Leo ndio nimestuka na kuanza kujiuliza wapi yalipo yale magari ya akina Mringo na wenzake ambayo yalifikia mahali cha kutukosesha amani ya usalama wa watoto wetu kwa kila dakika kupita mitaani huku Kimara yakifanya biashara ya Maji? Tulizoea kuyaona magari mengi sana ya kuuza maji ambapo leo ni vigumu sana kuyaona yakifanya biashara hiyo.
Kila mwenye pesa yake wakati huo Kimara hakuwa ameona biashara nyingine ya kufanya zaidi ya kuuza maji maana ndiyo biashara iliyokuwa maarufu sana na inatoka sana huku Kimara.
Leo hii wengi wameshabadilisha matumizi ya magari yale kwa kukosa wateja kwani tatizo la Maji Kimara limepungua kwa kiwango kikubwa sana kama si kukaribia kwisha.
Je waliomtangulia akina Keenja, Ngula n.k walishindwa kabisa kuona kwamba hiki kitu kinawezekana kiasi cha kuwaruhusu akina Diwani(CCM) Mringo kupata utajiri kwa biashara hiyo huku wakifanya kila jitihada maji yasipatikane Kimara ili wao wauze?
Heko JJ. Mnyika, Mbunge wangu.
Atafika tu. Mpeni tu miaka mingine mitanoMh Mnyika amebakisha huku kwetu Changanyikeni. Bado tunachanganywa na kuchanganyikiwa na shida ya maji
kimara ipi mkuu mbona tembon.kwa msuguri.kibanda cha mkaa.suka.stop ove.bunyokwa.king'ongo.bwalon na nk bado watu wanafanya biashara sana tu.na maji hakuna
Naona maji yanabagua maccm hampati maji
Leo ndio nimestuka na kuanza kujiuliza wapi yalipo yale magari ya akina Mringo na wenzake ambayo yalifikia mahali cha kutukosesha amani ya usalama wa watoto wetu kwa kila dakika kupita mitaani huku Kimara yakifanya biashara ya Maji? Tulizoea kuyaona magari mengi sana ya kuuza maji ambapo leo ni vigumu sana kuyaona yakifanya biashara hiyo.
Kila mwenye pesa yake wakati huo Kimara hakuwa ameona biashara nyingine ya kufanya zaidi ya kuuza maji maana ndiyo biashara iliyokuwa maarufu sana na inatoka sana huku Kimara.
Leo hii wengi wameshabadilisha matumizi ya magari yale kwa kukosa wateja kwani tatizo la Maji Kimara limepungua kwa kiwango kikubwa sana kama si kukaribia kwisha.
Je waliomtangulia akina Keenja, Ngula n.k walishindwa kabisa kuona kwamba hiki kitu kinawezekana kiasi cha kuwaruhusu akina Diwani(CCM) Mringo kupata utajiri kwa biashara hiyo huku wakifanya kila jitihada maji yasipatikane Kimara ili wao wauze?
Heko JJ. Mnyika, Mbunge wangu.
Maji gani? Wengine maji tunayasikia kwa wenzetu sisi ni ya visima tu.
....Jitihada zipi zisizo na matokeo??? Viongozi gani wa CCM?? Maji Ubungo yapo ila kuna wafanyabiashara wanatoa rushwa ili maji yasipatikane waweze kufanya hiyo biashara.....Tunaye mbunge ambaye tumemchagua ili atusemee hayo lakini yuko kimya....kwanini tusiseme kama mbunge wetu ameshindwa kutekeleza majukumu yake au ana maslahi ndani ya biashara ya maji au kapewa rushwa na wafanyabiashara wa maji???.......Mkuu mimi ni Mkazi wa Jimbo la Ubungo na ninatambua jitihada za Mbunge wangu. Viongozi wa CCM ndio wanauza maji na uzuri tunawajua hadi kwa majina. Mbunge amejitahidi sana hata kujarubi kupeleka muswada wa maji bungeni la maccm yanakwamisha
....Kwa taarifa yako ulipaswa upate huduma hiyo kwa chini ya shs 1,000/= kwa dumu (uniti 1)Si huko tu, pia Kwembe maji yameshuka bei toka Shs 15000/= hadi Shs 9,000/= tu kwa dumu la lita 1000. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
kimara ipi mkuu mbona tembon.kwa msuguri.kibanda cha mkaa.suka.stop ove.bunyokwa.king'ongo.bwalon na nk bado watu wanafanya biashara sana tu.na maji hakuna
Wewe unaishi wapi maana haiwezekani ukawa unaishi maeneo yote hayo waache kila mtu aongeleee eneo lake, labda kama utuambie kote huko una nyumba ndogo.
hayo yalikuwa kwenye ahadi za mkuu wa kaya 2010-2015Leo ndio nimestuka na kuanza kujiuliza wapi yalipo yale magari ya akina Mringo na wenzake ambayo yalifikia mahali cha kutukosesha amani ya usalama wa watoto wetu kwa kila dakika kupita mitaani huku Kimara yakifanya biashara ya Maji? Tulizoea kuyaona magari mengi sana ya kuuza maji ambapo leo ni vigumu sana kuyaona yakifanya biashara hiyo.