Gwalihenzi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 5,125
- 1,301
Kwani kazi za mbunge ni zipi?hivi january huyu aliyesoma dispute resolution marekan ndo huyu mwenye kashfa yakuiba mtihan kipind anasoma tanga na kufutiwa matokea ndo huyu aliyewatapeli wananchi wa bumbuli kwa kuwaletea wazungu kipind cha campen iliaonekane anawafadhili wa kuwasaidia wananchi wa bumbuli na kuwahadaa kama ilivyo sasa.
charity begins at home bwana january ametenda nini huko bumbuli? january ni ufisadi tu hakuna jipya kwan wakati wa kampeni alikua anawatumia watu sh 2000 kwenye sim zao ndo huyu alikua anagawa pesa kwa mabalozi wa vijiji na nyumba ambayo iliyo kuwa inagawiwa pesa iko maeneo ya kata ya mgwashi kitongoj cha kito kwenye nyumba ya mzee jabiri na gest moja ya mwalimu kikoti. Aliawadanganya watu kwa kuwapa futari kipind cha mfungo wa ramadhani.
january huyu aliita wazee kwao na akawatoroka na kwenda kulala lushoto mjin huku mzee makamba akimwambia mama mwanvita awapikie wali wale wasepe kwan njaa ndo iliwaleta mahezanguu kwa january. huyu january ndo alipiga kampeni za hujuma kwa mzee shelukindo. yan mmngejua kufuru aliyo ifanya january wakati wakampen zake wala msinge mvisha koti la kijana mpambanaj hata kidogo. jaman january na mafisadi havitenganishwi nashangaa mnamsfia tu kwan nae n nyoka na sumu ile.
aje akane haya kama anauwezo niendelee kumfunua huyu mshikaj na aniambie mpaka sas amefanya nn kwe jimbo lake