Kwa jambo hili sintomsahau Mh. John Mnyika!

Kwa jambo hili sintomsahau Mh. John Mnyika!

Binafsi kama kijana,mnyika amekuwa modal wangu kwenye siasa, anaweza kusimamia jambo kwa uwakika na kulifuatilia,hakika john mnyika ni kijana wa kuigwa na vijana wa vyama vyote sio chadema pekee, kila la heri kamanda wa ukweli mh. Mnyika!
 
Mh Mnyika amebakisha huku kwetu Changanyikeni. Bado tunachanganywa na kuchanganyikiwa na shida ya maji

Kwa upande wa Changanyikeni , Makongo Juu na Goba hali bado ni tete. Kwa Goba kwa kweli kuna hujuma kubwa ilifanywa kwenye ule mradi wa maji, viongozi wateule walikula pesa, kuharibu miundombinu, na kuunganisha kinyemela, maji mengi yalikuwa yanapotea/kuibwa na kuleta hasara sana kwa Dawasco wakasitisha hii makitu.

Kabla ya kuhamia huko, nilikuwa Sinza, kwa kweli maji kwa mwaka 2011/Mid 2012, maji yalikuwa ya kutosha tu, sana sana Sinza A na B kulikuwa hakuna shida, kidoogo, Sinza C kulikuwa na shida kiasi.

Kwa ujumla, JJ Mnyika kajitahidi sana!
 
mtanzania1.unaish ubungo ipi mm hapa ndio natoka job nasubiri gari la maji hapa kibanda nikajiuliza wanao sema kuna maji vp .jf tuwe wakweli sote ni wa tz tunajenga nyumba1 sio cdm na ccd

Job ya kuiba simu za mchina? Wewe umechina
 
Leo ndio nimestuka na kuanza kujiuliza wapi yalipo yale magari ya akina Mringo na wenzake ambayo yalifikia mahali cha kutukosesha amani ya usalama wa watoto wetu kwa kila dakika kupita mitaani huku Kimara yakifanya biashara ya Maji? Tulizoea kuyaona magari mengi sana ya kuuza maji ambapo leo ni vigumu sana kuyaona yakifanya biashara hiyo.

Kila mwenye pesa yake wakati huo Kimara hakuwa ameona biashara nyingine ya kufanya zaidi ya kuuza maji maana ndiyo biashara iliyokuwa maarufu sana na inatoka sana huku Kimara.

Leo hii wengi wameshabadilisha matumizi ya magari yale kwa kukosa wateja kwani tatizo la Maji Kimara limepungua kwa kiwango kikubwa sana kama si kukaribia kwisha.

Je waliomtangulia akina Keenja, Ngula n.k walishindwa kabisa kuona kwamba hiki kitu kinawezekana kiasi cha kuwaruhusu akina Diwani(CCM) Mringo kupata utajiri kwa biashara hiyo huku wakifanya kila jitihada maji yasipatikane Kimara ili wao wauze?

Heko JJ. Mnyika, Mbunge wangu.



Kwani kazi ya kuwaekea maji wananchi ni ya CDM au Srekali? nauliza tu lakini?
 
Huku Tabata ndio kuna mpaka trekta za kuuza maji!huyu kihiyo wa magamba anavimbisha tumbo tu
 
hata mimi sijutii kulifanya hilo na pamoja na kumpigia kura yangu JJ
kwakweli sikuweza kumpigia kura kwasababu ya mfumo m'bovu kabisa wa tume, lakini nililofanya ni zaidi ya kura, ila Dr. kura yangu aliipata.
 
mtanzania1.unaish ubungo ipi mm hapa ndio natoka job nasubiri gari la maji hapa kibanda nikajiuliza wanao sema kuna maji vp .jf tuwe wakweli sote ni wa tz tunajenga nyumba1 sio cdm na ccd
Job gani wakati wewe ni mwizi wa simu? Mkuu Molemo Kumbe wizi ni ajira ?
 
Last edited by a moderator:
hivi haiwezekani kwa watu kujiunga pamoja like 15 houses mtaani kuchangishana then kujichimbia kisima chao,kuweka pipe,maintenance kuliko kusubiri hayo maji yasiyokuja with politics na yakija ni mara moja kwa week,its time watu wachukue hatua zao kujisaidia maana sioni serikali ikisaidia,maji ni very important katika maisha watu wafanye juu chini kujisaidia wenyewe
 
hivi haiwezekani kwa watu kujiunga pamoja like 15 houses mtaani kuchangishana then kujichimbia kisima chao,kuweka pipe,maintenance kuliko kusubiri hayo maji yasiyokuja with politics na yakija ni mara moja kwa week,its time watu wachukue hatua zao kujisaidia maana sioni serikali ikisaidia,maji ni very important katika maisha watu wafanye juu chini kujisaidia wenyewe

Wewe b.wege kwenu huko Uluguruni umechimba visima vingapi?
 
Wewe b.wege kwenu huko Uluguruni umechimba visima vingapi?

......Pasadena sijui hata maji yanatoka wapi ingawaje nasikia ni ya visima vya city na sijawahi kuona maji yakikatika,na back home hawana hiyo shida wali solve hiyo shida many yrs ago.
 
Mi simo na siasa zenu ila ukitaka kujua sehemu yenye shida ya maji ukiingia majumbani ukakuta mando ya melundikwa kama kunafanyika biashara ya mando jua kunatatizo la maji hapo ukipita barabarani, ukaona magari ya kubebe maji hali ni hiyo hiyo na hali hiyo mimi naiona kuanzia zaidi kunzia kimara hadi kibaha afadhali wangeongea watu wa mbagala na maeneo mengine sio ubongo mpaka kibaha ni shida tupu. Huo ndio ukweli.
 
Wewe inaonekana hauishi kwenye jimbo la Ubungo.......biashara ya maji ipo palepale.....tena mara 17 zaidi ya bei ya Dawasco.........na sababu za kutopatikana ziko wazi........tumejaribu kumshauri mbunge wetu lakini bado anapiga siasa..........anyway shida ya maji bado ipo palepale......ninasubiri kumuadabisha....ndiyo uwezo nilionao
na wewe wa kalenga iringa umefuata nini ubungo?
 
Acha ubaguzi! Mbona uliacha JK 'akaiba' za babu we ulikuwa unalinda za Mnyika peke yake
mkuu nililinda zote, hahahaha! kuanzia za diwani hadi za rais, tena kura nilimpigia Dr. ila sikuwa na uwezo wa kumpigia kura mnyika kwasababu ya mfumo m'bovu kabisa wa tume ya uchaguzi...
 
Mimi nimekaa ubungo river side karibu na stand ya makoka almost a year sijaona hilo tatizo la maji,sasa hivi nakaa sinza A hali kadhalika,mchawi mchukieni lakini sifa zake mpeni,JJ kajitahidi japo sio kwa 100%.
 
kwakweli sikuweza kumpigia kura kwasababu ya mfumo m'bovu kabisa wa tume, lakini nililofanya ni zaidi ya kura, ila Dr. kura yangu aliipata.

kiongozi mimi nilikuwa kituo cha mlimani nililinda kura hizo na wenzangu vilivyo na kutumia haki yangu ya kikatiba kupiga kura zangu vyema bila shida. na hiki kilinifurahisha. kumbe mkiamua kwa nia kabisa kuzilinda zinaweza kulindika.
 
Back
Top Bottom