Hivi kweli mmeelewa hiyo taarifa au mnachangia tuu? Hivi kwanini mnakataa kusoma kwa makini na kutafakari bali mnakimbilia kuchangia tuu?Kwa hii miaka 5 watumishi wa umaa watakuwa roho juu sana. Wazee walioapa kwa kudanganya na kuongeza umri wa kustaafu wanajuuuta sana.
Hili Nalo Neno
Acha Wote Waisome Namba Hii T 2020 CCM
Hutaki Unaacha !!!!
kumshushia mtu mshahara ni kumuadhili kisaikolojia kiutendaji mzuri na kudidimiza utoaji wa huduma ya afya kwa hospitali hiyo tegemeo la wakazi wa kanda ya ziwa , bora wangepandishia hao wengine walingane harafu....kwanini iwe bugando tu aise sijui hii nchi tunakoelekea
Serikali inaongeza mapato kwa kukusanya kodi,sio Kupunguza mishahara,hata wakati wa vita ya Uganda na baada ya vita Mwalimu nyerere hakupunguza mishahara,bali alijitahidi kuongeza uzalishaji Mali,
Tunataka kumsikia Mkuu akiongelea Mbuga za wanyama, migodi ya madini na gesi,kila siku watumishi,kila siku watumishi,kwenye mapesa mengi hagusi
Hivi kweli mmeelewa hiyo taarifa au mnachangia tuu? Hivi kwanini mnakataa kusoma kwa makini na kutafakari bali mnakimbilia kuchangia tuu?
Hivi Madaktari w
a bugando kwanini walipwe zaidi ya wengine? Hatua hii imechukuliwa kuleta Usawa kwa watumishi wote wa kada za udaktari kwenye swala la mshahara.
Mbona mmeshindwa kujadili waliopotosha kuwa posho zimefyekwa?
Nyie huwa hamuoni?
Mbona wa muhimbili hawakuwa na hilo ongezeko?Taarifa tumeielewa kwa akili yako hili swala unaona kawaida....hebu jiulize kwa nini waliwapandishia Mshahara?, pili hili kiutendaji limekaaje? tatu uzito wa kazi kwa bugando ni sawa hospitali za wilaya?kama ziko sawa kwa nini mgomjwa anapelekwa hospitali ya bugando akishindwa hizo hospitali za wilaya? kwani nin MNH,Ocean road,na Moi wawe wasipunguziwe pia walingane na hospitali zingine....kwa akili hii maendeleo sdhani kama tutayapata kama tunavyotegemea
unauhakika na unachokiongea kwa kukufamisha muhimbili wanahilo ongezeeka na wako malipo ya mashirika ya umma ikiwemo moi na ocean road kwa taarifa ya katibu wa wizara ya afya . hizo zote hawashushi mishahara isipokuwa bugando tu....Mbona wa muhimbili hawakuwa na hilo ongezeko?
Soma taarifa tena bugando wana ongezeko zaidi ndio maana limeondolewa.unauhakika na unachokiongea kwa kukufamisha muhimbili wanahilo ongezeeka na wako malipo ya mashirika ya umma ikiwemo moi na ocean road kwa taarifa ya katibu wa wizara ya afya . hizo zote hawashushi mishahara isipokuwa bugando tu....
Taarifa inaonesha Bugando ilipanda ikawa shirika kutoka na hadhi ya kazi inazofanya ikastahili kuwa na status hiyo ndio maana wakaibadilishia mshahara ukawa kama wa muhimbili ocean road na moi lakini kipindi hiki wamegundua haina level hizo ndio maana wameamua kuishushia mishahara kwa maana hiyo bado wanaruhusu ubaguzi ndani ya hiz taasis .kama lengo ni ulinganisho wangefyeka kote kukalinganaSoma taarifa tena bugando wana ongezeko zaidi ndio maana limeondolewa.
Kwahiyo we unafikiri huyo wa Moi, muhimbili na zingine wanalipwa zaidi kuliko dactari wa mikoani au zahanati?Taarifa tumeielewa kwa akili yako hili swala unaona kawaida....hebu jiulize kwa nini waliwapandishia Mshahara?, pili hili kiutendaji limekaaje? tatu uzito wa kazi kwa bugando ni sawa hospitali za wilaya?kama ziko sawa kwa nini mgomjwa anapelekwa hospitali ya bugando akishindwa hizo hospitali za wilaya? kwani nin MNH,Ocean road,na Moi wawe wasipunguziwe pia walingane na hospitali zingine....kwa akili hii maendeleo sdhani kama tutayapata kama tunavyotegemea
kwa jinsi akili yako ilivyo fu...pi unafikiri Dactari wa Muhimbili analipwa sawa na wa mikoani au zahanati? ndio maana lowasa alisema kipaumbelee elimu elimu elimu ili kuondoa mazo...mbie kama nyinyiKwahiyo we unafikiri huyo wa Moi, muhimbili na zingine wanalipwa zaidi kuliko dactari wa mikoani au zahanati?
Kikubwa wawe na elimu sawa, wote ni sawa na watalipwa sawa.
Huyo wa Moi, muhimbili na Bugando atafaidika na posho na overtime na semina na mambo mengine, ila mshahara unatakiwa kuwa sawa...
Mshahara unatokana na elimu yako na secta uliyoko...
Sasa kwanini Hao wa Bugando walipwe zaidi? Ndio maana wakapunguziwa wawe wanalipwa kama wengine....
Nyam......ba.....fu......
Haya kaka... Nashukuru kwa elimu uliyoipata....kwa jinsi akili yako ilivyo fu...pi unafikiri Dactari wa Muhimbili analipwa sawa na wa mikoani au zahanati? ndio maana lowasa alisema kipaumbelee elimu elimu elimu ili kuondoa mazo...mbie kama nyinyi