Kwa karata hakika, hongera tele kwa CCM

Kwa karata hakika, hongera tele kwa CCM

Gentleman,
hizo porojo na dhana potofu hazina athari zozote katika kuimarika kwa CCM, kukubalika kwa CCM na kuaminika zaidi kwa CCM mbele ya wananchi na waTanzania wote šŸ’
Ni porojo kwamba hakuna mauwaji yaliyotokea oktoba 29 yaliyofanywa na watu wasiojulikana? Ni porojo kwamba hakuna utekaji uliofanywa na watu wasiojulikana?. Haya hayachafui taswira ya nchi?
 
Gentleman,
hizo porojo na dhana potofu hazina athari zozote katika kuimarika kwa CCM, kukubalika kwa CCM na kuaminika zaidi kwa CCM mbele ya wananchi na waTanzania wote šŸ’
Propaganda Kwamba hakuna utekaji uliofanywa na watu wasiojulikana? Kwamba hakuna mauwaji yaliyotokea oktoba 29 yaliyofanywa na watu wasiojulikana? Na kwamba hakuna taswira ya ccm iliyochafuka?
 
Kwa hili acha niseme ,mkiamua kuniokotea mawe mnipige fresh tuu!!!

Pichani ni mzee wa sukuma ndani Agrey Mwanri, hapa Ccm wametisha sana kumrejesha mwamba mchezoni tena kwa wakati sahihi, huyu ni mwamba wa siasa za uwajibikaji mkali, uzalendo, na vitendo vya papo kwa papo kitaalamu tunaita (populism ya kiutendaji)

Mzee wa "Sukuma Ndani": Huu ndio utambulisho wake mkuu unaosisitiza kuweka pembeni maneno mengi na badala yake kushinikiza uwajibikaji na nidhamu ili kupata matokeo ya haraka.

Mwanri pia ni mzuri sana katika Siasa za Majukwaani na Ucheshi: Anatumia lugha ya picha, sauti ya juu, na misemo ya kuvutia ili kufikisha ujumbe mzito kwa wananchi na watendaji wa serikali.

Mwanri pia ni (Field-Oriented):
Si mhasisi wa siasa za kukaa ofisini; anajulikana kwa kukagua miradi site na kuwawajibisha wahandisi na watendaji mbele ya kadamnasi.

We know CCM wana karata nyingi nzuri za kuzicheza kwa wakati huu na karata ya Mwanri imwkuja wakati muafaka "sukuma ndani"

Ni Matejoo

View attachment 3641842
Kwamba yeye ndiye atawafanya watanzania wavumilie kutekwa?.
 
Hana tofauti na Bambo ua Kingwendu
 
Hupigwi mawe ni maoni Yako,ila mmechelewa Maana jua limezama Kwa mboga,hataokoa lolote,sanasana wataona ni maigizo
 
Back
Top Bottom