Kwa juhudi maksudi na za dhamira njema zilizofanywa na JMK za kuinuwa Michezo, Hususan kandanda, leo tutashuhudia Tanzania ikinyakuwa kombe la Challenge baada ya miaka mingi sana.
Hongera Kilimanjaro Stars, Hongera wa Tanzania wote, Hongera JMK.
Kazi yako tunaiona ikizaa matunda.
Sure...Angekuwa ameshinda kihalali, na huu ushindi wa leo, basi ingekuwa burdaaani sana...Moyo wangu unasita kabisa juhudi zake huyu mtu.Ushindi hauba radha kwa sababu ya rais Mwizi ....
Kwa juhudi maksudi na za dhamira njema zilizofanywa na JMK za kuinuwa Michezo, Hususan kandanda, leo tutashuhudia Tanzania ikinyakuwa kombe la Challenge baada ya miaka mingi sana.
Hongera Kilimanjaro Stars, Hongera wa Tanzania wote, Hongera JMK.
Kazi yako tunaiona ikizaa matunda.
Labda utuelimishe vizuri jinsi JK alivyochakachua mchezo wa jana hadi tukapewa ushindi wa mezani na waamuzi....................penati haikuwa penati........................mlinzi wa Ivory Coast N'goran Kouassi pamoja na kuinua mikono hakuwa ameugusa ule mpira...............Hivyo lile siyo bao.......................
bao la wazi la Ivory Coast walinyimwa kwa madai mfungaji aliotea wakati yule aliyepigwa mkwaju wa kwanza hakuwa ameotea...............kwa hiyo ule mpira ambao aliutema Juma kaseja mpigaji hakuwa ameotea kwa hivyo aliyelifunga asingeweza kuwa ameotea.............................kwa hiyo kama waamuzi wangelitenda haki.....................Ivory Coast angelishinda mchezo huo......................
Najuwa, wengi humu JF hamtapenda pindi JK akisifiwa. Mnyonge Mnyongeni, lakini haki yake mpeni.
Nani asiyejuwa kuwa leo hii, kandanda safi inayotandazwa Tanzania ni juhudi thabit za JK?
Leo Kilimanjaro stars imetutowa kimaso maso Tanganyika baada ya miaka 16, hii inamaanisha mara ya mwisho kombe lilikuja wakati wa Mwinyi.
Si Tanganyika tu iliyotolewa kimasomaso bali ni Africa Mashariki nzima, hebu tazama, leo kikombe cha Afrika Mashariki kingekwenda Afrika Magharibi.
JK anendeleza hamasa kwa leo hii kuwaalika hawa vijana Ikulu.
Nani asieuona mchango wa JK kwenye Michezo? Hususan kandanda?
Nikweli mkuu jana ule ushindi siyo lakini si juhudi za Kikwete....nakama watandelea kufanya ujinga kama huu eti juhudi za Kiwete, mashabiki tutaanza kupungua kama zamani wasimba wana shangilia mchezaji wao hivyo hivyo wa yanga.Labda utuelimishe vizuri jinsi JK alivyochakachua mchezo wa jana hadi tukapewa ushindi wa mezani na waamuzi....................penati haikuwa penati........................mlinzi wa Ivory Coast N'goran Kouassi pamoja na kuinua mikono hakuwa ameugusa ule mpira...............Hivyo lile siyo bao.......................
bao la wazi la Ivory Coast walinyimwa kwa madai mfungaji aliotea wakati yule aliyepigwa mkwaju wa kwanza hakuwa ameotea...............kwa hiyo ule mpira ambao aliutema Juma kaseja mpigaji hakuwa ameotea kwa hivyo aliyelifunga asingeweza kuwa ameotea.............................kwa hiyo kama waamuzi wangelitenda haki.....................Ivory Coast angelishinda mchezo huo......................
Bora Tenga achie ngazi ili Kiwete awe rais wa TFF maana anaonekana kufanya vizuri ukilinganisha na sehemu zingine mfano ameshindwa kuzibiti ufisadi, mfumko wa bei kila kukicha vitu vinazidi kupanda bei hata hivyo kwangu mimi heri Mkapa alie tujengea uwanja kuruko huyu mwenye nuksi kiala mechi akitia timu tunafungwaHakuna uchakachuaji JK ni mpenda michezo na ameinua kiwango na ari ya michezo nchini. Slaa hata mechi ya kirafiki tu hatujawahi kumuona, halafu mwasema huyu ndie alikuwa awe rais, TO HELL !!!
Mkuu, sijaona kidude cha kukugongea Thanks sijui Invisible kashachakachua.....Watanzania tuna matatizo makubwa zaidi ya kulikosa kombe la Challenge. Watu makini hushughulika na uchumi wa wananchi wengi, si kama ilivyo kwenye sports, just few beneficiaries! Nakumbuka B.W. Mkapa alikuwa anatua na ndege pale JNIA, akakuta kundi kubwa la watu maeneo ya airport. Alipouliza kuna nini leo, akajibiwa Simba inapokelewa kutoka Misri ambapo imetoka kuifunga Zamalek ya huko na kuwaondoa kwenye michuano ya CAF mabingwa watetezi wa Africa na Misri! Mkapa hakuwa na habari kabisa za Simba na Yanga, lakini ameimarisha uchumi wa nchi na leo hii mkwere ametumia hela za Mkapa hadi zimeisha. Kwa ufupi, watanzania wengi hawanufaiki na upenzi wa rais ktk michezo, wanahitaji uhakika wa mkate wao wa kila siku!
Mwizi ni mwizi na hana rangi hata kama ni kijani ni mwizi tu kwani weye humjui?Mwizi mnamjua ninyi?