Kwa kweli niko juu ya mawe nishikeni mkono

Nifanye maarifa gani?

Na kama unajua kuna kufanya maarifa sasa kwanini hufanyi?
Maarifa ya kufanya si mpaka nikueleze .. nimetumia tafsida tuu ............. kama hutaelewa basi itabidi nilitumie neno husika.....
 
mie kijiwe changu kwa tumbo
au pale swit kona
pale wateja wengi hawaishi

Hata kwa tumbo pako powa ila nzuri zaidi pale popo bawa hamnaga shida unampiga mtu ngeta huku raia wanachekelea
 
Nifanye maarifa gani?

Na kama unajua kuna kufanya maarifa sasa kwanini hufanyi?

Level ya kufanya maarifa tunazidiana haijalishi wewe ni mwanamke au mwanaume. Kwa lugha nzuri ya kiinglishi ni ''Altenatives''
 
Sasa mbona umemjibia kwa uhakika kabisa?
Hhhmm. . .ipi hiyo?Nidokeze.

Nimemwonea tu huruma Lizzy... Ulikuwa na sura kavu sana ulipomjibu...

Hahahaaa ... You can't guess...

Okay... Give me a nickname...
 
Nimemwonea tu huruma Lizzy... Ulikuwa na sura kavu sana ulipomjibu...

Hahahaaa ... You can't guess...

Okay... Give me a nickname...

Najua Lizzy mwanzoni hukomaa lakini baadae anakuwa powa sema hujamjulia
 
Back
Top Bottom