Kwa kweli wakati mwingine maisha ni ufala sana

Nani alikwambia usipokuwa na pesa ndugu watakupenda? Hata mke wa kuoa hutapata yule ambaye roho yako inampenda ila utapata yule ambaye unaweza kumpata kulingana na hali yako. Hata spiritual life hutaenjoy kwa sababu siku zote utakuwa unawazia umaskini tu, mkiingia kwenye maombi wengine wanaomba mambo mazito ya kuwafanya wasonge mbele kwenye safari yao ya kwenda mbinguni we kila siku unaomba Mungu akujalie walau upate lunch kesho ule na watoto kwa hiyo spiritually utakuwa unafeli tu kwa kuwa utakuwa unashughulishwa sana na mahitaji ya kimwili kuliko ya kiroho. Itafika wakati huwezi kwenda kanisani maana kiatu kinacheka na huwezi kwenda peku au kuvaa malapa....nguo uliyonayo ulivaa jumapili ile, hii ya juzi na hauna nyingine ya kubadilisha.
Hili andiko la 'utafuteni kwanza ufalme wa Mungu na mengine mtazidishiwa' ni jepesi kutamka ila kulitendea kazi ni shughuli kwelikweli
Siku ukipata pesa. Naamini utabadilisha haya mawazo.

NB: kuwa na pesa si guarantee ya kupata vitu halali/sahihi mfano mwenza wa maisha.
 
Siku ukipata pesa. Naamini utabadilisha haya mawazo.

NB: kuwa na pesa si guarantee ya kupata vitu halali/sahihi mfano mwenza wa maisha.
Mkuu kuna wakati niliwahi kuwa na nafuu ya maisha, sikuwa na pesa nyingi nilikuwa nimepanga tu chumba kimoja ila nilikuwa na uhakika wa kupata mahitaji yangu bila tatizo, hata nikipata wageni sina cha kuhofia maana nina uhakika wa kuwahudumia ingawa sio kwa mambo makubwa.... I was happy and soo satisfied.
 
Ndiyo hivyo maisha hayana usawa...

Kama vile vidole ambavyo havifanani...

Wote hatuwezi kua nazo, na wala wote hatuwezi kukosa...

Cc: mahondaw
 
Mkuu kuna wakati niliwahi kuwa na nafuu ya maisha, sikuwa na pesa nyingi nilikuwa nimepanga tu chumba kimoja ila nilikuwa na uhakika wa kupata mahitaji yangu bila tatizo, hata nikipata wageni sina cha kuhofia maana nina uhakika wa kuwahudumia ingawa sio kwa mambo makubwa.... I was happy and soo satisfied.
Hii haijaonesha popote kuwa ndugu watakuchukia ukiwa huna hela kama ulivyosema
 
Mkuu kuna wakati niliwahi kuwa na nafuu ya maisha, sikuwa na pesa nyingi nilikuwa nimepanga tu chumba kimoja ila nilikuwa na uhakika wa kupata mahitaji yangu bila tatizo, hata nikipata wageni sina cha kuhofia maana nina uhakika wa kuwahudumia ingawa sio kwa mambo makubwa.... I was happy and soo satisfied.
Basi sawa mkuu
 
Mkuu, ingawa ni kweli kuwa pesa inarahisisha maisha, lakini ujue kuwa pesa zina ukomo zake, na si kila kitu kinaweza kununuliwa:
MONEY ISN'T EVERYTHING
Money can buy you a house but not a home;
Money can buy you a clock but not time;
Money can buy you a bed but not sleep;
Money can buy you food but not appetite;
Money can buy you a book but not knowledge;
Money can buy you medicine but not health;
Money can buy you blood but not life.
Hizi theory huwa ni za kimaskini sana,Money Can buy anything in the world...even God himself anapenda watu wake wawe na pesa,ndio maana anasema toeni mtaongezewa na kubatikiwa....je kwa nini unadhan kanuni ya fungu la kumi imewekwa kwenye pesa na sio mahindi au mihogo unayovuna shamban kwako?
 
Kiukweli ukizungumzia suala pesa kila mtu ana kiwango chake cha kuweza kuridhika na kuwa na furaha, ila pesa ni muhimu kwa kweli
Kama wewe kiasi gani cha Pesa kinaweza kukuridhisha ?

Mimi tangu nimeanza kuzishika sijawahi kuridhika nayo.
 
Back
Top Bottom