Kwa hili Mbowe ndiye anayeiua CHADEMA kwa kuhofia uwezo mkubwa wa Zitto

Young Tanzanian

JF-Expert Member
Mar 10, 2012
1,736
293
WAKUU,

Kutoka makao mkuu ya chadema, Tumefinywa sikio na mtumishi muhimu sana wa chadema, kuwa mwenyekiti wa taifa wa chadema (MBOWE) yuko kwenye wakati mgumu sana anapotafakari uchaguzi wa chama hicho.

Kila mpango anaoupanga anaona hauna zao la yeye kufanikiwa kumshinda Zitto katika uchaguzi ujao wa chama.

Lakini alipata tafakuri toka kwa wanazi wake na kupanga mpango A, B na C,

Mpango wa kwanza (A) waliweka mkakati wa kumng'oa mwigamba aliyekuwa kikwazo sana kumpinga mbowe asigombee nafasi hiyo kwa mara ya tatu.

Wakati wa vikao vya siri na hata vya wazi vya chama alivyoviitisha Lema huko ARUSHA mwigamba alipinga kabisa mipango na mbinu za mbowe kutaka kuwa mgombea wa uwenyekiti Taifa,

Mpango wa pili (B), kuwatimua wajumbe wote wa mkutano mkuu wa chama wanaoonekana wana mwelekeo wa kumtetea au kuegemea kwa Zitto.

Sasa ameanza kuutekeleza kwani mbowe amewatimua akina magesa m/kiti mkoa wa mara, anaendelea kwenda songea, mtwara, lindi na hatimaye shinyanga kwa mzee shilungushera na mwisho tabora kabla hajamaliza morogoro kwa mwenezi wa mkoa na mikoa ya kigoma na manyara,

Pamoja na hilo, jana alipokuwa shinyanga alitaka kupenyeza hoja ya kumjadili m/kiti wa baraza la wazee shilungushera lakini akaonywa na watu wake wa karibu kuwa akifanya hivyo mapema ataharibu mpango huo na ataweza kugundulika.

Mpango namba tatu (c) kumtuma mtu atakaemchokoza Zitto ili alipuke na kuwasema vibaya viongozi wa taifa ili asimamishwe uongozi ili uchaguzi ufanyike akiwa nje ya nafasi yake na kwa sababu hiyo hataweza kugombea nafasi yoyote ndani ya chama.

Katika kikao kilichofanyika nyumbani kwake mbowe katikati ya october 2013, kilihudhuliwa na LEMA, MNYIKA, MSIGWA, SUGU, na WENJE na kijana mwingine wa kichaga ambae hakujitambilisha jina bali alijiita 'kamanda'

Mbowe alihoji uoga wa wabunge hawa kumuogopa zitto kwao kunatokana na nini?
''Kweli wanaume wote nyie Zitto anawakalia vichwani kama wake zake?" alihoji mbowe kwa ukali

Hakuna aliyejibu moja kwa moja isipokuwa LEMA alisema 'tumubomoe washikaji' huyu hana uwezo wa kunibania kifua nikibomoka ni ndani ya week tu atakuwa amepata msongo wa mawazo, kwa hiyo atajikuta akiropoka na kugusa viongozi wa taifa kuwasema kuwa wananituma,

Akisharopoka hivyo tu, kamati kuu itaitwa na kumpigia kura za kutomuamini, (alimaliza Lema)
Lakini Sugu alihoji uwezo wa kamati kuu kumtetea na kumpa ushindi kuwa kutamuimarisha,
Hapo Mbowe akamjibu kuwa hapana mie nataka tu tupate sababu au hoja ya kumjadili hayo mengine niachieni, ''WAJUMBE WA KAMATI KUU NI UTEUZI WANGU KWA 30% NA WENGINE NI WATENDAJI AMBAO NI WATEULE WANGU, NA KAMA AKIPATA KURA ZAO HAZITAZIDI KURA 5 MAANA WATU WAKE NDANI YA CC NAWAJUA''.

Mnyika alihoji kwanini tufike huko kwa sasa, hebu acheni tukaribie uchaguzi, mkifanya hivyo sasa atakuwa na muda wa kujipanga, lakini Mnyika alipuuzwa na kusemwa na lema kuwa ni mtoto mayai aachie ngoma wajuzi wa mambo waicheze.

Mnyika alijiona kama hana hoja ya kuwashauri tena, baada ya muda akazuga kuwa simu ya mama yake mzazi inamhitaji kuna tatizo nyumbani hivyo akawaacha wakiendelea na kikao.

Yote tunayoyaona ni juhudi za kutafuta namna ya kumzuia Zitto asigombee nafasi yoyote ya chama, kwani wanajua kuwa wanachama wanajua uwezo wake na wanajua unafiki wa viongozi wao,hivyo wakiruhusu ballot box hawatakuwa na nafasi ya

MY TAKE; ZITTO NDIYE CHADEMA NA CHADEMA NI ZITTO...MWSHO WA CHADEMA UMEFKA.. KWA HILI CCM WATAENDELEA KUONGOZA KWA MIAKA MINGINE 50..2015 CDM WATAPOTEZA VITI VYA UBUNGE 85% TUPO TYM WILL TELL KABLA YA 2010 HAKUNA KIJANA ALIYEMJUA DK.SILAHA...MBOWE ANAELEA CDM KUTIA FUND ANAZOPEWA NA MENGI KUSAIDIA CHADEMA KWA SIRI..ZITTO NDIYE KALETA WANACHAMA 98% CHADEMA...LEMA NI WABUNGE MASLAHI WA MSMU TYM WILL TELL ILA MWSHO WA CDM TULIYOIPENDA UMEFKA
 
Yote tunayoyaona ni juhudi za kutafuta namna ya kumzuia Zitto asigombee nafasi yoyote ya chama, kwani wanajua kuwa wanachama wanajua uwezo wake na wanajua unafiki wa viongozi wao,hivyo wakiruhusu ballot box hawatakuwa na nafasi ya kumshinda

Haya ndo matatizo ya kukataa shule, huyu mtoa mada angekuwa na elimu kichwani asingeweka ujinga huu, stup;;;d, Invisible kwanini msiwe mnapitia hizi takataka na kuziban>>???
 
Mbowe kila anayetaka kugombea uwenyekiti utamfukuza?? Au kila aliye na uwezo juu yako utamfukuza kwenye hiyo ngo ya kasikazini? Sababu kubwa ya zito kufukuzwa ni nia yake yakugombea nafasi ya mbowe na mbowe anajuwa kuwa zito ni zaidi yake, hawezi kukupambana nae kwenye uchaguzi, siyo lazima uwe mwenyekiti wewe mbowe kama huna uwezo pisha wenzako wenye uwezo waongozi chadema, waliyopandisha chart chadema ni zito kabwe na slaa, ila sasa unatumia uongo mwingi kumfitinisha kisa yeye asiwe na fursa ya kugombea uwenyekiti, sawa tunajuwa kuwa hiyo ngo ni mali ya babamkwe sawa tumia hiyo fursa vizuri sana
 
Wamevuruga kila kitu hili walikuwa nalo zamani na Zito alilijua ,ndio ukaona huwapuuza kila sehemu kwani mbele yake walikuwa ni wanafiki waliovaa ngozi ya kondoo.
 
WAKUU,

Kutoka makao mkuu ya chadema, Tumefinywa sikio na mtumishi muhimu sana wa chadema, kuwa mwenyekiti wa taifa wa chadema (MBOWE) yuko kwenye wakati mgumu sana anapotafakari uchaguzi wa chama hicho.

Kila mpango anaoupanga anaona hauna zao la yeye kufanikiwa kumshinda Zitto katika uchaguzi ujao wa chama.

Lakini alipata tafakuri toka kwa wanazi wake na kupanga mpango A, B na C,

Mpango wa kwanza (A) waliweka mkakati wa kumng'oa mwigamba aliyekuwa kikwazo sana kumpinga mbowe asigombee nafasi hiyo kwa mara ya tatu.

Wakati wa vikao vya siri na hata vya wazi vya chama alivyoviitisha Lema huko ARUSHA mwigamba alipinga kabisa mipango na mbinu za mbowe kutaka kuwa mgombea wa uwenyekiti Taifa,

Mpango wa pili (B), kuwatimua wajumbe wote wa mkutano mkuu wa chama wanaoonekana wana mwelekeo wa kumtetea au kuegemea kwa Zitto.

Sasa ameanza kuutekeleza kwani mbowe amewatimua akina magesa m/kiti mkoa wa mara, anaendelea kwenda songea, mtwara, lindi na hatimaye shinyanga kwa mzee shilungushera na mwisho tabora kabla hajamaliza morogoro kwa mwenezi wa mkoa na mikoa ya kigoma na manyara,

Pamoja na hilo, jana alipokuwa shinyanga alitaka kupenyeza hoja ya kumjadili m/kiti wa baraza la wazee shilungushera lakini akaonywa na watu wake wa karibu kuwa akifanya hivyo mapema ataharibu mpango huo na ataweza kugundulika.

Mpango namba tatu (c) kumtuma mtu atakaemchokoza Zitto ili alipuke na kuwasema vibaya viongozi wa taifa ili asimamishwe uongozi ili uchaguzi ufanyike akiwa nje ya nafasi yake na kwa sababu hiyo hataweza kugombea nafasi yoyote ndani ya chama.

Katika kikao kilichofanyika nyumbani kwake mbowe katikati ya october 2013, kilihudhuliwa na LEMA, MNYIKA, MSIGWA, SUGU, na WENJE na kijana mwingine wa kichaga ambae hakujitambilisha jina bali alijiita 'kamanda'

Mbowe alihoji uoga wa wabunge hawa kumuogopa zitto kwao kunatokana na nini?
''Kweli wanaume wote nyie Zitto anawakalia vichwani kama wake zake?" alihoji mbowe kwa ukali

Hakuna aliyejibu moja kwa moja isipokuwa LEMA alisema 'tumubomoe washikaji' huyu hana uwezo wa kunibania kifua nikibomoka ni ndani ya week tu atakuwa amepata msongo wa mawazo, kwa hiyo atajikuta akiropoka na kugusa viongozi wa taifa kuwasema kuwa wananituma,

Akisharopoka hivyo tu, kamati kuu itaitwa na kumpigia kura za kutomuamini, (alimaliza Lema)
Lakini Sugu alihoji uwezo wa kamati kuu kumtetea na kumpa ushindi kuwa kutamuimarisha,
Hapo Mbowe akamjibu kuwa hapana mie nataka tu tupate sababu au hoja ya kumjadili hayo mengine niachieni, ''WAJUMBE WA KAMATI KUU NI UTEUZI WANGU KWA 30% NA WENGINE NI WATENDAJI AMBAO NI WATEULE WANGU, NA KAMA AKIPATA KURA ZAO HAZITAZIDI KURA 5 MAANA WATU WAKE NDANI YA CC NAWAJUA''.

Mnyika alihoji kwanini tufike huko kwa sasa, hebu acheni tukaribie uchaguzi, mkifanya hivyo sasa atakuwa na muda wa kujipanga, lakini Mnyika alipuuzwa na kusemwa na lema kuwa ni mtoto mayai aachie ngoma wajuzi wa mambo waicheze.

Mnyika alijiona kama hana hoja ya kuwashauri tena, baada ya muda akazuga kuwa simu ya mama yake mzazi inamhitaji kuna tatizo nyumbani hivyo akawaacha wakiendelea na kikao.

Yote tunayoyaona ni juhudi za kutafuta namna ya kumzuia Zitto asigombee nafasi yoyote ya chama, kwani wanajua kuwa wanachama wanajua uwezo wake na wanajua unafiki wa viongozi wao,hivyo wakiruhusu ballot box hawatakuwa na nafasi ya

MY TAKE; ZITTO NDIYE CHADEMA NA CHADEMA NI ZITTO...MWSHO WA CHADEMA UMEFKA.. KWA HILI CCM WATAENDELEA KUONGOZA KWA MIAKA MINGINE 50..2015 CDM WATAPOTEZA VITI VYA UBUNGE 85% TUPO TYM WILL TELL KABLA YA 2010 HAKUNA KIJANA ALIYEMJUA DK.SILAHA...MBOWE ANAELEA CDM KUTIA FUND ANAZOPEWA NA MENGI KUSAIDIA CHADEMA KWA SIRI..ZITTO NDIYE KALETA WANACHAMA 98% CHADEMA...LEMA NI WABUNGE MASLAHI WA MSMU TYM WILL TELL ILA MWSHO WA CDM TULIYOIPENDA UMEFKA

Hii inadhihirisha jinsi ccm walivyoumia baada ya zitto kuvuliwa uongozi ndani ya chadema. Poleni sana ccm. Tafuteni kibaraka mwingine
 
Leo kila mwenye uwezo wa ku'type lazima aandike uzi wa kumtetea Zitto!
Kwa hizi siku 14 tutasikia mengi! Najua wapo mtakaowaza kuandaa maandamano kabisa!
 
Mlivyowapandikiza wasaliti kwenye chama chetu mlitegemea nini?
 
" Tumefinywa sikio na mtumishi muhimu sana wa chadema"

Huna uhakika mkuu?

"Nlikuwepo":bolt:
 
Mbowe na viongozi wengine lazima waende mbele zaidi ya hapa wa wavue uanachama hawa wa heshimiwa. Kama hawatakubaliana na maamuzi ya kuvuliwa uanachama basi na waende mahakamani wakatafute haki huko.
 
Mbowe ameshindwa kukabiliana na changamoto za vijana juu ya demokrasia ndani ya chama. Matokeo yake imedhihirika kuwa yeye ni hitler. Hivyo mbowe hutufai ktk chama kwakuwa unataka kugombea kwa mara nyingine wakati katiba inakubana. Sisi wana cdm kigoma tuko pamoja nawewe ZITTO natunaahidi kuku'support' kwa hali yoyote ndani na nje ya chama.
 
Back
Top Bottom