Kwa kauli za huyu Mbunge wa Upinzani nakiomba sasa chama chake kianze kujiandaa kisaikolojia kwa Maumivu!

Ni Msigwa! By the way Msigwa, Kubenea wataenda ccm hao wanajulikana!

Waende waunge juhudi ila watakao baki upinzani ndio wanaume, mwanaume halisi huwezi kupewa ahadi na kutongozwa kama demu ni upumbavu!

Hata kama sehemu ina matatizo unatakiwa ujiuzulu kabisa na kusitaafu siasa watu tutakuelewa ila kulia na kuomba cheo cha kufagia kwenye chama cha kihuni kama ccm ni upumbavu.
Hivi kati ya CDM na CCM kipi chama cha kihuni ?.Chama mmeshindwa kujenga hata ofisi yenye hadhi ya kichama,chama kimeshindwa kuwa na sera mbadala za kuikabili CCM,Chama ambacho wabunge wake wanapelekeshwa tu kama nyumbu na kususia bunge alafu unasema CCM chama cha kihuni!.Nyie hamstuki tu kila mtu anakimbia chama chenu ,Badilikeni mshapoteza dira!.
 
Rudi kwenu Rwanda usimsahau Meko kwenye msafara wako ..umesikia story za Haji kupigwa bomba Hindu Mandal hospital..kigogo katisha Msimbazi kimyaaa
 
Mkuu msigwa asipohamia ccm tukufanye nn
Nilivyomuelewa amekubali anaweza kuondoka lakin amesema mwanaume ni yule atakayebaki na kupamana mpaka mwisho au kujiudhuru kabisa siasa sio kuhama kwa viahadi au kutongozwa tongozwa tu.
 
Hivi kati ya CDM na CCM kipi chama cha kihuni ?.Chama mmeshindwa kujenga hata ofisi yenye hadhi ya kichama,chama kimeshindwa kuwa na sera mbadala za kuikabili CCM,Chama ambacho wabunge wake wanapelekeshwa tu kama nyumbu na kususia bunge alafu unasema CCM chama cha kihuni!.Nyie hamstuki tu kila mtu anakimbia chama chenu ,Badilikeni mshapoteza dira!.
Uhuni ni jambo jingine, kutokujenga ofisi ni jambo jingine pia.
Unaweza kuwa na nyumba nzuri lakini ww ni muhuni tu, na unaweza kutokuwa na nyumba usiwe muhuni!
 
Lumumba wanafurahiii...baada ya muda ccm yote itakuwa inaongozwa na watu waliotoka chadema..kwa sasa chadema ndo kuna viongozi makini
 
Ni Mbunge ambaye kwa Wiki hii ya Pili sasa amekuwa akionyesha ' Ukomavu ' wake Kisiasa lakini ' Ucha Mungu ' mkubwa uliojawa na Hekima hadi Busara kwa upande Watendaji wa Chama Tawala ( sasa Wastaafu ) Lakini kama hiyo haitoshi kwa Kauli zake za Leo Bungeni ni kama ameshajua hatorejea tena Bungeni ila kwa anavyopendwa huko kama akihamia CCM ataendelea kuwa Mbunge.

Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwamba kwa takribani miezi Miwili nimeweza kutembelea Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kama ya Mbeya, Katavi, Iringa, Rukwa na Njombe ila GENTAMYCINE sijawahi kuvutiwa na Mji mzuri kama wa Iringa Mjini ambao kiukweli umejengeka vyema kabisa kuliko hiyo Miji mingine. Nikipata tena Nauli ni lazima tu nitarejea tena hapo Iringa Mjini nimepapenda.

Niliwahi Kukutana na Mwanasaikolojia Mmoja ' Mahiri ' sana ambapo katika Mazungumzo yetu nakumbuka aliwahi Kuniambia GENTAMYCINE kuwa Siku zote hata kama ukiwa na Uadui na Familia fulani lakini kama hiyo Familia imeoa Kwenu au mmeoa Kwao hapo inakuwa ni Kiini Macho tu na kwamba muda wowote ' Uhusiano ' huo utakuja Kuwaunganisha na mtakuwa pamoja tu daima.

So sad

November chadema itakuwa na Prof.Jay tu kama mbunge wa mikumi

Andika mahali chini
 
Ban ya Popoma Imeisha (BPI)
 
Ni Msigwa! By the way Msigwa, Kubenea wataenda ccm hao wanajulikana!

Waende waunge juhudi ila watakao baki upinzani ndio wanaume, mwanaume halisi huwezi kupewa ahadi na kutongozwa kama demu ni upumbavu!

Hata kama sehemu ina matatizo unatakiwa ujiuzulu kabisa na kusitaafu siasa watu tutakuelewa ila kulia na kuomba cheo cha kufagia kwenye chama cha kihuni kama ccm ni upumbavu.
CCM hii ya JPM waiita ya kihuni? seriously? October sio mbali wananchi watakuonesha sio tu chama kipi ni cha kihuni bali hata hakipaswi kuwa chama cha siasa kati ya CCM na hiyo saccos.
 
Tegemeo letu sisi Ccm ni tume ya uchaguzi, wakurugenzi wa halmashauri na vyombo vya dola! Hatutegemei kura za wananchi kamwe!
 
Hakuna mtu anaweza kuoa familia nzima , hata kama mtu huyo amemtia mimba mdogo wa mke wake , nadhani tumeelewana
Umeongea kishujaa sana. Hiyo familia itakuwa imekubali kuonekana ya washenzi kama inakubali kuolewa wote na mtu aliyemtia mimba shemeji yake. Anaweza kulawiti hata was kiume huyo!
Inaonyesha anaamini yeye ndiye dume pekee
 
Mamaaaa! Chadema kuna ni?

Nadhani kuna tatizo kubwa zaidi ya,
Hasa ukiwa jikoni ndo utaelewa ubaya wa ndani jikoni huko
 
Ban ya Popoma Imeisha (BPI)

Mara yangu ya mwisho kupewa BAN na kuimaliza ilikuwa ni Mwezi Machi mwishoni na tangia Mwezi Machi mwishoni hadi hii Leo ID yangu hii haijapigwa na wala haikuwa katika BAN ( Waulize Moderators wakupe Ukweli huu Kamili ) hivyo nakushangaa mno kila uinapo hii ID na pale ukiona ' Mwanamume ' nipo Kimya humu ( hapa ) JamiiForums ni lazima tu utatafuta Sifa kujifanya unanijua sana au unataka Kuwaaminisha Watu kuwa Wewe ndiyo huwa unanipiga BAN hivyo unatafuta ' Maarufu ' kupitia hii ID. Sijaanza Kukudharau leo na kwa hivi unavyopenda Kunifuatafuata hapa Jamvini mara kwa mara unaonyesha ni jinsi gani ' Unanipenda ' na ' Kunikubali ' kwa 100% na pengine hata upo tayari Kunivulia ama Chupi yako ya Kike au Boksa yako ya Kiume ili ' nikuweke ' nao na uweze ' Kuridhika ' zaidi. Hakuna ulazima kuwa ukiwa na ID hapa Jamvini basi ni lazima ukiwa unautembelea huu Mtandao bali yakupasa uwe una ' Log In ' na huu ndiyo Ushamba ( Umbwiga ) na Upumbavu ( Upopoma ) ambao umekuwa ukikusumbua 24/7. Hivi huwa hujishtukii tu pale ambapo kila mara huwa ' Unajipendekeza ' Kwangu lakini Mimi huwa ' nakupuuza ' tu?
 
Wiki hii tutakoma na nyuzi za kipopoma ban ishaisha ikifika saa Saba nyuzi nyingine za kipopoma zitakuja stay tuned MMU.
 
WAITARA kasema jana Tanzania kuna kijukuu cha Mtume.

Inawezekanaje ikawa kila mtu hafai lakini yeye Mbowe hakosei????

KABURU alikuwa mbaya, Mbowe ndio mwema

CHACHA WANGWE mbaya, Mbowe mzuri...

MWIGAMBA mbaya, Mbowe yeye mwema..

ZITTO hafai, Mbowe ni mwema

KITILA MKUMBO hafai, Mbowe mzuri

WAITARA was wrong, Mbowe was right

SELASINI hafai, Mbowe mwema

CECIL MWAMBE hafai, Mbowe hakukosea

DR. SLAA hafai, Mbowe yeye ndio hakosei

DR. MASHINJI hafai, Mbowe ndio mwema...

SUMAYE hafai, Mbowe anaandamwa

LOWASSA hafai, Mbowe ndio yuko sahihi

GEKUL, KOMU, JAFAAR, MOLLEL; wabunge WACHAGA wenzie kibaao aliokotofishana nao, hawafai... YEYE ANAFAA MIAKA YOTE

WAITARA: KIJUKUU CHA MTUME KINAPATIKANA TANZANIA, FREEMAN MBOWE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ban ya huyu mbwiga imeisha kumbe?

Mnaokereka wote na uwepo wangu hapa JamiiForums kuwakuwa tu GENTAMYCINE ni " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " tofauti na mlivyo nyie nimewaruhusu muwaombe ' Wahusika ' wa Utoaji hizo Adhabu ( BAN ) wanipige tena ili Mioyo yenu iliyojaa Wivu, Chuki, Upumbavu na Uswahili ' Uliotukuka ' iridhike.

superbug
 
Hivi kati ya CDM na CCM kipi chama cha kihuni ?.Chama mmeshindwa kujenga hata ofisi yenye hadhi ya kichama,chama kimeshindwa kuwa na sera mbadala za kuikabili CCM,Chama ambacho wabunge wake wanapelekeshwa tu kama nyumbu na kususia bunge alafu unasema CCM chama cha kihuni!.Nyie hamstuki tu kila mtu anakimbia chama chenu ,Badilikeni mshapoteza dira!.
Wewe ni mpumbavu, unataka sera gani mbadala wakati ccm haitoi uwanja sawa wa mapambano ya hoja? Ccm haijawai kujenga ofisi inatumia majengo umma, ndio maana nasema wewe ni mpumbavu au mjinga.
 
Back
Top Bottom