Kwa Hisani Ya Watu Wa .........

Kwa Hisani Ya Watu Wa .........

Yaani shem unanizulumu Uzi mchana kweupe Ng'ombe bado wako malishoni?
Kwa hisani ya Arushaone leo uukose usingizi .

hahahaaa, shem kuukosa leo ni lazima maana tumeandaa mechi kwa hisani ya mapenzi.
 
Last edited by a moderator:
hahahaaa, shem kuukosa leo ni lazima maana tumeandaa mechi kwa hisani ya mapenzi.

Muzee yako si ako trip ?
Hilo game unalichezaje!
Afu naona Filipo hachezi mbali !
Kun'nini sijui !
 
Last edited by a moderator:
Kwa hisani ya watu wa Tanga wote ...!washambaa, wahea, wakiindi wambughu, wazighua, wabondei, wataita, wanguu, na WASHANA..!
 
Back
Top Bottom