Kwa kichapo cha udiwani chadema ilichopata ni dalili mbaya

Kwan cdm ndo walikuwa wameshika hizo ngome?mbna unabadilisha topic wakati ccm ndo wanatakiwa wakae mkao wa kula kuondoka madarakani 2015

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hakuna wa kuiondoa CCM madarakani labda Marekani na NATO waweke NO Fly Zone, vinginevyo hakuna mwenye hiyo jeuri, Raisi wa Tanzania ni Raisi mpaka hapo Raisi mwingine anapoapishwa, Katiba yetu inasema hivyo!

Kwa namna ccm ilivyotoa kipigo katika viti vya udiwani katika uchaguzi mdogo uliopita ni dalili kuwa cdm inabidi wajipange zaidi

Unavyosema hivyo unajua ni kata ngapi zilikuwa za ccm na sasa wamebaki na ngapi? Kama ungelijua hilo usiweka uharo wako hapa
 
Kwa CCM kuwavamia na kuwalipua sawa lakini kwenye ulingo wa kisiasa na ushindi wa uchaguzi wa huru na haki si kweli, wee endelea tuu kuvukuza upepo.
 
Mdau uwe unaongea kwa takwimu,kata ngapi ccm wameshinda na ngapi wameshindwa,tofauti ya kura na kata hizo zilikuwa zinzmilikiwa na nani hapo awali.

k
Kata walizoshinda CDM awali zilikua zinaongozwa na nani? Ni ipi tofauti ya kura kati ywagombea ukilinganisha na chaguzi zilizopita?
 
Kwa namna ccm ilivyotoa kipigo katika viti vya udiwani katika uchaguzi mdogo uliopita ni dalili kuwa cdm inabidi wajipange zaidi
Tutolee kamasi zako hapa au hujui kuwa hivyo viti vilivyochukukuliwa na cdm vili
kua vimeshikwa na misisiem?
 
Shonzaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, upo wapi bi mkubwa manake tangia mmekimbia Arusha na huyo Mtembeza wagonjwa kwenye kampeni sijakusikia. Jitokeze basi manake ulisema umeizika CHADEMA Mbeya. Yaani wewe unataka kuwafanya watu wa Mbeya ni MATAHAHIRA kama huyo mshikaji mliyekuwa mnalala naye chumba kimoja pale Stereo mkahamishwa usiku usiku na Policcm wenu. Karibu tena Arusha.
 
shonzaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, upo wapi bi mkubwa manake tangia mmekimbia arusha na huyo mtembeza wagonjwa kwenye kampeni sijakusikia. Jitokeze basi manake ulisema umeizika chadema mbeya. Yaani wewe unataka kuwafanya watu wa mbeya ni matahahira kama huyo mshikaji mliyekuwa mnalala naye chumba kimoja pale stereo mkahamishwa usiku usiku na policcm wenu. Karibu tena arusha.
hv unahudhuriaga nyumba za ibada
 
Kwa namna ccm ilivyotoa kipigo katika viti vya udiwani katika uchaguzi mdogo uliopita ni dalili kuwa cdm inabidi wajipange zaidi

Ndugu umenena ukweli kabisa. CHADEMA kweli kichapo wamekipata.

View attachment 98060

View attachment 98061

Bomu Arusha.jpg
 
Siku CCM na Serikali yake ikiamua kwa dhati kucheza fainali kwenye uwanja wa Taifa basi waamue kuwa na fair play halafu tutajua kama kweli CDM wamepigwa au la.Vinginevyo na hizi siasa chafu za Mwigulu,Nape,Shonza na Mtela CCM hamna haki ya kusheherekea hizo kata mlizoshinda.
 
Yaani na hii nayo ni thread?unaleta vipi hoja kama hii bila kuwa na data zenye analysis ya kutosha..mfano:
1.idadi ya viti kwa vyama viwili ukionesha asilimia
2.kata ambazo kila chama imepoteza au kuzichukua ambapo awali zilikuwa chama kingine
3.idadi ya kula kwa kipindi kilichopita na sasa,utofauti wake ili kuona uelekeo wa baadae

jaribu kuja na data ila kwa kuwa jf ni shule basi kuwa tayari kujifunza

Kuna tatizo moja ambalo wengi wetu hatulijui...
Kwangu Mimi binafsi,kutokana na habari ambazo ninazipata mitaani,hapa jukwaani na sehemu nyinginezo,siwezi kuamini kwamba ati bado CCM wanaweza kupata viti vyote hivyo....Kwani kwa yote yasemwayo,nilidhania CCM haitopata chochote.....
Hivi kwa picha hiyo ndogo,kama ungekuwa Uchaguzi Mkuu,unadhani picha ahaingekuwa hivyohivyo?
 
Kwa namna ccm ilivyotoa kipigo katika viti vya udiwani katika uchaguzi mdogo uliopita ni dalili kuwa cdm inabidi wajipange zaidi

CHADEMA wajipange mara ngapi mkuu?

Huoni wanatembea na mabomu, wanaruka kwa chopa, wanateka wana habari na maovu mengine mengi, sasa wajipangeje tena?

Jibu jepesi la kwanini chadema kinagaragazwa na ccm ni kwa sababu watanzania hawana imani na chadema, watanzania hawajaona mbadala wa ccm, matanzania wamekabidhi matumaini yao kwa ccm, ni haya machache tu.
 
Mama mdogoooo naona sasa umefikia hatua ya kulala na shemeji yako
 
Back
Top Bottom