukumbu kamili kama miaka 6 ya jiwe CAG alikuwa anasoma Ukaguzi wake open kama inavyofanyika leo.
Kwa haraka 40% ya pesa ya serikal ilikuwa inaibiwa na wafanya kazi.
Na watu walimuogopa JIWE kipindi cha mwanzo lakini baada ya hapo wizi ulikuwa wa kutisha.
Ukisikia taarifa ya CAG utaona wazi kuwa katika kuthibiti mapato serikal ya JIWE haikumudu hata asilimia 50.
MAMA yetu kipenzi ana kila sababu ya kukaa na kamati wabuni mfumo wa kuthibiti wizi huu zaidi ya hapo TZ ni shamba la BIBI.
Pia nashauri MAMA AUNGANE NA KIDUKU KIM WA KOREA KUHUSU SHERIA ZAKE UKILA KUANZIA MILIONI 1, TUNYONGE TU HAKUNA NAMNA.
Mizizi ya Tz kuhusu,wizi kwa watendaji haiwezi kuisha kwa hali tu tuliyofikia kwa sheria zetu hizi lege lege.
Nasikia KAGAME amekomesha kabisa wizi cjw alifanyaje.
Nimeanza kuamini kumbe JIWE kuondoka inawezekana ni mpango wa SIR GOD mtenda haki.
Sifurahi kifo chake lakini tulifichwa mengi.
MUNGU IBARIKI TZ, MUNGU MBARIKI SSH RAIS WETU MPYA.
Angeanzia wapi wakati alipigwa mkwara kwamba asiende kujifanya nayeye ni mhimili mwingine wa serikali.Kwanini hakutaja maovu yote kwenye serikali ya Hayati?