Kwa kweli niko juu ya mawe nishikeni mkono | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa kweli niko juu ya mawe nishikeni mkono

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by nitonye, Feb 12, 2012.

 1. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #1
  Feb 12, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Wahenga wanasema ukiona mtu mzima analia ujue kuna jambo. Bandugu hali imetaiti najicheki nina kama buku tu. Okoeni jahazi jamani mtoto wa kiume nisiadhilike.
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Feb 12, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  ha ha, na valentine hiyo.

  Mwanamme humwaga hata zege wewe
  acha kudeka
  mbona sura ya kazi kabisa hiyo.
   
 3. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #3
  Feb 12, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Kuna akili inanijia nikapige watu ngeta uchochoroni nipate cha fasta
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Feb 12, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mpaka hapo ushaaDHIlika.
   
 5. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #5
  Feb 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,105
  Likes Received: 6,577
  Trophy Points: 280
  Mpo wengi.
   
 6. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #6
  Feb 12, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Tena sio kitoto nipe maunjanja si unaukumbuka ule uzi wa kufanya maarifa kwa mwanamke
   
 7. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #7
  Feb 12, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Unaitwa nani vile,matonya eh?
  mnaambiwa msichague majina tu bila sababu angalia sasa!
   
 8. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #8
  Feb 12, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Tupo wengi kivipi ina maana wapo wengine humu
   
 9. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #9
  Feb 12, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kilo na nusu itakutosha ? Kama jibu ni ndiyo, announce faster A/c No yako kabla hatujazipeleka Mariedo kwa kuwachukulia wachuchu mavituz ya Valentain.
   
 10. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #10
  Feb 12, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Mkuu mi naitwa nitonye
   
 11. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #11
  Feb 12, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Dah... Hajaadhirika kuhusu Valentine....

  Ile bajeti yake kamwachia la azizi wake.. Kwa hiyo siku ya 14th haina majotroo...

  Ila,ndiyo kisababishi cha yeye kufulia leo...
   
 12. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #12
  Feb 12, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Dah hiyo kubwa kuirejesha itakuwa ngumu kweli isije ikanifanya nikahama mtaa
   
 13. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #13
  Feb 12, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Unaambiwa neno ''laiti ningejua huja mwisho wa safari'' ndicho kinachonisumbua
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  Feb 12, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Maarifa gani tena kwa mwanamke?
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Feb 12, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  njoo tandale tukapige
  ila usiogope k.u.n.y.e.a debe

   
 16. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #16
  Feb 12, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Inanikumbusha wakati tunakua,na tunataka spring chicken ....... We unakaa muda mrefu bila kula hapo meeting point,unamsubiria chick huyo... Akifika,we unabaki na njaa,unamwagizia yeye chochote anachotaka...
  Unakaa hivyo hadi atakapoondoka... Ndiyo unahesabu wallet imebakiwa na kiasi gani!
   
 17. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #17
  Feb 12, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Mwanaume mambo yakimshinda anamuambia mke wake afanye maarifa au wewe hufanyi hayo maarifa?
   
 18. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #18
  Feb 12, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Ni nazo za mbao hiyo mtu hachomoki, pale kwa mtogole pako powa
   
 19. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #19
  Feb 12, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Au unamwagizia chipsi mayai a.k.a zege halafu wewe unaenda kibandani kula mihogo ya kukaanga aisee huu ni utumwa
   
 20. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #20
  Feb 12, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,419
  Likes Received: 3,765
  Trophy Points: 280
  Unakoelekea utatubomolea KUTA zetu kwa kuzishika
   
Loading...