Kwa kauli hizi je Tunajenga au tunabomoa, ivi tukianza kuchinjana kama Rwanda CCM kwanini mnakuwa wabaguzi?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,568
2,000
Unafungua vyombo vya habari,unaenda mtandaoni unakutana na kauli zifuatazo kutoka kwa viongozi.

1."Kama mnataka msiendelee kubomolewa mchagueni mgombea wetu"unaanza kujiuliza kwa hiyo mkichagua mpinzani,mnapigwa bomoa bomoa?.

2."Unakutana na kauli nyingine,mimi kwenye mkoa wangu diwani wa upinzani siwezi hata kupokea simu yake na hata kumuona sitaki kabisa na wewe mkuu wa wilaya nitakaye kuona unaongea na diwani wa upinzani jiandae kujieleza",unajiuliza ndiyo tumefika huku?

3."Wewe kama ni mtumishi wa umma na unapingana na chama tawala,jiandae kuondoka" unajiuliza mpaka watumishi wa umma nao?

4."Sisi kule bungeni huwa kuna vikao vya vyama,sisi kikao chetu huwa kinaongozwa na waziri mkuu,huko huwa tunagawana kwanza sisi halafu tunaenda bungeni kupitisha ukiwa upinzani hutapata mgao wa miradi ya maendeleo" unajiuliza hii ndiyo maana ya bunge?

Naomba haya iwe ni kutekeza kwa ulimi na si kuwa ndiyo dhamira ya siasa za sasa!.

Hapa ndipo huwa nafikia hatua nasema,wacha nijifunze zaidi hiki kinachoitwa sayansi ya siasa!.Ndiyo hiki wanachosoma watu chuo kikuu mpaka ngazi ya udaktari?
 
Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
14,420
2,000
Tatizo ni kuwa ubaguzi wote huo unaanzia kwenye ofisi ya Magogoni, wengine wote wa chini yake wanamuiga Boss wao

Ngoja tuanze kuona damu ikianza kumwagika nchini, tuone kama hawa wenzetu wana nchi nyingine ya kukimbilia

Hivi wanadhani wale makaburu tuliwaita makaburu kwa ajili ya rangi yao nyeupe??

La hasha, tuliwaita makaburu kutokana na tabia yao ya kibaguzi.....

Ukifanya ubaguzi whether wewe ni mweupe au ni mweusi, wewe ni Kaburu tuuu.
By Mwalimu Nyerere
 
Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
41,560
2,000
Labda tujiulze na sisi katika hii dunia ni binadamu original au ni binadamu fake?

Hapa namanaisha wale wote wanaotoa hayo matamko,wanayoyaunga mkono na wanaolalamika bila kuchukua hatua.
 
VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
4,803
2,000
Hawa wajinga wanaoharibu umoja wa taifa letu,mkuki wa makalioni unawahusu, ni wachache tusiwape nafasi.
 
Mchemiaa

Senior Member
Jan 7, 2018
169
250
Unafungua vyombo vya habari,unaenda mtandaoni unakutana na kauli zifuatazo kutoka kwa viongozi.

1."Kama mnataka msiendelee kubomolewa mchagueni mgombea wetu"unaanza kujiuliza kwa hiyo mkichagua mpinzani,mnapigwa bomoa bomoa?.

2."Unakutana na kauli nyingine,mimi kwenye mkoa wangu diwani wa upinzani siwezi hata kupokea simu yake na hata kumuona sitaki kabisa na wewe mkuu wa wilaya nitakaye kuona unaongea na diwani wa upinzani jiandae kujieleza",unajiuliza ndiyo tumefika huku?

3."Wewe kama ni mtumishi wa umma na unapingana na chama tawala,jiandae kuondoka" unajiuliza mpaka watumishi wa umma nao?

4."Sisi kule bungeni huwa kuna vikao vya vyama,sisi kikao chetu huwa kinaongozwa na waziri mkuu,huko huwa tunagawana kwanza sisi halafu tunaenda bungeni kupitisha ukiwa upinzani hutapata mgao wa miradi ya maendeleo" unajiuliza hii ndiyo maana ya bunge?

Naomba haya iwe ni kutekeza kwa ulimi na si kuwa ndiyo dhamira ya siasa za sasa!.

Hapa ndipo huwa nafikia hatua nasema,wacha nijifunze zaidi hiki kinachoitwa sayansi ya siasa!.Ndiyo hiki wanachosoma watu chuo kikuu mpaka ngazi ya udaktari?
uchinjane na nani ww hebu kajaribu kumchinja mtu uone
 
Kaisari

JF-Expert Member
Nov 13, 2012
3,646

Huo ndiyo ukweli. Zamani walikuwa wanaficha. Sikuhizi wanasema waziwazi. Hadharani.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom