Kwa kweli mzumbe najuta kuifahamu...!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa kweli mzumbe najuta kuifahamu...!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mr.mzumbe, Jan 20, 2012.

 1. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 800
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 60
  Kwa kweli mzumbe maisha ni magumu sana {kitaalumu},maisha ya uku ni mchaka mchaka!!idadi ya test kwa wiki kwangu mimi naiona ni kubwa sana,yaani unakuwa mpaka na test 4 au 5 kwa wiki.
  Vyuo vingine maisha kama MU au hapa kumezidi???
  Ukiwa kilaza ndani ya semester moja unakuwa ushatengeneza ngoma zako nne {disko wa fail ya masomo ma 4}.
  Kwakweli Mzumbe muhisikie huko huko mukiwa kwenye vijiwe vyenu vya kahawa,lakini kwa swala zima maisha lazima uwe na roho ya mpaka.
  MU=MILITARY UNIVERSITY.
  NOTE:
  Wadogo na watoto wenu vilaza musiwarusu kuja huku, mwisho mutawapa lawama bure.
   
 2. samito

  samito JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wengi tumepita hapo ni mteremko, acha uvivu wewe test haziui hata ufanye 8 pa dy, piga bla bla za kutosha maisha yaende
   
 3. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,067
  Likes Received: 1,803
  Trophy Points: 280
  Mr. Mzumbe .... Kumbee kwa hiyo UDSM cha mtoto ..hahha
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,399
  Trophy Points: 280
  Muzumbe univasity ya chuo kikuu cha mulogulo
   
 5. C

  Chavallahg New Member

  #5
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vyuo vyote vya umma vina hinyahinya mwendomdundo. Siyo MU tu. Nenda UDSM, SUA, nk. Ukishangaa ya Musa, utayaona ya Filauni! Komaa ki-stone. Acha kuwatisha watu wakiogope Chuo Kikuu cha Mzumbe. Nini test 5 per week, watu tumewahi kufanya UE 4 per day na bado hatukuvutwa shati. Tulitoka na GPA bomba. Hamishia godoro Library.Punguza kuhudhuria mabash.
  Chavallah, Gerald A.
   
 6. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,143
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  hakuna kitu kama hicho! Nenda state university (udsm) uone ugumu wa maisha..huko kwingine bata tu..
   
 7. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
   
 8. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #8
  Jan 21, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 800
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 60
   
 9. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #9
  Jan 21, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  kweli jf haiishi vituko
   
 10. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #10
  Jan 21, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Tatizo Mr Mzumbe unakata kiu sana na kuhudhuria vibanda vya chang'aa kule changarawe, kwanini usione maisha magumu?
   
 11. dfreym

  dfreym JF-Expert Member

  #11
  Jan 21, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  naona kilichokuleta hapa ni ujanja ujanja tu wa kutaka kulinganisha vyuo.uliona chuo gani chenye test 5 kila wiki? kwa hiyo unataka kunambia semister nzima kila somo lina test si chini ya 10 per semister? na hizo module mnazisoma saa ngapi? coz lecture saa moja, test saa moja. we alokwambia kilaza anafika chuo kikuu nani? au shida yako kujaza tu server za JF.
   
 12. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #12
  Jan 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  NYIE MNAHANGAIKA NA HUYU BURE! YEYE YUKO KWENYE PROMO YA MZUMBE NA PIA ANA KITU ANACHOHITAJI NA SI UGUMU WA SHULE YA MZUMBE. NI NANI ASIYEJUA MAZINGIRA YA MZUMBE?

  KAMA TESTS KWA WIKI ZINAKUWA TANO, JE ZINAFINYIKA WIKI YA NGAPI? NA KWA SEMESTER MNAPASWA KUFANYA TESTS NGAPI? PIA UGUMU AU UBORA WA CHUO AU SHULE SI IDADI YA TESTS NDUGU YANGU BALI NI UTARATIBU MZIMA UNAOTUMIKA NA CONTENTS ZA KILE KINACHOHITAJIKA KUWA COVERED KWA SEMESTER HUSIKA. HALAFU PIA KUNA AINA NYINGI SANA ZA KUWATESTS WANAFUNZI NA SI KWA NJIA YA TESTS TU, KWANI UKITEGEMEA TESTS TU, THEN WANAFUNZI WATAISHIA KUKARIRI KWA AJILI YA TESTS NA SI KUELEWA.

  MR. MZUMBE, KWASASA KUNA APPROACH NYINGI SANA AMBAZO ZINATUMIKA KUWASAIDIA WANAFUNZI ILI WAWEZE KUELEWA NA SI KUKARIRI ILI WANAPOKUWA KWENYE SHUGHULI ZAO WAWEZE KUJIAMINI NA KUFANYA KAZI VIZURI. Na ktk njia hizi, tests kuwa nyingi si njia sahihi. Shida yako kubwa ni kukosa EXPOSURE NA KUJUA NINI KINAENDELEA NJE YA MZUMBE.
   
 13. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #13
  Jan 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
   
 14. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #14
  Jan 21, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Mtu unasoma masomo ya kuimba mashairi afu bado unalia lia ovyo..na wahandisi au madocta wasemeje!
   
 15. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #15
  Jan 21, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,741
  Likes Received: 1,748
  Trophy Points: 280
  mzumbe masomo yao kuimba ngonjera na mashairi hata mtu aliyemaliza darasa la saba anaweza kusoma na akapata gpa ya juu tatizo lww sio msomaji
   
 16. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #16
  Jan 21, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ulikuwa unadhani upo Secondari? Maisha ya chuo ni kuandaliwa for all eventualities. Life sucks.
   
 17. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #17
  Jan 21, 2012
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  hehe ... jf kuna vituko
   
 18. l

  laun Senior Member

  #18
  Jan 21, 2012
  Joined: Sep 5, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  test nyingiiiii=elimu bora ???????????
  Wazee wa Q&A ,hapo shule lazima iwe ngumu na elimu ya kulipua lipua tu coz utahitaji muda mwingi kukariri. Kama unapata concept then unasolve problem mwenyewe bila kushurutishwa na wingi wa test shule haitakuwa ngumu,ila utaelewa ku-apply ulichosoma ktk ulimwengu halisi.
   
 19. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #19
  Jan 22, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 800
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 60
  Ahsante kaka kwa kunivunjia heshima.Naendaga uko kwa ajili ya msosi wa 500 tu.
   
 20. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #20
  Jan 22, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 800
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 60
  Apply kama ujatengeneza sup 4 ndani ya 1st semester!!hyo ndio ukwel mkubwa!!waulize vijana waliopita MILITAry University.
   
Loading...