Kwa kasi hii kila mtu atabeba msalaba wake

Keng'oni

Senior Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
183
Reaction score
147
Wasalaam!

Kwa jinsi maisha yanavyozidi kuwa magumu, naona wazi kabisa ile Tamaduni ya watu wengine kuzaa na kuwapeleka watoto wao kwa ndugu wenye uwezo inakaribia kufika ukingoni.
Ukizaa utahudumia mwenyewe, tunaelekea Mahali ambapo kila mtu atapambama na maisha binafsi. Si kwa kupenda ila mfumo utamlazimu afanye hivyo.
Chukua tahafhari mapema Ndg.

Wasaalam!..
 
ujamaaaaa unapotea kwa kasi sana.

kubebana kupo kwenye decline stage
 
Exactly, yale maisha ya kusaidiana..hasa katika kusomesha, kuishi na mtoto wa dada/kaka naona kunafikia ukingoni.
Mfumo wa maisha ndio unatuzalimisha kuishi hivyo. Zaa ukijua kama unao watano au sita, jukumu la malezi ni entirely kwako.
 
mtoa mada kanichekesha sana , yaan nivyoanzaga kazi nlikomaa kusomesha wadogo zangu 2 but asante ni mateke, na hawakuwa serious na masomo wameishia div. 5 yaan ngekula bata tu aisee hata ka RV4 nge nunua kangenifariji wakati wa mvuaaaa
 
Mkuu hii ilikuwa Tamaduni yetu. ila tunakwenda Less sana naona mwisho wake unakaribia..
 
Watu wanapunguza idadi ya watoto wa kuzaa wenyewe. . . .. .Itakuwa masuala ya mtoto wa ndugu tena kazaa kwa hiari yake. . . . .Akifiwa na mume au mke huyu sawa ila kazaa kwa hiari yake kabisa. . . . . .Lawama kaumbiwa binadamu. ., .!!
 
Hahahahahahaha!..
Lawama kaumbiwa binadamu
 
We teremsha injini tu ukitegemea yupo Wa kupandisha.bila wewe uliyewazaa kufa kwanza watu hawajihusishi nao aisee.

Ñasisistiza tena mpaka ufe.
 
Maisha yatatu shape tu. Kwa sasa ni vigumu kuishi na mtoto wa mtu maana kwa sasa kila kitu unalipia bill except Oxygen.

NB: Kama umebarikiwa kwa uwezo wa kifedha saidia binadamu wenzio
 
mtoa mada unanikumbusha azimio la mfumo binafsi/huru - zanzbar 1992.

na hayo ndio matokeo yake kijamii.
 
Maisha yatatu shape tu. Kwa sasa ni vigumu kuishi na mtoto wa mtu maana kwa sasa kila kitu unalipia bill except Oxygen.

NB: Kama umebarikiwa kwa uwezo wa kifedha saidia binadamu wenzio

Part ya N.B nimeipenda zaid ......mwisho wa siku huwez jua nani atakusaidia pia
 
Binafsi naona ni sahihi ila inapobidi kama baba au mama wa familia amefariki si mbaya kusaidia yatima Kinacholeta shida muda mwingine mwenye uwezo (tegemezi ) ana watoto 3 anayehitaji kusaidiwa ana watoto 10 na hapo anataka umsaidie 5 wakati wewe ulijibana kuzaa kwakujua hutoweza kumudu, swali je? nani wa kulaumiwa?
 
Maisha yatatu shape tu. Kwa sasa ni vigumu kuishi na mtoto wa mtu maana kwa sasa kila kitu unalipia bill except Oxygen.

NB: Kama umebarikiwa kwa uwezo wa kifedha saidia binadamu wenzio

Hiyo conclusion chini imekaa poa mkuu
 
acha roho mbaya, saidia watoto wa ndugu zako, ndio baraka zenyewe hizo.
 
Wale wenzetu wenye ndoa za wake wengi sijui sasa hivi wanaendeleza huu mfumo dume ?
 
Back
Top Bottom