Kwa kichapo cha udiwani chadema ilichopata ni dalili mbaya

Yaani na hii nayo ni thread?unaleta vipi hoja kama hii bila kuwa na data zenye analysis ya kutosha..mfano:
1.idadi ya viti kwa vyama viwili ukionesha asilimia
2.kata ambazo kila chama imepoteza au kuzichukua ambapo awali zilikuwa chama kingine
3.idadi ya kula kwa kipindi kilichopita na sasa,utofauti wake ili kuona uelekeo wa baadae

jaribu kuja na data ila kwa kuwa jf ni shule basi kuwa tayari kujifunza

Mkuu usitarajie akili kama hiyo kutoka kwa mwana ccm wa leo.
 
soma gazeti la mwannchi

. . . . Akili za kuambiwa changanya na zako! Umeshajua sasa kuwa CCM wamepoteza kata nne zilichochukuliwa na CHADEMA? Je umeshatambua kuwa hata ukihesabu jumla ya kura ZOTE CDM imeshinda??
 
Pamoja na rafu zote hizi imagine yangekuwa ni matokeo ya uraisi unadhani nani angekuwa mshindi
 
Back
Top Bottom