MLALUKO JR
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 962
- 309
ucku plus usingizi bt iyo mi-muscle co shida dokta
ucku plus usingizi bt iyo mi-muscle co shida dokta
Wewe ni he au she? Napenda sana kucharazwa makofi na jinsia pendwa....nachukiaga watu wanaoacha kuchangia mada iliyopo mezani wanaanza kupigizana stori na wenzao, mimi nikikuona naweza kukutia hata makofi kudadadensa
Wewe ni he au she? Napenda sana kucharazwa makofi na jinsia pendwa....
Dada nameless apo key point ni madokta nimetokea kusamini sana kazi yao kwa wachache niliyowaona kiukwel wanajituma na kuipenda kazi yao ambayo ni ngumu na ina challenge nyingi na bado wanaifanya vizuri
Wewe hujielewi halafu hujielewi kama huelewi...
Mkuu wahi matibabu kabla hujapata psychosocial stressor ika trigger your to be diagnosis.... if you know what I mean.... tehe😛
Thanks papa. Ndo ulikoenda tena, mbona mbali hivo?