Kwa jinsi Taifa hili lilivyojaa vilaza bila amsha amsha za vijana wa Kenya wale wanaharakati wageni wangepotezwa mazima kama Mdude .

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,169
Reaction score
48,681
Naijua Tanzania vizuri, nawajua Watanzania vizuri, nawajua viongozi vizuri na ninawajua vijana wanyoa punk vizuri.
Uwezo wao wa kufikiri hawa vijana wanyoa punk ni mdogo sana hasa wakiwa kwenye land cruiser. Wanaona washamaliza. Hawaoni mbele.
Wangewapoteza milele wanaharakati wageni walioachiwa majuzi.
Baada ya mapigo ya vijana wa Kenya jamaa viongozi wao kuaibishwa wakaambiwa wawaachie haraka.
Bila hivyo wangewapoteza kama desturi yao.
Kumbe mgeni hapotezwi kienyeji kama kumpoteza mdude. Mgeni ukimpoteza umeliangusha Taifa lako
 
Kuna siku wataingia chaka kwa mataifa makubwa ambayo raia wao ni mali.
Hipo siku na haya anayofanya samia ni kama alifanya idd amin mambo ni yale yale na hipo siku tutafanyiwa mengi
 
Attachments

  • 5781825-51775523b226d8414338068b2d50cfec.mp4
    3 MB
Naijua Tanzania vizuri, nawajua Watanzania vizuri, nawajua viongozi vizuri na ninawajua vijana wanyoa punk vizuri.
Uwezo wao wa kufikiri hawa vijana wanyoa punk ni mdogo sana hasa wakiwa kwenye land cruiser. Wanaona washamaliza. Hawaoni mbele.
Wangewapoteza milele wanaharakati wageni walioachiwa majuzi.
Baada ya mapigo ya vijana wa Kenya jamaa viongozi wao kuaibishwa wakaambiwa wawaachie haraka.
Bila hivyo wangewapoteza kama desturi yao.
Kumbe mgeni hapotezwi kienyeji kama kumpoteza mdude. Mgeni ukimpoteza umeliangusha Taifa lako
Waambie warudi tena uone.
 
Yule mwanamke wa kiganda atasema nini walichomfanyia lakini Mkikuyu Mwangi hatamwambia mtu yoyote unyama aliofanyiwa.

Hao vijana wa Kenya tunaodhani ni mashujaa watakuwa wameshajua kaka yao amefanyiwa nini na jamaa wa usalama, hawawezi kuthubutu kuchokoza nyuki wakati wa jua kali.
 
Kuna siku wataingia chaka kwa mataifa makubwa ambayo raia wao ni mali.
Hipo siku na haya anayofanya samia ni kama alifanya idd amin mambo ni yale yale na hipo siku tutafanyiwa mengi
Raia wa mataifa yanayojielewa hawawezi kufanya upuuzi wanaoufanya majirani zetu.

Kiusalama Tanzania ipo juu sana.
 
Kiherehere chao kiliwaponza, wao wataingliaje mambo ya watu yasiyo wahusu? Kwanza walitaka kuvuka mipaka, ila somo wamelipata.
Tz hapaingliki ovyo
 
Jamaa mbona unaongea kama huna kichwa kbs!? Kwni hawa waliofanyiwa unyama waliingia tz kinyemela!?
 
Kuna siku wataingia chaka kwa mataifa makubwa ambayo raia wao ni mali.
Hipo siku na haya anayofanya samia ni kama alifanya idd amin mambo ni yale yale na hipo siku tutafanyiwa mengi
.......Hipo siku....... nikishaona sentesi kama hii napata kichefuchefu.Yaani sasa Kiswahili kinaanza kuw kigimu kama hesabu.
Kuna siku wataingia chaka kwa mataifa makubwa ambayo raia wao ni mali.
Hipo siku na haya anayofanya samia ni kama alifanya idd amin mambo ni yale yale na hipo siku tutafanyiwa mengi...
 
Naijua Tanzania vizuri, nawajua Watanzania vizuri, nawajua viongozi vizuri na ninawajua vijana wanyoa punk vizuri.
Uwezo wao wa kufikiri hawa vijana wanyoa punk ni mdogo sana hasa wakiwa kwenye land cruiser. Wanaona washamaliza. Hawaoni mbele.
Wangewapoteza milele wanaharakati wageni walioachiwa majuzi.
Baada ya mapigo ya vijana wa Kenya jamaa viongozi wao kuaibishwa wakaambiwa wawaachie haraka.
Bila hivyo wangewapoteza kama desturi yao.
Kumbe mgeni hapotezwi kienyeji kama kumpoteza mdude. Mgeni ukimpoteza umeliangusha Taifa lako
Uko sahihi
 
Nyie vibaraka wa watawala ndio tatizo zaidi, mnalipwa vjisent kdg mnawasahau ndg zenu masikini kule kijijini.
Uchawa ni laana!
Kama wewe unalipwa kuisema vibaya Serikali, basi jua na mimi nalipwa. Wivu wa nini?
 
Yule mwanamke wa kiganda atasema nini walichomfanyia lakini Mkikuyu Mwangi hatamwambia mtu yoyote unyama aliofanyiwa.

Hao vijana wa Kenya tunaodhani ni mashujaa watakuwa wameshajua kaka yao amefanyiwa nini na jamaa wa usalama, hawawezi kuthubutu kuchokoza nyuki wakati wa jua kali.
Vijana wa Kenya sio waoga ww, walikua wanapigwa risasi kesho wanarudi ndio sembuse waogope utesaji usiouwa?

Tungeazima wakenya laki moja tu wangetosha kutuondelea CCM kwa maandamano.
 
Back
Top Bottom