Kwa kasi hii kila mtu atabeba msalaba wake

Dalili ya Mvua ni mawingu, hivyo kwa mtu mwenye busara, aliyeanika nguo zake nje anapoona tu mawingu yametanda kila mahali, anajua kwamba mvua wakati wowote inaweza kunyesha, na hakika atafanya haraka kwenda kuzianua nguo hizo.Upendo wa wengi umepoa sana, hizi ni dalili za nyakati za mwisho.
 
ni mabadiliko ya kiuchumi.
tunashukuru ubepari na utandawaz unashika kasi.
 
Tatizo la ndugu zetu hawajui maana ya msaada....
Mtu ukimsaidia sana basi anadhani kuwa kusaidiwa ni haki yake.....na hajishughulishi kwa lolote akijua kuwa yupo mwenye uwezo wa kumsaidia....
Kimsingi ni kweli kuwa maisha ni magumu sana....lakini ugumu huu wa maisha usituweke mbali na ndugu kwani wakati mwingine ndio faraja zetu kubwa..... Kwa kuwa hakuna ajuae kesho yake itakuwaje maana maisha yana Leo na kesho..
Leo tuna afya njema na tunafanya shughuli zetu wenyewe, lakini wakati wa maradhi tunahitaji kufanyiwa kila kitu kwa kuwa hatujiwezi kwa lolote.......Kimsingi ni kwamba kama pato lako linaruhusu na una uwezo wa kusaidia nduguzo basi fanya hivyo kwa Kadri ya uwezo wako....
Wapo watu ambao waliwaona ndugu zao si chochote si lolote wakati wakiwa kwenye kilele Cha mafanikio na kuwathamini wake zao ambao baadae walikuja kuwakimbia walipopatwa na matatizo kama vile maradhi au mengineyo na kusaidiwa au kuuguzwa na ndugu....??
DAMU NI NZITO KULIKO MAJI....
 
KWELI KABISA, PAMOJA NA CHANGAMOTO TUNAZIPITIA ILA TUENDELEE KUPENDANA NA KUSAIDIANA PALE INAPOBIDI.....
 
Issue ni ku-balance utu na ubinafsi
Sera nzuri ni kumsaidi mtu huku akiwa kwake/kwao.
Hili linatoa fursa ya two sides kuwajibika .
 
Back
Top Bottom