mimikapeople
Member
- Apr 28, 2015
- 27
- 34
Nawapongeza sana madaktari wote mnaopenda kazi yenu na kuhudumia watu kwa moyo mmoja mungu awabariki sana na azidi kubariki kazi zenu kwani huo ni wito.
Nawapenda sana madaktari hata nikisema niolewe Mungu anipe doctor ili niwe namtia moyo kwenye kazi yake aweze kuifanya vizuri.
Mungu wabariki madaktari wote wanaotimiza wajibu wao.
Ameen