GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,656
- 109,056
Soma codesMbunge hana jina? Unaogopa nini?
Mambo ya codes ya nini mzee humu jf mambo waziSoma codes
Wewe unashindwa kuelewa kiswahili, Halafu unaanzisha uzi wa vita za kiuchumiMbunge hana jina? Unaogopa nini?
Soma codes
Mbona wewe hujaweka jina lako halisi la Mwanambaya ....!!??Mambo ya codes ya nini mzee humu jf mambo wazi
Akifanya hivyo nitamshangaa sana, hasa nikikumbuka ule msimamo wake siku kamkimbia Polepole kule Segerea...Ni Msigwa! By the way Msigwa, Kubenea wataenda ccm hao wanajulikana!
Waende waunge juhudi ila watakao baki upinzani ndio wanaume, mwanaume halisi huwezi kupewa ahadi na kutongozwa kama demu ni upumbavu!
hata kama sehemu ina matatizo unatakiwa ujiuzulu kabisa na kusitaafu siasa watu tutakuelewa ila kulia na kuomba cheo cha kufagia kwenye chama cha kihuni kama ccm ni upumbavu.
Mbunge hana jina? Unaogopa nini?
Sina muda wakubisha na vibinti vya ngomani mimi,humu mambo huwekwa wazi mambo ya mmu haya ya codesWewe unashindwa kuelewa kiswahili, Halafu unaanzisha uzi wa vita za kiuchumi
Kwa umbumbu huo na ujinga huo Hakika wewe ni mpiga tarumbeta
Soma vizuri au mpigie simu mwalimu wako wa Fasihi atakueleza
Labda hawa wataondoka kistaarabu hawatamtukana mbowe na chademaNi Msigwa! By the way Msigwa, Kubenea wataenda ccm hao wanajulikana!
Waende waunge juhudi ila watakao baki upinzani ndio wanaume, mwanaume halisi huwezi kupewa ahadi na kutongozwa kama demu ni upumbavu!
Hata kama sehemu ina matatizo unatakiwa ujiuzulu kabisa na kusitaafu siasa watu tutakuelewa ila kulia na kuomba cheo cha kufagia kwenye chama cha kihuni kama ccm ni upumbavu.
Huyo ni lumumba wenzako anakuona jinsi unavyo chapiaHawezi Kuelewa wala Kunielewa Mkuu. Achana nae.