Kwa jinsi John Heche alivyoshambuliwa Twitter, ni wazi wafuasi wa upinzani sasa wanataka action na si kusikia viongozi wao wanalalamika

Mwisho wa ma keyboard warriors umewadia.......viongozi wanalia kwenye keyboard...wafuasi nao wanalia kwenye keyboard hamna hata mmoja anaetaka kuingia mtaani.......labda watoe rais wa mitandaoni ila rais wa huku uraiani ni ndoto kabisa kwa ma keyboard warriors
Ha ha ha ha waingie mtaani wakione kilichomtoa kanga manyoja. Mkisikia tumejipanga mjue tumejipanga.
 
Chadema hatukujipanga juu ya huu uchaguzi. Lissu kajitaidi ila hana wa kumsaidia
Lawama zote kwa Mwenyekiti wa saccos. Dude lile halijali jombaa, Leo chama kinamfia mikononi. Watakao bahati ubunge watakamuliwa mpaka macho.
 
mkuu mimi anaenikera ni mbowe, namwona kama mpumbavu hivi, yani sabaya ndo wakumsumbua kweli?


hivi kama hawataki kuchukua hatua kwanini basi watumtulize mazima huyo dogo?


SasaBasiiii nilidhan tafsiri yake ni mwisho kulalamika, its either wakae kimya au twende kwa option ya umma...... No more
Yani dah.... inakera asee
 
Back
Top Bottom