Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,619
- 3,979
Nilipo linasoma 13° naliskia mpaka kwenye utumbo na mifupa
Mkuu hivo viwango ni vya lini,
Green city babaMkoa gani hiyo
Huku ni mateso tu msimu huu hukuti watu nje usiku zaidi ya walianzi tofauti n msimu wa jotoHuku mbagala charambe kuna joto hatarii si mcahan si usiku.
Uloweke kwenye moto kidogo tuUkigusa nyayo zangu kwa baridi nayosikia unaweza hisi ni barafu
Hakuna snow kweli hapo
Niliwahi kukutana na hii ilikua si mchezo
Mie nimeshidwa lala..nahis vichomi hatari..mifupa inaumaNilipo linasoma 13° naliskia mpaka kwenye utumbo na mifupa
Ss nyie sijui mnahali gani
Hapa baridi imetisha ukizubaazubaa unaweza jikuta unaanza kujitoa barafuNiliwahi kukutana na hii ilikua si mchezoView attachment 1481905
yani tunakoma aisee unalala uaoande mmoja ukigeuka ni shida, usiku blanket ikichomoka ss uwiii ni balaaMie nimeshidwa lala..nahis vichomi hatari..mifupa inauma
Hatari Sana...! Pole piayani tunakoma aisee unalala uaoande mmoja ukigeuka ni shida, usiku blanket ikichomoka ss uwiii ni balaa
Pole mah
Nishapoa ila tutapoa zaidi mwez wa9 likiishaHatari Sana...! Pole pia