kwa kiwango hiki cha baridi tutaganda

kwa kiwango hiki cha baridi tutaganda

Nenda ngorongoro hiyo sehemu unambie utakachokutana nacho

Pale hadi pundamilia hujikinga baridi upenuni mwa nyumha za watu
IMG_20200617_233441_723.JPG
 
Nilipo linasoma 13° naliskia mpaka kwenye utumbo na mifupa
Ss nyie sijui mnahali gani
Pole sana, yaani wewe pamoja nakujaaliwa nyama za kutosha unasikia baridi!!! Hiyo baridi ingenigandisha kuwa askirimu.
 
Pole sana, yaani wewe pamoja nakujaaliwa nyama za kutosha unasikia baridi!!! Hiyo baridi ingenigandisha kuwa askirimu.
Uzi wa tabu mtingita umeniponza ss[emoji38]

Baridi jaman mungu ndo anajua miguu imeganda hapa na nyama hazizuii baridi
 
Uzi wa tabu mtingita umeniponza ss[emoji38]

Baridi jaman mungu ndo anajua miguu imeganda hapa na nyama hazizuii baridi
Tabu mtingita 😂 ila pia kunasiku ulipost picha ya ZIGO lako kisha ukafuta fasta. Ila kichwani mwangu iligoma kufutika sijasahau.
Pole na baridi aisee, itakuwa hizo nyama zina matatizo ya kiufundi ambayo yapo nje ya uwezo wako. Labda uamke urukeruke upate joto, ila ukiruka ruka nyama hazijipigi makofi, pah!pah!pah!pah!?
 
Positive effect ya corona duniani, baada ya viwanda vingi kuacha kuzalisha sumu kwa miezi kadhaa.

Global air quality improved this year due to coronavirus lockdown.
Inawezekana upo sahihi, pia mvua mwaka jana zimepiga balaa na kwa mtazamo huo basi hata mwaka mvua za vuli zitapiga tena sana mwaka huu. Dawa na chanjo ya Corona ikipatikana tutarudi kwenye joto na mvua za kubipu.
 
Tabu mtingita [emoji23] ila pia kunasiku ulipost picha ya ZIGO lako kisha ukafuta fasta. Ila kichwani mwangu iligoma kufutika sijasahau.
Pole na baridi aisee, itakuwa hizo nyama zina matatizo ya kiufundi ambayo yapo nje ya uwezo wako. Labda uamke urukeruke upate joto, ila ukiruka ruka nyama hazijipigi makofi, pah!pah!pah!pah!?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nyie nyie ebu tuchati kaka usitoe siri za kambi
 
[emoji2296]yani tunakoma aisee unalala uaoande mmoja ukigeuka ni shida, usiku blanket ikichomoka ss uwiii ni balaa

Pole mah
Huko unatakiwa uwe na blanket la kucharge, sehemu za bard miyeyusho sana hasa ukiwa unaumwa jino au Una tatizo la mafua utakubal shoo
 
Huko unatakiwa uwe na blanket la kucharge, sehemu za bard miyeyusho sana hasa ukiwa unaumwa jino au Una tatizo la mafua utakubal shoo
Aisee ni hatar, hata muda wa kuamka pua mawazo, unawa kuchemsha hata maji ya kuoga alfajiri dah
 
Back
Top Bottom