Kwa hotuba hii ya Rais, Tujiandae na mgomo mkubwa wa madaktari

Hekima hekima kwa jk na serikari yake ni chenga. Ivi. Angalia migogoro. Yote hapa tz na suluhisho zake. Mf walimu, reli, wastaafu EA, wanafunzi Vyuo, maandamano arusha, dah zingine nyingi. C cm is. A total shit. Ndo. Maana kingunge aligoma kumpa kikwe te mkono sababu hashauriki.
 
Hivi Bibikuku ni dakitari au ni msemaji wao. Wacha kupambisha moto madakitari. Wao ni weledi na wanaweza kuitafakari hotuba ya Mheshimiwa Rais wa Tanzania wao wenyewe. Kwa uzalendo wao, hekima zao na wito wa kazi yao watapuuza uchochezi wako huu. Nina hakika watapuuza.
 
A bustard is liar, shakespeare wrote a poem.

Kabla hujaifuta niiwahi, huyu ndio bustard kwa wasio mjuwa:
xr-Kori-Bustard-web.jpg

Source:http://thebirdzoo.com/BirdZoo-images/xr-Kori-Bustard-web.jpg

Sasa hayo maneno ya Shakespeare au yako mwenyewe?
 
Ukishangaa ya madaktari utayaona ya Jk.
Madaktari wametoa tamko JK kaongea wazee, nyuma ya pazia wamekufa watz wengi wasio na hatiana kwa bahati mbaya hakuna tunaloweza kufanya. Poleni wanaharakati.
 
People are always shouting they want to create a better future.bu remember to be masters of the future is to change the past." na msikubali kuwa wajinga kuna watu wanapenda mabaya kama bibikuku na wengine JK kajishusha na amekubali kusahihisha mapungufu yake Tumwombee dua sawa jamaniiiiiiiiii
 
Mkuu wa kaya kama kumbukumbu zake ziko sawa aangalie matokeo ya sekondari na primary miaka ya hivi karibuni. ni bora mgomo wa wazi kuliko ule baridi. namtakia heri kwa wale watakaokufa kwa mgomo wa baridi wa Drs. naomba nisiumwe maana najua na mimi wataniwahisha ahera kwa makosa ya mkuu wa kaya.
 
Mkuu wa kaya kama kumbukumbu zake ziko sawa aangalie matokeo ya sekondari na primary miaka ya hivi karibuni. ni bora mgomo wa wazi kuliko ule baridi. namtakia heri kwa wale watakaokufa kwa mgomo wa baridi wa Drs. naomba nisiumwe maana najua na mimi wataniwahisha ahera kwa makosa ya mkuu wa kaya.
Uovu wa siku moja, unaondoa wema wa MWAKA MZIMA

Nimeizimikia sana signature yako mkuu

 
lakini haya yanasababishwa na ukosefu wa uwazi kwenye maswala ya maslah kwa watu wote ....Hatjui nin kilichowasib madoct na wao wameilamba sukari wakaishia kuguna na kutokuwa na msimamo lakin hatujui kama walim nao wanoandaa lip????????????????????????????????????????????????????????????????????:crazy:
hilo la walimu ndio USISEME kabisa mana wao ndio balaa,watoto wa darasa la tatu anafundishwa silabasi ya la pili cjui atajibu nini kwenye mtihani wa darasa la NNE???ndio ile mwalimu anaandika 1+1=11 alafu anakwambia mpka kieleweke:lying:
 
Kitu ambacho sikumwelewa JK ni increment ya budget from certain billions to trillions (sikushika figure vizuri) lakini nachojua ni massive amount. Angekuwa makini angeshtuka kwamba jamani tumeongeza pesa nyingi kwenye hii sekta ya afya na kwa sasa imekuwa namba 3 ukilinganisha na sekta nyingine. Iweje hospitali zikose vitu vidogo kama gloves, dawa na vitendea kazi? Pesa zinakwenda wapi? Budget inaonekana kubwa kumbe ndio misururu yao ya kwenda India? Kwa kweli inasikitisha.

Ndugu unayetaka kujua pesa za wizara ya afya zinakoenda, karibu Arusha. Ukifika tembelea mahoteli makubwa na kumbi maarufu za mikutano na semina, anzia Golden Rose kisha uende Lush Garden, Olasiti, Mount Meru Hotel na kwingineko kunakofanania. Ukifika huko waulize wenye biashara hizo, "nani mteja wenu mkuu wa masemina na makongamano ya kula na kunywa?" Utapata jibu lako.
 
Back
Top Bottom