KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,584
- 8,605
Mh Rais nimemsikiliza kwa makini aliposema kama kuna wengine wanataka kuomba ruhusa waseme ruhusa iko wazi!
Ukisikiliza kwa makini utaona inamalipizi kwa wale wote aliowateua na wameomba kuachia nafasi zao.
Kama niubunge anaweza akawakata katika kura za awali wajiangalie wanaweza wasipitishwe kwa mantiki wamemfedhehesha aliyewateua kwani aliwaamini wao wamemuangusha!Na kauri ya mh Rais inamawimbi inaonekana kakasirishwa na hilo.
Kifupi hata ningekuwa mimi ningechukia!