Kwa hisani ya.......

Kwa hisani ya.......

Kaunga

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Posts
12,529
Reaction score
13,502
.....Bush na JeyKei.......
IMG_0923.JPGIMG_0924.JPG
.....Tanzania yenye Malaria na Vipaji inawezekana.....
 
Kaunga huwezi amini pita barabara za Singida au tabora au Serengeti uone vyandarua vilivyojaa kwenye vyoo au kwenye mashamba
Wanavitumia kuziba vyoo au ishara ya kuweka mashambani ndege wasivamie mazao yao na havitumiki kwa sababu iliyokusudiwa
na vingine ni vipya kabisa mtu anakabidhiwa anaenda kuzungushia kwenye choo au bafu lake
 
Last edited by a moderator:

Yaani inasikitisha, nyanya na mchicha ndio kuku proof kwa muda; hata vifaranga wanaepushwa na kunguru kwa "kitu cha watu wa marekani"
 
George Bush na Wamarekiani wakiiona lazima walie .....
 
Kaunga hata mmarekani aliyetoa msada hataamini hilo ndio kusudio lake
Watu hawajali kabisa kuwa vimetolewa kwa sababu gani
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom