Kwa kauli hizi je Tunajenga au tunabomoa, ivi tukianza kuchinjana kama Rwanda CCM kwanini mnakuwa wabaguzi?

Tatizo ni kuwa ubaguzi wote huo unaanzia kwenye ofisi ya Magogoni, wengine wote wa chini yake wanamuiga Boss wao

Ngoja tuanze kuona damu ikianza kumwagika nchini, tuone kama hawa wenzetu wana nchi nyingine ya kukimbilia

Hivi wanadhani wale makaburu tuliwaita makaburu kwa ajili ya rangi yao nyeupe??

La hasha, tuliwaita makaburu kutokana na tabia yao ya kibaguzi.....

Ukifanya ubaguzi whether wewe ni mweupe au ni mweusi, wewe ni Kaburu tuuu.
By Mwalimu Nyerere
hakuna damu itakayo mwagika Hilo Nina uhakika 100% maana hakuna nchi iliyo jaa wapumbavu wengi bara la Africa nabulimwenguni kwa.ujumla.kama TANZANIA hivyo usiwe na hofu
 
Unafungua vyombo vya habari,unaenda mtandaoni unakutana na kauli zifuatazo kutoka kwa viongozi.

1."Kama mnataka msiendelee kubomolewa mchagueni mgombea wetu"unaanza kujiuliza kwa hiyo mkichagua mpinzani,mnapigwa bomoa bomoa?.

2."Unakutana na kauli nyingine,mimi kwenye mkoa wangu diwani wa upinzani siwezi hata kupokea simu yake na hata kumuona sitaki kabisa na wewe mkuu wa wilaya nitakaye kuona unaongea na diwani wa upinzani jiandae kujieleza",unajiuliza ndiyo tumefika huku?

3."Wewe kama ni mtumishi wa umma na unapingana na chama tawala,jiandae kuondoka" unajiuliza mpaka watumishi wa umma nao?

4."Sisi kule bungeni huwa kuna vikao vya vyama,sisi kikao chetu huwa kinaongozwa na waziri mkuu,huko huwa tunagawana kwanza sisi halafu tunaenda bungeni kupitisha ukiwa upinzani hutapata mgao wa miradi ya maendeleo" unajiuliza hii ndiyo maana ya bunge?

Naomba haya iwe ni kutekeza kwa ulimi na si kuwa ndiyo dhamira ya siasa za sasa!.

Hapa ndipo huwa nafikia hatua nasema,wacha nijifunze zaidi hiki kinachoitwa sayansi ya siasa!.Ndiyo hiki wanachosoma watu chuo kikuu mpaka ngazi ya udaktari?

Ungefika chuo kikuu kusomea sayansi wala usingepata tabu. Ungefahamu lengo la chama cha siasa chochote timamu ni kushika madaraka na kushika madaraka maana yake ni kuweza kupata uhalali wa kupanga na kutumia rasilimali.

Kumbe Siku zote unapiga kelele kwa kulazimisha huruma? Kupanga ni kuchagua. Hata mwenye majimbo na halmashauri walizochagia wapinzani kuna rasilimali na huko mwenye mamlaka wanazielekeza hizo rasilimali kadri wanavyoona inafaa.

Unafikiri kwa nini sakata la UDA lilifika pale? Kwa sababu mwenye mali walilipigania na sasa wanafanya mipango yao.

Ndio maana kumbe muda mwingine huwa unalalamika kwelikweli kumbe hukulijua hilo?

Tafuta notes google zipo nyingi tu kiongozi.
 
Umeelewa alichoandika?
 
Wanasema asilimia ngapi vile ya watanzania wanamatatizo ya afya ya akili?Sasa hatujuwi hizo asilimia zipo zaidi kwa watu gani!Halafu haya mambo mengine isijeikawa ni albadiri ipo kazini mkuu.
 
Majamaa yameachana kabisa na logic,badala yake yamekuwa majamaa ya mapokeo tu.
 
Unafungua vyombo vya habari,unaenda mtandaoni unakutana na kauli zifuatazo kutoka kwa viongozi.

1."Kama mnataka msiendelee kubomolewa mchagueni mgombea wetu"unaanza kujiuliza kwa hiyo mkichagua mpinzani,mnapigwa bomoa bomoa?.

2."Unakutana na kauli nyingine,mimi kwenye mkoa wangu diwani wa upinzani siwezi hata kupokea simu yake na hata kumuona sitaki kabisa na wewe mkuu wa wilaya nitakaye kuona unaongea na diwani wa upinzani jiandae kujieleza",unajiuliza ndiyo tumefika huku?

3."Wewe kama ni mtumishi wa umma na unapingana na chama tawala,jiandae kuondoka" unajiuliza mpaka watumishi wa umma nao?

4."Sisi kule bungeni huwa kuna vikao vya vyama,sisi kikao chetu huwa kinaongozwa na waziri mkuu,huko huwa tunagawana kwanza sisi halafu tunaenda bungeni kupitisha ukiwa upinzani hutapata mgao wa miradi ya maendeleo" unajiuliza hii ndiyo maana ya bunge?

Naomba haya iwe ni kutekeza kwa ulimi na si kuwa ndiyo dhamira ya siasa za sasa!.

Hapa ndipo huwa nafikia hatua nasema,wacha nijifunze zaidi hiki kinachoitwa sayansi ya siasa!.Ndiyo hiki wanachosoma watu chuo kikuu mpaka ngazi ya udaktari?

Nikusaidie tu ndugu yangu na yeyote atakayependa kupata maarifa.

Tutoe mawazo kwa hoja zenye maarifa yenye uhalali na mamlaka
 
Attachments

  • SchonfeldCompPols83.pdf
    2.7 MB · Views: 21
Umeelewa alichoandika?

Wewe huwezi kuelewa, sio kila kitu duniani kipo kwa kila mtu kukielewa.

Kama una kichwa cha kuelewa naku attachia nondo hapa.

Kama ndio kichwa cha jogoo hakibebi tenga, basi tena kazi ya Mungu haina makosa.
 
Attachments

  • SchonfeldCompPols83.pdf
    2.7 MB · Views: 12
Back
Top Bottom