Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,806
- 17,925
Huu uwoga ndio hutuponza. Mpaka hatua hiyo ya mchepuko kumuongelea hivyo mke ina maana tayari ameshamdharau mwanamke mwenzie kwa maneno pandikizi ya jamaa. Hata mwanaume naye ameshapandwa kichani.Wanawake wengi wamekosa Maamuzi thabiti, pia Waoga sana