ikisimama panda
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 2,726
- 2,402
Heheheheh.... niliishia KCMC wodini pale.... si unajua ndo home kwangu pale.....
On serious note, hebu ni PM tutongozane kidogo.
nachukiaga watu wanaoacha kuchangia mada iliyopo mezani wanaanza kupigizana stori na wenzao, mimi nikikuona naweza kukutia hata makofi kudadadensa