bibikuku
JF-Expert Member
- Feb 16, 2011
- 832
- 495
- Thread starter
- #21
Kwa kuwa hawa watu walishakubali kurudi kazini naona hasingesema tena kuhusu mgomo. Naona kama kalikoroga tena.
Nakubaliana na wewe 100%. hakuwa na sababu ya kuzungumza na wazee hawa wakati madokta wamerejea kazini na wamesema wana imani naye