Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,099
Ooh nimeona tu baadhi ya madaktari wa hospital Fulani wanavyohudumia watu wao vizuri .wanavyojali muda wao na kusamini muda wa wagonjwa wao hata chai anakunywa kwa muda mfupi akijua kuna watu wanahitaji huduma yake..apo ndo nilipotokea kuipenda na kusamini hii kada ndo ivo tu
kumbe ww kigezo chako cha mume bora ni daktari eee? lkn huo utafiti wako ni wa hospitali ngapi c moja tu???