OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,089
- 114,626
Hiki ni kipimo kingine cha upotevu wa mabilioni kwa manunuzi yasiyo na tija yaliyowahi kufanywa na TEMESA chini ya Wizara ya Ujenzi.Magufuli yupo kimya,nani atatusemea?Haiingii akilini mtu akasafiri na kivuko masaa matatu utadhani anaenda Zanzibar.