Kwa madaktari wote

Kwa madaktari wote

Kazi kwel kwel nan asingependa mmewe awe dr ili awe anamtibu akiwa no one? Hata mm napenda ila yataka moyo labda kama huna element ya wivu maana vyumba vyao vya kuongea na wagonjwa ni zaidi ya hotel/ gest
 
Ha ha ha haaaaa! babu Asprin wacha fujo, halafu wewe vipi tena mbona hukuja Rombo nilikusubiri pale mamsera
Heheheheh.... niliishia KCMC wodini pale.... si unajua ndo home kwangu pale.....

On serious note, hebu ni PM tutongozane kidogo.
 
Kazi kwel kwel nan asingependa mmewe awe dr ili awe anamtibu akiwa no one? Hata mm napenda ila yataka moyo labda kama huna element ya wivu maana vyumba vyao vya kuongea na wagonjwa ni zaidi ya hotel/ gest

ukiwa insecure na mumeo lazima uogope.
dactari kufanya mapenzi na mgonjwa ujue ni mtu asiyejielewa.
mtu kama ni mzinzi maarufu ataenda zake gest au hotelini na kumaliza uzinzi wake.
 
shukrani sana mimi ni dokta na pia sijaoa.
 
Hahahahaaaa.....wamekusikia. Ila ni wajibu wao kutoa huduma kwa sababu wewe unalipia lkn pia wanapokea mshahara kwa kazi hiyo.
Mi nitumie nafasi hii labda kuwatia moyo na kuwapongeza waalimu wote (isipokuwa wa vyuo) popote walio
 
una akili nyingi wewe umeona kusema unatafuta mume awe doctor watu watakukejeli sana au....!? kweli una akili nyingii sana zaidi hata ya kuku......utaolewa na doctor...sangoma
 
Ni PM Dada utimize ndoto zako......me n mmoja wao
 
Hahahahaaaa.....wamekusikia. Ila ni wajibu wao kutoa huduma kwa sababu wewe unalipia lkn pia wanapokea mshahara kwa kazi hiyo.
Mi nitumie nafasi hii labda kuwatia moyo na kuwapongeza waalimu wote (isipokuwa wa vyuo) popote walio

mind za aina hii ndio zinawafanya watu wasifanye kazi.
ukiwa na mawazo kama haya hata shukrani ya mdomo tu baada ya kuhudumiwa hutoi.
unajua kwamba watumishi wa afya wanafanya kazi kupita muda wao wa kazi na wengi hawajalipwa stahiki zao?

unadhani wangekuwa wana mawazo ya kufanya kazi kama wajibu kulingana na malipo mngehudumiwa?
 
We unalipa kodi kila mahali na kila siku. Kazi yako ni kuisimamia serikali itimize wajibu wake kwani tumewapa dhamana ya kusimamia rasilimari zetu zilizojaa kila kona ya nchi.....BAHATI MBAYA UNAAMINI NIKIKUUNGA MKONO KUWASHUKURU MADAKTARI NDO NTAKUWA NIKO SAHIHI WKY NI BIG NO.
 
Where is origin and insertion ov GASTRICNEMIUS muscle if your real medical personel
 
Back
Top Bottom