Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,370
- 14,522
Hapo ngiri inakuhusu,km ni mwanamke labda,lkn bado ishu ya vichomi.Dawa ni kuoga maji ya baridi apo ngoma droo
Hapo ngiri inakuhusu,km ni mwanamke labda,lkn bado ishu ya vichomi.Dawa ni kuoga maji ya baridi apo ngoma droo
Mkuu utaoa kisa baridi au kwasababu muda umefika??Hii ya Mbeya ni hatari mzee, ndio nipo naiskilizia hapa nafikiri kuoa before mwezi wa 8 sabu blanket halinisaidii kitu saiv. ..
Jilazimishe kuizoea.Baridi halizoeleki kwakweli
Lakini ni rahisi kupambaba nayo kuliko joto[emoji16][emoji16]Baridi halizoeleki kwakweli
Kwa kweli hapa ni nipo ndani ya mkoti kama napanda mlima vile na .misoksi ya wachezaji mpaka gotini[emoji38][emoji38][emoji38] sitaki utaniLakini ni rahisi kupambaba nayo kuliko joto[emoji16][emoji16]
Ukizoea ya leo kesho unaamka nayo kali ziaidi dahJilazimishe kuizoea.
Lkn kudhibiti baridi ni rahisi kuliko Joto kali.Ukizoea ya leo kesho unaamka nayo kali ziaidi dah
Ndioo ni kweli kabisaLkn kudhibiti baridi ni rahisi kuliko Joto kali.
Na mimi nataka kujua kwanini umeuliza hivo ukinijibu nami nakujibu swali lakoMkuu wewe ni 'ME'!??
samahani niko nje ya mada.
Hahaha kwani wanawake sio binadamuSikujua kumbe wanawake nao husikia baridi..
Na manyoya yote yale wanasikia baridiNenda ngorongoro hiyo sehemu unambie utakachokutana nacho
Pale hadi pundamilia hujikinga baridi upenuni mwa nyumha za watu
View attachment 1481926
Ni rahisi mwanamke kupata blanketi chapa mtu,kuliko mwanaumeHahaha kwani wanawake sio binadamu
😃😃😃Pongezi kwa awamu kwa kutuletea hali ya hewa ya barid.
mamaaeeee😃😃😃Dawa ni kuoga maji ya baridi apo ngoma droo
😃😃😃Tabu mtingita 😂 ila pia kunasiku ulipost picha ya ZIGO lako kisha ukafuta fasta. Ila kichwani mwangu iligoma kufutika sijasahau.
Pole na baridi aisee, itakuwa hizo nyama zina matatizo ya kiufundi ambayo yapo nje ya uwezo wako. Labda uamke urukeruke upate joto, ila ukiruka ruka nyama hazijipigi makofi, pah!pah!pah!pah!?