Kwa hili lililotokea Kigoma CHADEMA wasithubutu kumfukuza Zitto Kabwe

Sheikh Takadir alikua na nguvu ndani ya TANU pia

Rostam aliweza kuandaa umati wa kulia na kuzimia

Unapoenda kwenye mkutano Kigoma ukaambatana na wasanii wazawa wa Kigoma All Stars unaleta mvuto wa kipekee maana wananchi watadhani kuna show na hayo ya kamati kuu na baraza kuu sidhani kama wanayajua

By the way nguvu ya mtu Kigoma ingesababisha tuwe na wabunge na madiwani wengi wa CHADEMA

Jitihada hizi za dharura za CCM haziwezi kubadili muelekeo wa maamuzi ya CHADEMA

Mi nimewaza baada ya mkutano na "mapokezi makubwa" what's next?
Hivi unaweza kuintimidate taasisi kubwa kwa kustage mapokezi. What is he trying to achieve really....
 
Hata Yesu alikuwa na wafuasi ila alisulubiwa,
Ni bora kuwa na kundi la watu wachache waadilifu kuliko kuwa na watu wengi mamlyki, wasaliti, nimesoma risala yake, hajalaumu maana anajua alilotenda

wewe acha ushabiki wakipumbafu,waliomsulubu yesu unadhani walhtenda haki?tubia uovu wako kabla jua halijazama
 
Maskini Zitto bado anacheza ngoma ya tokomile ya wandengereko ya wachezaji kuchapana bakora wenyewe
 
Kwahiyo NI NANI wanaosema CHADEMA ni CHAMA CHA WACHAGGA? Sasa Kama ZITTO KABWE Amepokelewa VIZURI KIGOMA Basi na Mwakyembe atapokelewa VIZURI sana MKOANI KWAKE na pia KAGASHEKI atapokelewa kwa nderemo akirudi BUKOBA...

Mtaanza kujiuliza ni kina nani wameigawa nchi nzuri na salama kama Tanzania?

Iliyokuwa inasifika DUNIANI kote hadi kwenye KILIO cha MANDELA rais wao pamoja na kutokumpenda Rais wa kwanza NYERERE alipewa heshima na hekima za juu kwa kutoa hotuba zilizoushangaza VIONGOZI wa ULIMWENGU MZIMA jinsi nchi kama Tanzania ilivyokuwa na MOYO

Na haikuacha kusamehe wabaya wake... na ilijenga UMOJA nchini Mwake kwa kutumia LUGHA MOJA kiswahili pamoja na kuwa na makabila 130

Sasa ni nani anaanzisha UTENGANO CHUKI ndani ya nchi hii?

Kwahiyo kila Mwanasiasa atakwenda kwao kuhamasisha watu wa kwao? Ndio Mwisho wa UMOJA wa NCHI HII?

Na YOTE HAYO YALIANZISHWA na RAIS wa SASA wa nchi HII ambaye ni kipenzi wa ZITTO KABWE

GO FIGURE
inaonesha upo upset
 
Sheikh Takadir alikua na nguvu ndani ya TANU pia

Rostam aliweza kuandaa umati wa kulia na kuzimia

Unapoenda kwenye mkutano Kigoma ukaambatana na wasanii wazawa wa Kigoma All Stars unaleta mvuto wa kipekee maana wananchi watadhani kuna show na hayo ya kamati kuu na baraza kuu sidhani kama wanayajua

By the way nguvu ya mtu Kigoma ingesababisha tuwe na wabunge na madiwani wengi wa CHADEMA

Jitihada hizi za dharura za CCM haziwezi kubadili muelekeo wa maamuzi ya CHADEMA

Ben hapo hao wananchi wanamsikiliza Zitto au wasanii? je baada ya wasaniii kumaliza show wananchi wanaondoka? haya ni mawazo mfu uliyonayo unasubiri wamfukuze
 
inaonesha upo upset

Kwasababu vitu vidogo vidogo kama hivi visipokemewa ndio Mwisho wa AMANI nchini ni kwanini asingeenda Mkoa Mwingine kwanza au aanzie Dar? Ina Maana asingepata washabiki?

Sasa ina Maana Kwenda kwao lazima watamuunga Mkono hiyo ina Maana gani? KATIBA yetu inaruhusu ?

Sasa na yeye ni wa kikabila kidogo na watu wa Makabila Makubwa wakianza kufanya hivyo na kudai URAIS na kuanzia Makwao?

And All this was CREATED and MADE by CCM but what GOES AROUND comes BACK to BITE YOU HARD
 
Nyerere alitelekeza hizo kitu, CDM ilienda kuwakomboa leo hii hawajitambui, hata kama waondoke na msaliti wao, CDM haifi maana kuna watu wengi mikoa mingine kuliko jimbo la kigoma kasikazini na kigoma kwa ujumla
 
Ukweli kama Mwanza na Shy, Geita, Simiyu na Kagera wako nyuma ya CDM, achana kabisa na KG kwa ukanda huo, nani anawajua hao, wanapenda unafiki sana na kiburi sana wakipata kidogo maana hawakuzoea kuwa na kitu, ukweli uongo??? nimeishi karibu wilaya zote wako hivyo.
 
Ben hapo hao wananchi wanamsikiliza Zitto au wasanii? je baada ya wasaniii kumaliza show wananchi wanaondoka? haya ni mawazo mfu uliyonayo unasubiri wamfukuze

Wapumbv msitusumbuee sasaa ulisikia OBAMA anahutubia huku 50cents anatumbuiza??? achenijinga huu, na sio tabia y CDM ni ya CCM, labda kama yuko mbioni kwenda huko
 
Kwasababu vitu vidogo vidogo kama hivi visipokemewa ndio Mwisho wa AMANI nchini ni kwanini asingeenda Mkoa Mwingine kwanza au aanzie Dar? Ina Maana asingepata washabiki?

Sasa ina Maana Kwenda kwao lazima watamuunga Mkono hiyo ina Maana gani? KATIBA yetu inaruhusu ?

Sasa na yeye ni wa kikabila kidogo na watu wa Makabila Makubwa wakianza kufanya hivyo na kudai URAIS na kuanzia Makwao?

And All this was CREATED and MADE by CCM but what GOES AROUND comes BACK to BITE YOU HARD
unasumbuliwa na wivu
 
kwahiyo ni nani wanaosema chadema ni chama cha wachagga? Sasa kama zitto kabwe amepokelewa vizuri kigoma basi na mwakyembe atapokelewa vizuri sana mkoani kwake na pia kagasheki atapokelewa kwa nderemo akirudi bukoba... Mtaanza kujiuliza ni kina nani wameigawa nchi nzuri na salama kama tanzania? Iliyokuwa inasifika duniani kote hadi kwenye kilio cha mandela rais wao pamoja na kutokumpenda rais wa kwanza nyerere alipewa heshima na hekima za juu kwa kutoa hotuba zilizoushangaza viongozi wa ulimwengu mzima jinsi nchi kama tanzania ilivyokuwa na moyo na haikuacha kusamehe wabaya wake... Na ilijenga umoja nchini mwake kwa kutumia lugha moja kiswahili pamoja na kuwa na makabila 130 sasa ni nani anaanzisha utengano chuki ndani ya nchi hii? Kwahiyo kila mwanasiasa atakwenda kwao kuhamasisha watu wa kwao? Ndio mwisho wa umoja wa nchi hii? Na yote hayo yalianzishwa na rais wa sasa wa nchi hii ambaye ni kipenzi wa zitto kabwe go figure
uko sahihi mkutano huu unonyesha dhahiri watu waliandaliwa kabla waje kwa staili ya kuwa mkutano si wa chama bali wa kimkoa na hituba imeaksi muonekano wa hadhira
 
Wapumbv msitusumbuee sasaa ulisikia OBAMA anahutubia huku 50cents anatumbuiza??? achenijinga huu, na sio tabia y CDM ni ya CCM, labda kama yuko mbioni kwenda huko
n
mbona mnaweweseka sana kinachowasumbua nini hasa? babu kapokelewa vibaya kuliko zitto kwanini mnashindana na ukweli?? mfukuzeni basi mnaogopa nini?
 
Mi nimewaza baada ya mkutano na "mapokezi makubwa" what's next?
Hivi unaweza kuintimidate taasisi kubwa kwa kustage mapokezi. What is he trying to achieve really....

Elizabeth kukubalika kwa mwanasiasa manaake nini? kukubaliwa kwene kamati kuu? mwanasiasa anatakiwa akubalike na wananchi sio watu wachache kwene. huo ni ujumbe kua hata mkimvua bado akienda kokote anakubalika.

ivi hata hamna mifano? kafulila ilikuaje? kafulila alipofukuzwa mliongea sana huku. leo kafulila Mbunge.
wabunge hawachaguliwi JF. kuweni na kumbukumbuku msiwe na akili za samaki
 
NAPENDA KuWASHAURI VIONGOZI WAKUU CHADEMA wasipuuzie mapokezi makubwa alioyapata mbunge wa kigoma kaskazini na kuonyesha kuwa bado anaushawishi mkubwa chamani.
kuna taarifa kubwa za kinteligensia kuwa mh zito anamtandao mkubwa katika mikoa ya kusini,kigoma,tabora,singida,tanga,shinyanga na tayari ameeanza kulobby wajumbe wa baraza kuu nahivo kama kesi yake itafika baraza kuu huenda kukaibuka mgawanyiko wa kutisha hivyo kwa busara ya chama ni bora kumvua vyeo vyote anavyoshiilia lakini si kumfukuza mh zito
1528654_635387156523359_1283011894_n.jpg

Hata lile boing la Ethiopia lilijaza watu jana kulishangaa. Je na lenyewe lilikua na ushawishi?!
 
Cc ya cdm wewe wa chama cha mizigo inawahusu nini?
Zitto hata mumtete vipi, lazima tumtimue!
mbona hamumfukuzi? kila siku tambo na vitisho mbona hamchukui hatua?? nani atamfunga paka kengele?? au mnasogeza siku za kulikaribia kaburi?? hell is yours
 
Back
Top Bottom