Kwa huu mshahara, take home ni shingapi?

Ingia kwenye website ya TRA angalia utakatwa PAYE ya kiasi Gani

Hata hivyo utakatwa pia Bima ya Afya pamoja na hiyo Bodi ya Mikopo bila kusahau NSSF ya 10% hivi

Roughly unaweza kurudi home na shilingi 930,000 hivi
Inaongezeka badala ya kupungua mkuu?
 
232,350/= loan board avg.15% of BS.
154,900/= NSSF 10% of BS.
+246,230/= PAYE: after BS - NSSF .
633,480/= Makato kwa ujumla


Pesa mkononi/benki:
1,549,000/= - 633,480/= = 915, 520/=

Take home avg: 915, 520/=
Kama hakuna nyongeza ya malupulupu mengine au makato ya chama cha wafanyakazi au mambo yahusuyo misiba.

NB: BS.=Basic salary
Hivi hio nssf wanavokata hela nikistaafu Tena wananipa pungufu ya hio hela mbona Ni wizi wa wazi wazi huu
 
Inaongezeka badala ya kupungua mkuu?
Kivipi iongezeke wakati imepungua kutoka 1.56M alizotaja hadi 930k

Mara nyingi mishahara inapungua badala ya kuongezeka

Unaweza kuwa na Gross Salary ya 3.4M lakini baada ya Makato ya Serikali unajikuta unarudi home na 1.8M

Hii ndiyo Bongoland
 
Ila maisha yanatofautiana sana, PAYE yangu ipo 3m+ ila tulianzia level za mtoa mada more than 10 years ago.
 
Ingia kwenye website ya TRA angalia utakatwa PAYE ya kiasi Gani

Hata hivyo utakatwa pia Bima ya Afya pamoja na hiyo Bodi ya Mikopo bila kusahau NSSF ya 10% hivi

Roughly unaweza kurudi home na shilingi 930,000 hivi
Mkuu umesoma Cuba au Data sky ya Mwembechai?
 
Ameshataja gross sasa take ni baada ya deductions. Inakuwaje take home iwe kubwa kuliko gross?
Labda kama alifanya editing ya andiko lake ila mwanzoni lilisoma 1,582,000 ndiyo maana ilishuka hadi 930k

Lakini kama Gross ni hiyo 583k basi hapo itashuka hadi kwenye 322k hivi take home

All in all Kuna baadhi ya Taasisi wanalipa mishahara kiduchu sana aisee
 
Back
Top Bottom