Hehehe... hiyo ndo ya kusubiria kwa hamu maana mama nadhani anataka kuzinguana na watuMiaka mi5 ya jamaa hela ndefu sana imepigwa. Ngoja tusubirie report ya hela zilizotoka hazina from january to march
Kweli mkuu alihakikisha anatuziba midomo kwa pamba na super glue.Ndiomaana alikua anahangaika na kufungia wanaharakati na vyombo vya habari ili uozo wake usijulikane yaani kaaibika hata hajaoza vizuri shwenzyyy
Kuna wizi,mkubwa sana sana sanaKila utawala huwa unasemwa hata mkwere ulisemwa na kulionekana Kama hakuna kilichofanyika! We weka kitabu mkononi na endelea kusoma utaona mapya! Mbona bado yanakuja.. huu ni mpevuko wa taifa letu kuingia ktk sura mpya na hiyo nafasi ni wananchi ndo wakuchagua ila sio viongozi!.. keep it in your mind.
Ila Tatizo LipoUkisikia hii taarifa ya CAG unaweza kupiga ukunga hlf ukalinganisha na hali ya maisha ya Watz.
Ukisikia,anachosema CAG kama wewe ni mzalendo unataka hii keki tugawane wote kwa hasira unaweza kuhama nchiMeko na genge lake walikuwa wapigaji wa kuwekewa mfano...
Alivyompiga chini Prof Assad kipindi kile wacha Mungu tulishajua lengo lake...
Tukapiga goti kumwomba Mungu alikomboe taifa kwa namna anayoona inafaa...
Mungu akajibu maombi yetu kwa kufanya maamuzi magumu...
Magu alikuwa corrupt kuliko rais yeyote alie wahi kuongoza hili Taifa.Wakuu na wadogo wa JF.
Ukisikia hbr ya CAG juu ya jinsi pesa ya serikal inavyotafunwa kupitia watendaji wasio waaminifu kumbe JPM yalikuwa maneno tu na hakuwa na Sumu.
Sina kumbukumbu kamili kama miaka 6 ya jiwe CAG alikuwa anasoma Ukaguzi wake open kama inavyofanyika leo.
Kwa haraka 40% ya pesa ya serikal ilikuwa inaibiwa na wafanya kazi.
Na watu walimuogopa JIWE kipindi cha mwanzo lakini baada ya hapo wizi ulikuwa wa kutisha.
Ukisikia taarifa ya CAG utaona wazi kuwa katika kuthibiti mapato serikal ya JIWE haikumudu hata asilimia 50.
MAMA yetu kipenzi ana kila sababu ya kukaa na kamati wabuni mfumo wa kuthibiti wizi huu zaidi ya hapo TZ ni shamba la BIBI.
Pia nashauri MAMA AUNGANE NA KIDUKU KIM WA KOREA KUHUSU SHERIA ZAKE UKILA KUANZIA MILIONI 1, TUNYONGE TU HAKUNA NAMNA.
Mizizi ya Tz kuhusu,wizi kwa watendaji haiwezi kuisha kwa hali tu tuliyofikia kwa sheria zetu hizi lege lege.
Nasikia KAGAME amekomesha kabisa wizi cjw alifanyaje.
Nimeanza kuamini kumbe JIWE kuondoka inawezekana ni mpango wa SIR GOD mtenda haki.
Sifurahi kifo chake lakini tulifichwa mengi.
MUNGU IBARIKI TZ, MUNGU MBARIKI SSH RAIS WETU MPYA.
😂 😂 😂Angetajaje wakati hayati alisema ukimshaur ndiyo umeharibu na hashauriwi
Ilani ya ccm 2020 - 2025 inasema tutaendelea kupambana na rushwa na ufisadi kwa nguvu zote.
Haisemi ufisadi umeisha.
Hata Ulaya kina Morinyo, Messi, Ronaldo mara kwa mara tunasikia aamepelekwa mahakamani kwa kukwepa kodi.
Hata Chadema wabunge wengi walihama mwaka jana sababu ya ufisadi michango yao. Kinachotakiwa ni kuendelea kupambana na ufisadi
Hayati Katukomesha Kweli KweliAngefanyaje maana alikuwa anawasilisha kwa mkuu ndiyo alipaswa kutoa maamuzi.