Aventus
JF-Expert Member
- Mar 8, 2013
- 1,914
- 1,977
- Thread starter
- #21
Mwambie.. Tuna akili timamu (siyo wote).., tunajua kuhoji maswali ambayo hawezi kuwa na majibu nayo.., wasihamishe magoli..,Hata mm nimeickiliza yote..huwezi ukatoa conclusion kuwa hotuba ilikuwa mbovu kwa kudokoa vistatement vichache vichache ndani ya hotuba ile..mtoa mada ana lake jambo
atueleze sasa.., zile pesa za wahisani, wadau, wananchi wa kawaida kwenda kwenye ile akaitishe ya Maafa kwa ajili ya wahanga wa tetemeko kule Kagera, zinatakiwa kuwafikia lini walengwa..,
(maana serikali yenu hii sikivu imeanza sasa kuhamisha magoli 'kubadilisha maana yetu sisi wapiga kelele'.., na kusema haina pesa za kuwajengea wananchi wale makazi yao)..,
sawa.., serikali haina pesa.. Lakini sisi (watanzania) tunahoji michango ya wananchi, wahisani, watanzania zitawafikia/itawafikia lini walengwa (wananchi)..,
siyo pesa za serikali kuu kutoka hazina.., hapana.., hatuna shida na pesa za serikali.., tunauliza zile pesa kutoka Japan, Marekani, Uingereza, Canada, Kenya, Uganda, na mashirika, taasisi na Michango ya wananchi (siyo pesa za hazina)..,