Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,700
- 35,783
Mkuu huko mnaelekea freezing point Kwa Kasi ya STG, biashara ya kuuza freezer huko haina maana
Mkuu huko mnaelekea freezing point Kwa Kasi ya STG, biashara ya kuuza freezer huko haina maana
pole sana tafuta grants au sminnorffNilipo linasoma 13° naliskia mpaka kwenye utumbo na mifupa
Ss nyie sijui mnahali gani
Huku kutawaza tu maji ya baridi shida na kuyashika maji, viganja na vidole vyote vinakufa ganzi kwa muda..Aisee ni hatar, hata muda wa kuamka pua mawazo, unawa kuchemsha hata maji ya kuoga alfajiri dah
Yaani mie kahawa hata ukifungua kopo lazima kichwa kitauma hata week...mie na kahawa mbali mbali🙊! Ushamba mzigo😜🤸Pole shoga yangu,
Kunywa kahawa time yote iwepo kwa chupa hapo pembeni 😋
Aah..si kwa baridi hili..nimelinyooshea mikono
Naskia ni mwendo wa kulowesha mashuka tu na hamlalagi na nguo?! [emoji2817][emoji2817]Huku mbagala charambe kuna joto hatarii si mchana si usiku.
Kama RussiaNiliwahi kukutana na hii ilikua si mchezoView attachment 1481905
Mie nimeshidwa lala..nahis vichomi hatari..mifupa inauma
Why utan? 🤒🤒AchaAcha utani basi! Sie tupo serious ujue
Naskia ni mwendo wa kulowesha mashuka tu na hamlalagi na nguo?! [emoji2817][emoji2817]
Pongezi kwa awamu kwa kutuletea hali ya hewa ya barid.
Sisi wa Nyanda za juu kusini,hasa Njombe tulishazoea,hapo ni kupiga masweta na makoti ya kufa mtu.Nilipo linasoma 13° naliskia mpaka kwenye utumbo na mifupa
Ss nyie sijui mnahali gani