Kwa Hisani Ya Watu Wa .........

Kwa Hisani Ya Watu Wa .........

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,789
Kufuatia mara chungu tele , nisikiavyo mambo mengi ya Tija , Faraja ama Maendeleo yatukiayo ktk Nchi hii , yatajwapo tu , kisha hufatiwa ama huanzwa na maneno kama :-

"Kwa hisani ya watu wa Marekani"
Au
"Kwa hisani ya watu wa China"
Ama
"Kwa hisani ya watu wa Norway , Ujerumani , Canada"
N. k N.k

Na mimi leo nimeamua niwatakie usiku mwema na usingizi mnono kwa hisani ya watu wa Korea !
 
Haya ndiyo madhara ya zile bia za Eagle na Senator zinazouzwa bukubuku!
Ni dhahiri wengi wa wadau niliowatakia heri wameshazimika! Mf. Bishanga huyo wala si wa kumuuliza mida hii, anatembelea parking light , head lamp kusakufa!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Na mie nimepata usingizi kwa hisani ya my wife marejesho
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom